Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Umetisha sana aisee.. Hizi huwa nafanya pia ndio maana nimedumu sana hapa.. Huwa naamka mapema sana kabla ya mtu yeyote, napukuta gari yake , naandaa madogo wenyewe akiamka wanakuta mambo mengi yasha kamilika..
Hautahama maisha
Na ukitakaka kuhama watakuzuia faida Zak nyingi kuliko hasara
Hakuna ugumu kama kutayarisha watoto kwa shule
 
Kuna siku shemeji aliniagiza alikasusu pale kwenye banda la muuza kahawa nilipata wakati mgumu sana aiseee maisha haya acheni tuu.
 
Nikupongeze mpambanaji. Commando hachagui pori.
Hata hapo kwa shemeji yako ukiwa na nidhamu na kuyajua mazingira vyema tayari umejenga base ya kichomokea.

Binafsi ninaishina mdogo wa kiume wa mke wangu kwa kweli huwa nafikiria siku akitoka nitakuwa mgeni wa nani.

Nimemzoea , ni rafiki yangu na ni company yangu. Ki ufupi ni ndugu yangu na ninapambana nae bega kwa bega kuona siku moja anapiga hatua.


Heshima, nidhamu na kujitambua ni mtaji wa kuishi popote na yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
niwapongeze vijana wote wenye umri kama wangu lakini bado mnakaa kwa shemeji(yaani pale dada yako alipoolewa) na wewe unakaa hapo hapo na unafuatilia huu uzi ...
 
halafu jamaa lina linajiamini kabisa yaani inaonekana halina hata mpango wa kuhama kwa shemeji yake kabisa

hatari kweli kweli hii...
 
Na hapa ndio utakua ume win sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu, umenivunja mbavu [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Respect sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goldenscape grand scam!!! Wakenya mnapenda kudhurumiana sana. I'm watching citizen tv

kitochi
 
Mara ya mwisho kuwasiliana na ndugu wa mke ni pale nlipomzibua shemeji yangu makofi kwa kunikosea adabu tena mbele ya dada yake!...nilikua mwema kwake kipindi chote akifikir mm ni mpole milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii ukiifungulia uzi itakua noma sana aisee [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepotezea tu mkuu, maana ningekomaa nayo mi kyusa yule mangi alafu tuko kitaa simike pale angeomba hata apae na fagio kwenda kwao. I
Ila msambwanda wa housegirl mi nikala pia njiani huko 🤣🤣🤣kufa kufaana.
Tushakula vibao nimuache.jamaa katoa nauli ya mpaka dom mtu 2 mzee rujewa tu pale na urafiki bus nikadai nauli imeisha.
Nikala mzigo kimasihara
 
Shemeji umeamua ufunguke naona 😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna dogo mjinga sana kafikia sehemu kaanza kumpa vimaneno dada yake bila kujua mimi nikiwa kitandani na dada yake ananiambia vyote,sasa nimemwambia aende kwao tutamsadia akiwa huko.

macson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…