Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

aliyeolewa ni dada ,wewe shemeji nawe umeolewa ?? Waache wapange mipango yao , unataka hata wakiwa faragha ushuhudie ? Unakaa kwa shemeji kwa dharura tu na sio vingenevyo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa Buza wanasemaje kuhusu hilo ?
 
Sio kweli ... Kuna rafiki baba yake amefariki na maisha yake mazuri ana wadogo zake kama wa4 wote wanasoma...Imebidi arudi kukaa kwao ili ahudumie familia kwanza
Hilo ni sawa ina maana jamaa kaambiwa aiongoze familia.
Mimi mama yangu mdogo upande wa mama aliolewa na jamaa wakapata mtoto mmoja ila kabla mama mdogo hajajifungua jamaa alipigiwa simu toka Mbeya aende fasta mzee wake anaumwa.
Jamaa alivyoenda akapewa wosia abaki Mbeya kuitunza familia yake.
Mpaka naandika hii comment ni miaka kama 9 imepita Mama mdogo hajaonana tena na jamaa.
 
That's nakuambia watu wanatafsiri vibaya kukaa home
 
Tabu yote ya lini si bora niishi kama chokoraa nitapata akili haraka kuliko kukaa kwa masharti kama upo kwa mganga wa kienyeji [emoji28]


Sent using IPhone X
 
Ni raha sana kukaa kwa shemeji, safi sana ‘mlamu’.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…