Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

Sikusoma makala yako yote, ila ninajibu paragrph ya kwanza tu ambayo ni uwongo mtupu. Urusi iliivamia Ukraine kwa makusudi tu, Marekani haina ushiriki wowote katika vita hiyo. In fact Marekani ilitangaza kuwa Urusi ilikuwa inajiandaa kuivamia Ukraine kutokea pande tatu, na juhudi za kidiplomasia zikaanza kumshawishi Puti asianzishe vita. Putin huyo aliyekuwa akikaa kwenye meza ndefu sana akadanganya kuwa hakuwa na mpango wa uvamizi huo lakini mwishowe kweli akaivamia Ukraine. Kwa hiyo kupindisha ukweli kwa kuisingizia Marekani klwenye vitanhiyo ni uwongo mkubwa sana. Kwanza Urusi ilianza kwa kuivamia Ukfraine mwaka 2014 na kujimegea peninsula ya Crimea. Safari walikuwa wanataka kjuichukua Ukfraine yote au nusu yake.
Russia haijawahi kudanganya kwenye SMO yake dhidi ya Ukraine wapo sawa
Ukraine alikua anajiandaa kuivamia Russia ila Russia wakastukia chezo wakaona waanza kuwapelekea moto wao
Huko kwengine waliakua kujiunga na Russia na sheria mnazoziamini za UN zinaruhusu
Pia huko anapotaka kupachukua kwakiasi kikubwa nao walipiga kura wakajiunga na Russia kwamatakwa namahabba yao dhidi ya Russia
Kiufupi Russia kama anahisi usalama wake utakua sawa akiibeba ukraine yote ama hata nusu yake basi aibebe tu hakuna ubaya
Usalama wa taifa lolote ni muhimu sana kwasheria zakitaifa na zakimataifa ndio maana preemptive strike inaruhusiwa
 
Walishaga hama kwenye manati na mawe muda mrefu. Sasa wanalipua hadi vifaru vya yahudi. Wanaakiba za masilaha kibao. Kama wangekuwa wanatumia manati yahudi asinge changanyikiwa na kuamua aliyoamua.
Wameweza kuwatoa mayahudi Gaza?
 
Dunia inawaliliaje wakati wanatoa somo kwa mazayuni?Narudia tena,siku nilivyoona perfomance yako ya elimu dunia nilikudharau sana!
Dunia inaona wanaouliwa sio wahusika
Kunidharau kwako unadhani kuna ni punguzia nini mzeee
Yaani ukinidharau ukiniheshimu maisha yangu yanasonga kama kawaida yaani
 
Sikusoma makala yako yote, ila ninajibu paragrph ya kwanza tu ambayo ni uwongo mtupu. Urusi iliivamia Ukraine kwa makusudi tu, Marekani haina ushiriki wowote katika vita hiyo. In fact Marekani ilitangaza kuwa Urusi ilikuwa inajiandaa kuivamia Ukraine kutokea pande tatu, na juhudi za kidiplomasia zikaanza kumshawishi Puti asianzishe vita. Putin huyo aliyekuwa akikaa kwenye meza ndefu sana akadanganya kuwa hakuwa na mpango wa uvamizi huo lakini mwishowe kweli akaivamia Ukraine. Kwa hiyo kupindisha ukweli kwa kuisingizia Marekani klwenye vitanhiyo ni uwongo mkubwa sana. Kwanza Urusi ilianza kwa kuivamia Ukfraine mwaka 2014 na kujimegea peninsula ya Crimea. Safari walikuwa wanataka kjuichukua Ukfraine yote au nusu yake.
Ikiwa hukusoma mpaka mwisho basi hukupata makusudia ya makala
 
Ruzzia huwa anapenda zaidi kuvamia majirani zake kama Ukraine, Finland, Georgia na Poland na kusaidia mataifa ya karibu na Marekani kama Cuba na Venezuela.
 
Mkuu kabla ya kumuwazia Urusi kufanya hayo yote kwanini usimuwazie Saudia, UAE, Qatar, Kuwait, Misri nk.

Hiyo misaada anayopaswa kuitoa Urusi si hata hawa wanaweza kutoa tena kwa kiasi kikubwa zaidi maana chumi zao ni kubwa sana na bajeti zao za kijeshi ni kubwa maradufu? Yaani kwanini Urusi ambae mahusiano yake na Palestina ni kwamba wote tu ni binadam na wameumbwa na mungu zaidi ya hapo hamna kingine kinachowaunganisha aguswe na shida za Palestina kuliko waarabu wenzie na majirani zake?

