Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

Wenzako wa Gaza waliandamana kwa dakika kiduchu wakiwa wamebeba picha ya Putin na Kim lakini hakuna aliyethubutu kuwasaidia. Tunapo waambia kuwa Myahudi ndiye mtawala wa dunia, muwe mnaelewa. Hata kama Israeli akiamua kuwafyeka wapalestina wote hakuna wa kwenda kusaidia. Achana na viwete wa Yemen na Lebanon ambao hawana uwezo wowote.

Kwamba hata akiwaua waarabu wote hakuna wa kumuuliza mhh siokweli. ni kwanini Marekani alisogeza meli zake na wanajeshi ni kwasababu taifa teule Ili lipate ushindi lazima Marekani asaidie. Pili mtu mwenye bunduki kupigana na mtu anayetumia manati harafu ukajiona mjanja ni ujinga. Amani na salama
 
Walishaga hama kwenye manati na mawe muda mrefu. Sasa wanalipua hadi vifaru vya yahudi. Wanaakiba za masilaha kibao. Kama wangekuwa wanatumia manati yahudi asinge changanyikiwa na kuamua aliyoamua.
 
Katika hali hiyo ingetarajiwa sana kuwa Urusi ingeona ni fursa nzuri kuitia adabu Marekani ambayo imeisababishia hasara kubwa sana ikiwemo vifo vya maelfu ya askari wake.

Wangeipenyezea Yemen chini ya Houth makombora yenye uwezo wa kupiga meli na kuizamisha sio vile vikombora ambavyo hupiga na kusababisha moto tu ambao ukiwahi kuzimwa meli inaendelea na safari yake.

Urusi ingeipatia Yemen yale makombora yake yanayosafiri angani na kupiga chenga makombora yanayoyafukuza na hatimae kutua yalipokusudiwa.

Wangeipenyezea ndege angalau moja ya Sukhoi 24 au chini yake ambazo zina uwezo wa kuruka mpaka ndani Israel na kupiga na kurudi.

Iwapo yote hayo yataitangaza Urusi rasmi kuwa imeingia vitani na wachokozi hao, basi angalau ingetuma vikosi vya Wagner pamoja na droni z kisasa zaidi ili ziweze kupiga maeneo ya kusini ya Israel kama vile zinavyopiga bandari za ukraine zinazosafirisha ngano za nchi hiyo.

Yote hayo ingekuwa ni kulipiza kisasi kwa Marekani iliyoisababishia hasara kupitia Ukraine.

Kinyume chake Marekani imejileta karibu kwenye vita na Yemen imewachwa bila kupewa msaada wa maana kuendeleza au kumaliza vita hivyo.Sababu ni ipi hasa?

"If wishes were horses, beggers would ride".

Wenzio wanatumia akili na wanafanya hesabu kali kabla ya kufanya maamuzi, hawaendeshwi na hisia wale 'mabeberu' wote.

Mambo ya hisia yapo kwa wavaa vipedo, lakini nao this time wamestuka wakatulia kama hawaoni kinachoendelea, wameamua kutumia akili zaidi kuliko hisia ili wasiingie cha kike kama hamas. Wengine wanapiga mikwara mbuzi ili waonekane wanatoa sapoti ila wameshapiga hesabu wakaona zinakataa.

Mambo ya kiusalama yanahitaji akili na nguvu kwa 100% na hisia kwa 00%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kabla ya kumuwazia Urusi kufanya hayo yote kwanini usimuwazie Saudia, UAE, Qatar, Kuwait, Misri nk.

Hiyo misaada anayopaswa kuitoa Urusi si hata hawa wanaweza kutoa tena kwa kiasi kikubwa zaidi maana chumi zao ni kubwa sana na bajeti zao za kijeshi ni kubwa maradufu? Yaani kwanini Urusi ambae mahusiano yake na Palestina ni kwamba wote tu ni binadam na wameumbwa na mungu zaidi ya hapo hamna kingine kinachowaunganisha aguswe na shida za Palestina kuliko waarabu wenzie na majirani zake?

Hivi leo nchi zote nilizozitaja wakiacha unafiki wakasema imetosha tunataka taifa huru la Palestina halitapatikana? Wote tumeona kwa Ukraine kwamba US na West wana nguvu kiuchumi na kijeshi lakini kuna level za migogoro ikifika hawawezi kwenda nazo kama wanavo tushawishi majukwaani na vikao wanavyokutana kila mara.

