Green_Touches
Member
- Dec 25, 2016
- 67
- 18
Mtu kauliza Ili apate ufumbuz, still na ww unampa Maswali..jiulize wewe mwenyewe maswali haya
1.unaishi wapi ?
2.ninapoishi hapa wateja wapo ama wateja wangu ni akina nani?
3.malighafi ya bidhaa zangu natoa wapi kwa hapa?
4.ninapanga kutumia kiasi gani cha fedha
5. nitatoa wapi mtaji
7. mashine hizi zinapatikana wapi je nimewahi kufanya survey juu ya mashine hizo
8. kuna mtu anafanya biashara kama hii eneo nililopo hapa?
ukimaliza hayo njoo tena kasha uende SIDO iliyopo maeneo yako
sasa wewe unaogopa nini wakati sio wewe muuliza swali!!Mtu kauliza Ili apate ufumbuz, still na ww unampa Maswali..
Ningeogopa ht ku Comment nisinge comment..sasa wewe unaogopa nini wakati sio wewe muuliza swali!!
nimukuelewa samahani kama nilikukwazaNingeogopa ht ku Comment nisinge comment..
ila Hakukua na haja ya Kuwek orodha yote Hiyo ya Maswali, Ili iweje ss
Allrightnimukuelewa samahani kama nilikukwaza
Vipi mkuu hizi mashine bado unazo??Nauza 1m automatic stainless steel