Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

Duh bro Jr. Mimi ni hupendelea kahawa sana sasa kuna tatizo shuguli zangu haziendi zimegoma kwa kipindi kirefu Hali imekuwa mbaya: kuna jamaa yangu ninae kaa nae kijiweni kanieleza hapa wamesha tuvuruga kisa wazee ni wengi wanao jihusisha na umamajusi, je unaweza. Nipa mwekekeo maana Hali imekuwa nzito mbele naona tambara jeusi amani hakuna.
 
Piga chumvi ya mawe tu utaona matokeo yake, ukisema nawe uende kwa fundi hutawaweza
 
Sipendi uchawi, sipendi ushirikina, sipendi kujihusisha kwa namna yoyote na mtu mwenye itikadi hizi. I just hate it.

Nikijua mtu ni mshirikina faster namkwepa.
 
Baadhi ya walozi ni watu wako wa karibu na unaowaheshimu na kuwapenda sana..wengine ni viongozi wako kiimani
Sina kiongozi wa kiimani, hilo litoe. It's just me...

Hao ninaowaheshimu ni swala la muda tu itajulikana, hakuna siri duniani..kumbuka!

Bottom line, sipendi ushirikina na siwapendi wanaojihusisha na hizi mambo!
 
Mimi nadhani katika vitu vinavyonivutia ushirikina ni kimojawapo, kuna mengi makubwa kwenye hii kaliba...! Kwa tafsiri yako hii mimi niko kwenye list yako[emoji1]
 
Mimi nadhani katika vitu vinavyonivutia ushirikina ni kimojawapo, kuna mengi makubwa kwenye hii kaliba...! Kwa tafsiri yako hii mimi niko kwenye list yako[emoji1]
Hakika mkuu, kama upo huko mimi mtaani tunaishia salam tu.
 
uliona mauzauza gani usiku mkuu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Nina chale mwilini [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…