Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

Yemen hayuko kwenye vita na Marekani na hata wale unaosikia wanapiga meli za Marekani na washirika wake sio Serikali ya Yemen ila ni Waasi wanaomiliki eneo la kaskazin mwa Yemen.

Yemen ina serikali yake inayoongozwa na Rais Rashad al-Alimi ambayo ndiyo inatambulika na UN, na huku kwingine kaskazin waasi wamejitangazia utawala wao pia.
Sasa umesema nini hapo.
 
Huyu mrusi ambaye anaomba vijidrones kwa iran, anaomba vijimissiles kwa n.korea, anaomba vijisilaha kwa china ndiye aisaidie yemen ipambane na USA?
Huyu urusi ambaye anahenyeshwa na kaukraine kwa akili zako na kuwaza kwako koooote ndiyo unaombe ampe silaha yemen apambane na dubwana USA?
Ni mrusi huyo huyo mwenye silaha ambazo zimevilemaza vifaru vya Abrams na Himars zote.
Huyo ambaye mataifa ya Ulaya yote na baba yao Marekani wameshindwa kuizuia isisonge mbele mpaka kukaribia kuuchukua mji wa pili kwa ukubwa wa Ukraine,Kharkiv.
Akimpatia Yemen vitu vichache Houth watafanya makubwa sana dhidi ya Marekani na Israel.
 
Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa.

Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina kwa Ukraine ili kipigo kwa Urusi kiwe ni cha haraka.

Misaada ya Marekani imekuwa ikitolewa kwa mafungu na kupitishwa kwenye mabaraza ya mabunge ya nchi hiyo.

Miongoni mwa silaha nzito zilizotolewa kwa Ukraine ambazo hata watoto wadogo wamezisikia ni pamoja na Himars, vifaru vya kisasa vya Abrams na Bradley.

Karibuni kabisa Ukraine imepatiwa silaha nzito zaidi za ndege za kivita matoleo ya kisasa.

Urusi imekuwa na fursa za uzoefu wa kivita na ukubwa wa jeshi na silaha za kisasa pengine kuliko za Marekani.

Hata hivyo imekuwa ikipata hasara kubwa za kivita ikiwa ni pamoja na kuzamishwa kwa meli zake za kivita na kuripuliwa vituo muhimu vya kijeshi pamoja na kuuliwa kwa idadi kubwa ya askari wake kutokana na silaha hizo za Marekani pamoja na washirika wake wa NATO.

Kuanza kwa vita vya Israel na Palestina kumeisogeza sana Marekani katika vita hivyo kutokana na ushirika wake na Israel.Kwa bahati mbaya wapalestina wamekosa watu wa kuwaunga mkono kati ya wale wenye nguvu za kijeshi na ambao ni ndugu na majirani zao.

Ni watu wawili pekee ambao wamejitokeza na kujitangaza kuwaunga mkono Hamas wanaoongoza mapambano upande wa Palestina.

Watu hao ni wanamgambo wa Hizbullah na wale wa Houth wa Yemen.

Wakati Hizbullah ina silaha nzito kuliko za Houth lakini imekuwa ikipigana huku ikihofia kulaumiwa na serikalli yao ya Lebanon ambayo ina uhusiano mzuri nayo na kila mmoja akijizuia kumuudhi mwenzake.

Ukiacha Hizbullah,wanamgambo wa Houth wana ari zaidi ya kupigana na Israel na kila anayeisaidia kuuwa wanaowaita ni ndugu zao.

Inaonekana hasira na nia za Houth wangekuwa na silaha kama zile za Hizbullah tu basi mashariki ya kati pasingekuwa pahala salama tena kwa Marekani na Israel.

Katika hali hiyo ingetarajiwa sana kuwa Urusi ingeona ni fursa nzuri kuitia adabu Marekani ambayo imeisababishia hasara kubwa sana ikiwemo vifo vya maelfu ya askari wake.

Wangeipenyezea Yemen chini ya Houth makombora yenye uwezo wa kupiga meli na kuizamisha sio vile vikombora ambavyo hupiga na kusababisha moto tu ambao ukiwahi kuzimwa meli inaendelea na safari yake.

Urusi ingeipatia Yemen yale makombora yake yanayosafiri angani na kupiga chenga makombora yanayoyafukuza na hatimae kutua yalipokusudiwa.

Wangeipenyezea ndege angalau moja ya Sukhoi 24 au chini yake ambazo zina uwezo wa kuruka mpaka ndani Israel na kupiga na kurudi.

Iwapo yote hayo yataitangaza Urusi rasmi kuwa imeingia vitani na wachokozi hao, basi angalau ingetuma vikosi vya Wagner pamoja na droni z kisasa zaidi ili ziweze kupiga maeneo ya kusini ya Israel kama vile zinavyopiga bandari za ukraine zinazosafirisha ngano za nchi hiyo.

Yote hayo ingekuwa ni kulipiza kisasi kwa Marekani iliyoisababishia hasara kupitia Ukraine.