Tumeona kabisa mwaka mmoja tu wa vita Ukraine umekausha akiba ya siraha kwenye maghala yao, leo umezuka mgogoro mdogo tu Middle East tayari hata bajeti za kugharamikia vita hizi mbili inaanza kukosekana. Sasa jiulize kama wakati huu vita inaendelea na middle east yote wangeamka wakatoa full support kwa Hamas, Hizbullah na Houth, US angeweza kuhandle huu mgogoro wa scale hii kama kwa Ukraine tu na Hamas siraha zimemuishia na bajeti inapigwa pin kwenye senate?

Lazima angemkomalia Israel afanye mazungumzo ya amani na Palestina angepata taifa lake. Wengi humu tunaumizwa na anayofanyiwa Palestina kwa kuwa ni ndugu zetu katika imani lakini kuna watu pale middle east ni ndugu zao wa damu, imani tena wasunni wenzao ila hawaumizwi na anachokifanya Israel.

Sisi tutaumia tu ila kiukweli hatuna cha kufanya kuliko kina Saudia, Misri, Jordan, Lebanon, Qatar nk wanachoweza kufanya, kikubwa waache unafiki na kulamba miguu ya Marekani. Walianzishe tu Marekani ana mikwara mingi sana na bit ila mkimpa migogoro mingi na ikawa ya mbio ndefu anapwaya.

Hamna mtu yuko tayari kununua lita moja ya diesel kwa 30k kisa tu kumtetea Israel.
 
Mi cwez kuwa muislam coz Allah sio Mungu. Hakuna nabii aliongea na Majin ila huyo wenu.
Kwanza anaye kuambia Mtume Muhammad aliongea na majini ni nani?

Dalili zako ziko wapi?

Qur'an inasema Majini walisikia Qur'an wakasema hi Qur'an ni ajabu tupu, kwani hakuna wakristo wanasikia Qur'an?

Aliye ongea na majini ni Nabi Suleiman tu, nyie mnamuita Mfalme Seleman 😄

Kwa hio Nabi Musa alikuwa mchawi? Sababu fimbo yake ilimeza manyoka yote ya wachawi wale alio waleta Firauni kushindana. na Mussa?

Akili zako zimepinda wewe, usionge kitu bila dalili ndio mana bibilia zenu zinakubalika kwa vichaa tu kama wewe na wenzako wanao ziamini.

Yesu hakuna sehemu kawambia Yeye ni Mungu. Yesu anawambieni Mungu wetu ni mmoja tu, Yesu anawambieni haijawahi tokea binadamu akamuona Mungu akaishi.

Yesu binadamu alishi nao na wengine walikuwa wanafunzi wake, na bado tu Mnasema Mungu? Kwanza wa kwanza kufa angekuwa mama yake Yesu 😄

We unamuabudu ni shetani afu unasema unamuabudu Mungu 😄
 
Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa.

Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina kwa Ukraine ili kipigo kwa Urusi kiwe ni cha haraka.

Misaada ya Marekani imekuwa ikitolewa kwa mafungu na kupitishwa kwenye mabaraza ya mabunge ya nchi hiyo.

Miongoni mwa silaha nzito zilizotolewa kwa Ukraine ambazo hata watoto wadogo wamezisikia ni pamoja na Himars, vifaru vya kisasa vya Abrams na Bradley.

Karibuni kabisa Ukraine imepatiwa silaha nzito zaidi za ndege za kivita matoleo ya kisasa.

Urusi imekuwa na fursa za uzoefu wa kivita na ukubwa wa jeshi na silaha za kisasa pengine kuliko za Marekani.

Hata hivyo imekuwa ikipata hasara kubwa za kivita ikiwa ni pamoja na kuzamishwa kwa meli zake za kivita na kuripuliwa vituo muhimu vya kijeshi pamoja na kuuliwa kwa idadi kubwa ya askari wake kutokana na silaha hizo za Marekani pamoja na washirika wake wa NATO.

Kuanza kwa vita vya Israel na Palestina kumeisogeza sana Marekani katika vita hivyo kutokana na ushirika wake na Israel.Kwa bahati mbaya wapalestina wamekosa watu wa kuwaunga mkono kati ya wale wenye nguvu za kijeshi na ambao ni ndugu na majirani zao.

