Mm ninayo made in India. Ni original kabisa utaifurahia. Mwanza nilitumia za tz zilinishinda.Ndugu wana Jamvi Poleni na majukumu ya hapa na Pale. Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza juice ya Miwa kwa Mikoa ya Pwani.Ningependa kujua changamoto zake na Faida inayopatikana lakini pia Mashine inayotumia Umeme kukamua Miwa inauzwa wapi na ni shilingi ngapi....?
Naomba kuwasilisha Wadau.