Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Nakuja basi tuishi wote babe ili hata haya masimango ya JF kwa tunaokaa kwetu au kwa shemeji kidogo na mimi yanipitie kushoto.Naishi kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja basi tuishi wote babe ili hata haya masimango ya JF kwa tunaokaa kwetu au kwa shemeji kidogo na mimi yanipitie kushoto.Naishi kwangu.
Sio kweli ... Kuna rafiki baba yake amefariki na maisha yake mazuri ana wadogo zake kama wa4 wote wanasoma...Imebidi arudi kukaa kwao ili ahudumie familia kwanzaKukaa home ni jau mkuu
hahha ukiyaepuka hayo utapata masimango ya kuitwa marioNakuja basi tuishi wote babe ili hata haya masimango ya JF kwa tunaokaa kwetu au kwa shemeji kidogo na mimi yanipitie kushoto.
Bora niitwe tu marioo asee wala sijali kitu.hahha ukiyaepuka hayo utapata masimango ya kuitwa mario
Wazee wa Buza wanasemaje kuhusu hilo ?Nyinyi vijana mnaokaa kwa mashemeji au wazazi wakati mshafikia umri wa kupambana fateni huu ushauri.
1. Usiwe mvivu hata kama huna ajira au mishe. Jishughulishe na shughuli yoyote hapo kwenu.
2. Usipende kukaa sebuleni, hii itakuepusha kuonekana mzembe. Kaa pale kwenye muda maalum, either taarifa ya habari au kipindi pendwa.
3. Ukipata ajira au mishe jitahidi kuchangia gharama za kutunza hiyo familia; kwa mfano unaweza leta vitu vidogo vidogo kama carrots, nk.
TAKE NOTE: Hakuna ndugu au mzazi asiyependa kukaa na wewe hadi ukazeeka ikiwa utachangia hata usafi.
Cha ajabu mwingine ndio anakereka kuliko wanaokulea hapo nyumbani!Mimi nakaa kwetu hapa nataka niende kupakua lunch (nimechelewa kuamka sana). Nikimaliza nawasha TV natizama Aljazeera updates za corona mpaka cha usiku kiive.
Kuna ubaya upi akiitwa mario wakati ana uhakika wa kupata utelezi ?hahha ukiyaepuka hayo utapata masimango ya kuitwa mario
hamna ubayaKuna ubaya upi akiitwa mario wakati ana uhakika wa kupata utelezi ?
Na yule mdogo wako huwa unamwambia hivi hivi.Shemeji akirudi na dada amekwenda kusukwa nywele mtengee chakula na akimaliza kula osha vyombo.
Hata kama una mvi kumbuka kuosha Gari ya shemeji.
Noma sana mkuu JF hapa kila mtu ana nyumba au kapanga tunaoishi kwetu tunaonekana maboya kinyama.Cha ajabu mwingine ndio anakereka kuliko wanaokulea hapo nyumbani!
Hilo ni sawa ina maana jamaa kaambiwa aiongoze familia.Sio kweli ... Kuna rafiki baba yake amefariki na maisha yake mazuri ana wadogo zake kama wa4 wote wanasoma...Imebidi arudi kukaa kwao ili ahudumie familia kwanza
Anajaza tu chooCha ajabu mwingine ndio anakereka kuliko wanaokulea hapo nyumbani!
That's nakuambia watu wanatafsiri vibaya kukaa homeHilo ni sawa ina maana jamaa kaambiwa aiongoze familia.
Mimi mama yangu mdogo upande wa mama aliolewa na jamaa wakapata mtoto mmoja ila kabla mama mdogo hajajifungua jamaa alipigiwa simu toka Mbeya aende fasta mzee wake anaumwa.
Jamaa alivyoenda akapewa wosia abaki Mbeya kuitunza familia yake.
Mpaka naandika hii comment ni miaka kama 9 imepita Mama mdogo hajaonana tena na jamaa.