Ni watu wawili pekee ambao wamejitokeza na kujitangaza kuwaunga mkono Hamas wanaoongoza mapambano upande wa Palestina.

Watu hao ni wanamgambo wa Hizbullah na wale wa Houth wa Yemen.

Wakati Hizbullah ina silaha nzito kuliko za Houth lakini imekuwa ikipigana huku ikihofia kulaumiwa na serikalli yao ya Lebanon ambayo ina uhusiano mzuri nayo na kila mmoja akijizuia kumuudhi mwenzake.

Ukiacha Hizbullah,wanamgambo wa Houth wana ari zaidi ya kupigana na Israel na kila anayeisaidia kuuwa wanaowaita ni ndugu zao.

Inaonekana hasira na nia za Houth wangekuwa na silaha kama zile za Hizbullah tu basi mashariki ya kati pasingekuwa pahala salama tena kwa Marekani na Israel.

Katika hali hiyo ingetarajiwa sana kuwa Urusi ingeona ni fursa nzuri kuitia adabu Marekani ambayo imeisababishia hasara kubwa sana ikiwemo vifo vya maelfu ya askari wake.

Wangeipenyezea Yemen chini ya Houth makombora yenye uwezo wa kupiga meli na kuizamisha sio vile vikombora ambavyo hupiga na kusababisha moto tu ambao ukiwahi kuzimwa meli inaendelea na safari yake.

Urusi ingeipatia Yemen yale makombora yake yanayosafiri angani na kupiga chenga makombora yanayoyafukuza na hatimae kutua yalipokusudiwa.

Wangeipenyezea ndege angalau moja ya Sukhoi 24 au chini yake ambazo zina uwezo wa kuruka mpaka ndani Israel na kupiga na kurudi.

Iwapo yote hayo yataitangaza Urusi rasmi kuwa imeingia vitani na wachokozi hao, basi angalau ingetuma vikosi vya Wagner pamoja na droni z kisasa zaidi ili ziweze kupiga maeneo ya kusini ya Israel kama vile zinavyopiga bandari za ukraine zinazosafirisha ngano za nchi hiyo.

Yote hayo ingekuwa ni kulipiza kisasi kwa Marekani iliyoisababishia hasara kupitia Ukraine.

Kinyume chake Marekani imejileta karibu kwenye vita na Yemen imewachwa bila kupewa msaada wa maana kuendeleza au kumaliza vita hivyo.Sababu ni ipi hasa?
Haina haja kama wanamgambo tu wanamhenyesha mshikaji wa US mwezi wa tatu sasa na misaada yote aliyopata, haina haja ya kuwoangezea wana mgambo wengine silaha
 
Kwanza anaye kuambia Mtume Muhammad aliongea na majini ni nani?

Dalili zako ziko wapi?

Qur'an inasema Majini walisikia Qur'an wakasema hi Qur'an ni ajabu tupu, kwani hakuna wakristo wanasikia Qur'an?

Aliye ongea na majini ni Nabi Suleiman tu, nyie mnamuita Mfalme Seleman 😄

Kwa hio Nabi Musa alikuwa mchawi? Sababu fimbo yake ilimeza manyoka yote ya wachawi wale alio waleta Firauni kushindana. na Mussa?

Akili zako zimepinda wewe, usionge kitu bila dalili ndio mana bibilia zenu zinakubalika kwa vichaa tu kama wewe na wenzako wanao ziamini.

Yesu hakuna sehemu kawambia Yeye ni Mungu. Yesu anawambieni Mungu wetu ni mmoja tu, Yesu anawambieni haijawahi tokea binadamu akamuona Mungu akaishi.

Yesu binadamu alishi nao na wengine walikuwa wanafunzi wake, na bado tu Mnasema Mungu? Kwanza wa kwanza kufa angekuwa mama yake Yesu 😄

We unamuabudu ni shetani afu unasema unamuabudu Mungu 😄
Mtume nasikia alikuwa Mario aliwekwa mjini na mama mwenye hela zake ni kweli? Halafu nasikia akakaoa katoto ka miaka tisa. Mtume wa Mungu hii ni serious kweli au? Kwanza nikuambie Majin ni Mashetan na King Solomon hajawah kuongea na Majin labda hicho kitabu chenu cha mchongo. Eti mtume baada ya kupewa Quran alikuwa kichaa kwa muda. Halafu aliempa cheo cha utume ni yule mmama anaemfuga.
 
