sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
mkuu, naskia sisi wa africa mfano wabongo kwenye swala la hii sayansi, tunaitumia kama toys za watoto kuchezea watu usiku, kushushana maendeleo, malimbwata, chuma ulete, wanasema ni level ya chini mno kwenye haya mambo, huko kwa wajerumani naskia teknolojia hii ina usiri mkubwa mno na ni level za juu sana ndio maana hata huku walivamia hata makabila yaliyotukuka kwa ushirikina, N.B muingereza alikuja baadae sana baada ya mjerumani kusafisha njia.Dah ni kweli mkuu .. Mambo mengi nilipitiwa ngoja wiki hii nione
Wajerumani kwenye hizo mambo wako vizuri mno
Je, uzito wa teknolojia ya hao jamaa unajulikana huko vilingeni kwenu?