Kinyume chake Marekani imejileta karibu kwenye vita na Yemen imewachwa bila kupewa msaada wa maana kuendeleza au kumaliza vita hivyo.Sababu ni ipi hasa?
Dini imekufanya uwe na chuki kwa wanadamu wenzio hata aibu huna.Kila siku kushabikia vita na watu kuuwawa.Tukiwaambia dini yenu inajengwa na majambia mnasema ni ya amani.
 
Unadanganya watu na unajidanganya.Kama hujui uwezo wa kufikiri kwa undani sana wa jambo uko kwa waislamu na wamehimizwa kufanya hivyo ndani ya dini yao.
Kama wakristo wangekuwa na uwezo huo basi hata papa Francis asingekalia kiti cha upapa.Na kusingekuwepo na watu wanaoingia makanisani tena.
Utakuta wewe huko msikitini kwenu unaonekana boooonge la brain yaaani!
 
Ndio maana nasema huna unachokijua yule priest kwanza amekuzidi kila kitu kuanzia hela hadi elimu ya dini ambayo wewe umeipatia kwa wachungaji wako wa buza ambao pia hawana wanachokijua mnakaa mnadanganyana tu
Kila siku huwa nakwambia,kama dini itakufanya usiwe mtu bora achana nayo!
 
Dini imekufanya uwe na chuki kwa wanadamu wenzio hata aibu huna.Kila siku kushabikia vita na watu kuuwawa.Tukiwaambia dini yenu inajengwa na majambia mnasema ni ya amani.
Dini yenye kuuwa watu ovyo na kushabikia vita ni zile za kikristo na mayahudi.Hakuna hata nchi moja ya kiislamu iliyoivamia nchi ya kikristo.Kinyume chake nchi za kwenu ndio zinavamia nchi chungu nzima za kiislamu na kuranyia majaribio silaha zao hatari.Hili sijui utalikanusha kwa namna gani.
 
Wanaoshangilia vita humu ni nyie waislamu wenye siasa kali.Nani asiyejua kuwammlisambaza dini yenu kwa upanga?Mnataka kuiridusha dunia kwenye karne ya sita.
Kama msukumo wako kwa urusi kuipiga marekani una religious bases nasema huna akili kabisa.
 
Humu JF tunapashana tu.Huko nje ndio kwenye vita vya kweli wanaopiga kwa mabomu mabaya sana ni nyinyi mkiongozwa na Israel na Marekani.Sijui utalikanusha vipi hili.
Kuhusu dini kusambazwa kwa upanga ni uongo wa wazi kabisa.Uislamu ulifika mpaka Urusi na China kwa njia za amani kabisa hasa kwa njia za kibiashara na kutafuta elimu.Sasa ndio akina nyinyi mnatumia mabomu na bunduki kuuondoa.
Sehemu ambapo waislamu ilibidi wajitetee ni Ulaya yote kuanzia Spain mpaka mipaka ya Urusi.Waliotumia panga ni hao waliokuwa na chuki na waislamu walioingia kwa amani wakawasomesha wazungu kuanzia alif mpaka z
 
Huko Kibiti waislamu walikuwa wanajitetea dhidi ya nini?
 
Kwanza kabla hutajifika kwa Mtume Muhammad.

Mwenyezi Mungu alisema Mtume atakae kuja atakuwa ni katika ma cousin wakina Mussa na mfano kama Mussa.

Mussa alipo owa ni kama Mtume Muhammad alipo owa wote walifanya kazi hapo kabla ya kuowa na walipendwa kwa uaminifu na heshima zao.

Mussa alichunga wanyama ndio ikawa mahari yake na Muhammad alifanya kazi kwa mke wake ndio akapata uaminfu wa kupendwa na mke wake.

Mussa aliheshimiwa na watu wake kama vile Mtume Muhammad.

Hio ya kuoa bint ana miaka 9 nyie ndio mliona lini kazaliwa bi Aisha au wazazi wake? Kwani Aisha aliolewa kwa nguvu? Nyie si ndio mlimzulia hata mama wa Yesu kuwa mzinifu kabla ya Yesu kuongea 😄

Nyie uwongo ndio asili zenu kwa sababu alianzisha Ukristo aliota kamuona Yesu 😄 vipi umuote Yesu wakati hata kumjua humjui huyo aliota shetani.

Kwani kuowa mwanamke tajiri ni kosa? au kuowa mwanamke mdogo ni kosa hata Mitume wa zamani mliona wake zao?

Mkawajua na umri zao au kwa kuwa Mtume Muhammad hakutaka ujinga wa paulo, alikuja kusafisha ujinga wa Paulo ndio mmemchunguza mpaa umri wa wake zake eti Aisha alimuoa ana miaka 9, wakati watu wote wanafahamu umri wake ulikuwa miaka 18 kutokana na ukweli wa walio shuhudia.
Alimuoa akiwa na miaka sita akaanza kumbaka miaka Tisa.ingekuwa Sasa angefungwa miaka mingi tu.
 
Back
Top Bottom