Unadanganya watu na unajidanganya.Kama hujui uwezo wa kufikiri kwa undani sana wa jambo uko kwa waislamu na wamehimizwa kufanya hivyo ndani ya dini yao.
Kama wakristo wangekuwa na uwezo huo basi hata papa Francis asingekalia kiti cha upapa.Na kusingekuwepo na watu wanaoingia makanisani tena.
Na aliyoyafanya Muddy ni haki kwa mtu anayejitambua kuwa muislam..??? 😲😲😲
 
Nimecheka sana leo, kumbe maustadhi mumekubali Urusi ilipokea hasara kubwa pale....
Halafu mnaomba msaada kwa Urusi ambaye ni kafir, hawezi akawasaida yule ikiwa hata 'mungu' wenu kashindwa, mfahamu kwamba Mungu wa Wayahudi anaizidi nguvu miungu mingine yote ikiwemo ya kwenu.
 
Mtume nasikia alikuwa Mario aliwekwa mjini na mama mwenye hela zake ni kweli? Halafu nasikia akakaoa katoto ka miaka tisa. Mtume wa Mungu hii ni serious kweli au? Kwanza nikuambie Majin ni Mashetan na King Solomon hajawah kuongea na Majin labda hicho kitabu chenu cha mchongo. Eti mtume baada ya kupewa Quran alikuwa kichaa kwa muda. Halafu aliempa cheo cha utume ni yule mmama anaemfuga.
Kwanza kabla hutajifika kwa Mtume Muhammad.

Mwenyezi Mungu alisema Mtume atakae kuja atakuwa ni katika ma cousin wakina Mussa na mfano kama Mussa.

Mussa alipo owa ni kama Mtume Muhammad alipo owa wote walifanya kazi hapo kabla ya kuowa na walipendwa kwa uaminifu na heshima zao.

Mussa alichunga wanyama ndio ikawa mahari yake na Muhammad alifanya kazi kwa mke wake ndio akapata uaminfu wa kupendwa na mke wake.

Mussa aliheshimiwa na watu wake kama vile Mtume Muhammad.

Hio ya kuoa bint ana miaka 9 nyie ndio mliona lini kazaliwa bi Aisha au wazazi wake? Kwani Aisha aliolewa kwa nguvu? Nyie si ndio mlimzulia hata mama wa Yesu kuwa mzinifu kabla ya Yesu kuongea 😄

Nyie uwongo ndio asili zenu kwa sababu alianzisha Ukristo aliota kamuona Yesu 😄 vipi umuote Yesu wakati hata kumjua humjui huyo aliota shetani.

Kwani kuowa mwanamke tajiri ni kosa? au kuowa mwanamke mdogo ni kosa hata Mitume wa zamani mliona wake zao?

Mkawajua na umri zao au kwa kuwa Mtume Muhammad hakutaka ujinga wa paulo, alikuja kusafisha ujinga wa Paulo ndio mmemchunguza mpaa umri wa wake zake eti Aisha alimuoa ana miaka 9, wakati watu wote wanafahamu umri wake ulikuwa miaka 18 kutokana na ukweli wa walio shuhudia.
 
Wafia dini wanatabu kweli kweli, na hadithi zenu za mchongo.

Ukifa umekufa, mtego wa dini upo hapa
 
Wewe acha upumbavu bwana, utamuoaje mtoto wa miaka 6? Hata kibaka mwenye akili hawezi kufanya uovu kama huo.

Hii ndio shida ya hizi dini yaani eti mtu huwezi kuona kitu eti muda wote wewe ni kipofu tu. Upende usipende Mohammed alitenda dhambi na hilo liko wazi kabisa na ingekuwa leo yeye na wazazi wa huyo mtoto wangefia jela ila washukuru tu kwamba ilikuwa ni hizo zama za giza ambapo watu walikuwa hawajitambui.

Needless to say Mohammed was a paedophile who deserved to be indicted and eventually incarcerated for defiling a minor, shame unto him.
 
Wewe nipe dalili zako maneno unayo sema ni kweli 100% kama huna basi wewe na walio kulea pia hawana adabu kama wewe.