Hivi leo nchi zote nilizozitaja wakiacha unafiki wakasema imetosha tunataka taifa huru la Palestina halitapatikana? Wote tumeona kwa Ukraine kwamba US na West wana nguvu kiuchumi na kijeshi lakini kuna level za migogoro ikifika hawawezi kwenda nazo kama wanavo tushawishi majukwaani na vikao wanavyokutana kila mara.

Tumeona kabisa mwaka mmoja tu wa vita Ukraine umekausha akiba ya siraha kwenye maghala yao, leo umezuka mgogoro mdogo tu Middle East tayari hata bajeti za kugharamikia vita hizi mbili inaanza kukosekana. Sasa jiulize kama wakati huu vita inaendelea na middle east yote wangeamka wakatoa full support kwa Hamas, Hizbullah na Houth, US angeweza kuhandle huu mgogoro wa scale hii kama kwa Ukraine tu na Hamas siraha zimemuishia na bajeti inapigwa pin kwenye senate?

Lazima angemkomalia Israel afanye mazungumzo ya amani na Palestina angepata taifa lake. Wengi humu tunaumizwa na anayofanyiwa Palestina kwa kuwa ni ndugu zetu katika imani lakini kuna watu pale middle east ni ndugu zao wa damu, imani tena wasunni wenzao ila hawaumizwi na anachokifanya Israel.

Sisi tutaumia tu ila kiukweli hatuna cha kufanya kuliko kina Saudia, Misri, Jordan, Lebanon, Qatar nk wanachoweza kufanya, kikubwa waache unafiki na kulamba miguu ya Marekani. Walianzishe tu Marekani ana mikwara mingi sana na bit ila mkimpa migogoro mingi na ikawa ya mbio ndefu anapwaya.

Hamna mtu yuko tayari kununua lita moja ya diesel kwa 30k kisa tu kumtetea Israel.
Bajeti ya Ulinzi ya Marekani ni dola bilioni 800, sawa na nusu ya GDP ya Ruzzia, wewe endelea kubwabwaja tu kwamba uncle Sam hana pesa za vita. US inaweza kukosa pesa za vitu vyote ila sio pesa za kuendesha vita,
 
Ikiwa hukusoma mpaka mwisho basi hukupata makusudia ya makala
nimekurekebisha hiyo paragaph ya kwanza sikujijibu makala yako; kutokana na introduction hiyo yenye uwongo inawezekana makala yote ikawa imejaa uongo.
 
Unamjua nabii suleiman??? Leo kuna priest aliyeongoza kanisa huko australia kwa zaidi ya miaka 45 anaitwa david gould, kasilimu itakuwa wewe msukule wa mwamposa huna unachojua zaidi ya kusikiliza amri ya papa
Mi cwez kuwa muislam coz Allah sio Mungu. Hakuna nabii aliongea na Majin ila huyo wenu.
 
Hujui kujifunza.Iwapo unaishia na utangulizi.Ndio watu wa tiktok mlivyo.
 
Russia hawezi kuwapa silaha au kuwasaidia adui wa Israel.
Sabubu Israel walikataa kuipatia Ukraine sila na mfumo wa Iron Dome ili wakapambane vizuri na Russia.

Hizo ni ndogo zako za mchana.
iron dome hawezi kuzichukua Urusi.Kwa sababu hazijailinda Israel yenyewe.
 
Unamjua nabii suleiman??? Leo kuna priest aliyeongoza kanisa huko australia kwa zaidi ya miaka 45 anaitwa david gould, kasilimu itakuwa wewe msukule wa mwamposa huna unachojua zaidi ya kusikiliza amri ya papa
Hakuna nabii Suleiman Chief kuna mfalme suleiman aliyejenga hekalu la Mungu. Hajui hata upuuzi unaosema. Priest kupotea sio ishu. Hata shetan alikuwa mbinguni miaka yote akaamua cku moja kupotea.
 
Hujui kujifunza.Iwapo unaishia na utangulizi.Ndio watu wa tiktok mlivyo.
tunajua kutafuta information huwa tunasoma abstract na introduction kabla ya kusoma gazeti lote. Anstract na Introduction ndiyo inayokueleza gazet lina nini.
 
Back
Top Bottom