Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

Hata mimi naifanya hiyo biashara mkuu,hapo nipo kazini![emoji116].....ni biashara nzuri sana
 

Attachments

  • 1479376034383.jpg
    29.7 KB · Views: 316
Hizi mashine ni special kwa ajili ya juice za miwa tu?? au na baadhi ya matunda?
 
Hii biashara inaonekana inalipa sana hapa mjini.
 
Unapatikana wapi naomba number yako ya simu
 
Habari ya leo?

Wadau naomba msaada kwa anayefahamu biashara ya kuuza juisi ya miwa, gharama za mashine yake, miwa yenyewe na vitu vingine vinavyohitajika.

Natanguliza shukrani
 
Anza na juice ya 3 rollers iwe stainless steel, you should be different na wengine mashine zao chafu sana.
Machine nzuri kbsa 1.8m.
 
Anza na juice ya 3 rollers iwe stainless steel, you should be different na wengine mashine zao chafu sana.
Machine nzuri kbsa 1.8m.
Mashine ya 3rollers kwa 1.8 inapatikana wapi mkuu na Imetengenezwa wapi? Kwa uzoefu wangu mashine ya rola 3 huwa bei kubwa kidogo
 
Wajuzi wa hii biashara naombeni mnijuze kuhusu hii biashara.

√.Vipi kuhusu durability ya zile Mashine za 600k.

√.Pia kama umeamua kufanya biashara ya kuuza juice ya miwa how much can you earn for a day. ?

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…