Dada yake Asma alikuwa na umri mkubwa kwa Aisha miaka 10 na wakati Mtume kaenda posa alikuwa Asma ana miaka 28 na Aisha alikuwa ana umri wa miaka 18 na harusi ilifanyika wakati ana umri wa miaka 19.

Wewe unatuletea ujinga wa Kikristo hapa pumbavu mmoja unadhani waislam wanakubali ujinga wenu kuzulia Mitume wa Mwenyezi Mungu maneno ya ujinga ujinga.
 
Kwanza kabla hutajifika kwa Mtume Muhammad.

Mwenyezi Mungu alisema Mtume atakae kuja atakuwa ni katika ma cousin wakina Mussa na mfano kama Mussa.

Mussa alipo owa ni kama Mtume Muhammad alipo owa wote walifanya kazi hapo kabla ya kuowa na walipendwa kwa uaminifu na heshima zao.

Mussa alichunga wanyama ndio ikawa mahari yake na Muhammad alifanya kazi kwa mke wake ndio akapata uaminfu wa kupendwa na mke wake.

Mussa aliheshimiwa na watu wake kama vile Mtume Muhammad.

Hio ya kuoa bint ana miaka 9 nyie ndio mliona lini kazaliwa bi Aisha au wazazi wake? Kwani Aisha aliolewa kwa nguvu? Nyie si ndio mlimzulia hata mama wa Yesu kuwa mzinifu kabla ya Yesu kuongea 😄

Nyie uwongo ndio asili zenu kwa sababu alianzisha Ukristo aliota kamuona Yesu 😄 vipi umuote Yesu wakati hata kumjua humjui huyo aliota shetani.

Kwani kuowa mwanamke tajiri ni kosa? au kuowa mwanamke mdogo ni kosa hata Mitume wa zamani mliona wake zao?

Mkawajua na umri zao au kwa kuwa Mtume Muhammad hakutaka ujinga wa paulo, alikuja kusafisha ujinga wa Paulo ndio mmemchunguza mpaa umri wa wake zake eti Aisha alimuoa ana miaka 9, wakati watu wote wanafahamu umri wake ulikuwa miaka 18 kutokana na ukweli wa walio shuhudia.
Muhammad sio mtume punguza hasira. Wala Allah sio Mungu. Muhammad alikuwa Mario kaolewa na mmama mtu mzima. Na huyo mama ndie aliyempa Muhammad I utume. Na mtume baada ya kupewa Quran alichizika kwanza.
 
Nyie wacheni kujidanganya hata bibilia zenu zimemtaja Muhammad sababu Paulo alikuwa anakosea kosea sometimes 😄

One of the preserved lines of Jesus' gospel, they say is in Mark 1:7, where Jesus supposedly prophesied of Muhammad, "There cometh after Me he that is mightier than I." Jesus said to her, "Woman, believe Me, the hour is coming when you will neither on this mountain, nor in Jerusalem, worship the Father."

From among the Ishmaelites​

Abraham had two sons, Ishmael and Isaac (Genesis, chapter 21). Ishmael became the grandfather of the Arab nation, and Isaac became the grandfather of the Jewish nation. The prophet spoken of was to come not from among the Jews themselves, but from among their brothers, the Ishmaelites. Muhammad (peace be upon him), a descendant of Ishmael, is indeed that prophet

Hizi point inathibitisha Mtume wa mwisho ni Mtume Muhammad sababu hatokani na kizazi cha Ishaq
 
Wewe nipe dalili zako maneno unayo sema ni kweli 100% kama huna basi wewe na walio kulea pia hawana adabu kama wewe.

Dada yake Asma alikuwa na umri mkubwa kwa Aisha miaka 10 na wakati Mtume kaenda posa alikuwa Asma ana miaka 28 na Aisha alikuwa ana umri wa miaka 18 na harusi ilifanyika wakati ana umri wa miaka 19.

Wewe unatuletea ujinga wa Kikristo hapa pumbavu mmoja unadhani waislam wanakubali ujinga wenu kuzulia Mitume wa Mwenyezi Mungu maneno ya ujinga ujinga.
Sio kweli acha kudanganya watu bwana, Mohammed hakwenda posa huyo Aisha akiwa na miaka 18, ni uongo kabisa na ukweli uko hapa chini 👇

View: https://medium.com/@mohammedrazaesmail/did-prophet-muhammad-marry-a-6-year-old-girl-e38702d3f51d
 
Back
Top Bottom