Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashaka yako ni kwavile hutaki mtazamo tofauti na kile unachokiamiani ama pengine kuna mahali unashindwa kupaelewasi kweli ni 1.uonevu na 2. wivu ndiyo chanzo kikubwa, ninapata mashaka na uhusika wako ktk haya maswala, pengine unafanya hivi for self interest
[emoji23][emoji23][emoji23]unamchana tunina hirizi kubwa mno niliambiwa niwe naiweka uvungu wa kitanda,siku mke wangu akiiona sijui nitamwambia nini mlokole yule
Leta story iyo, tuachane na wachawi wanaodanganya watu kwamba uchawi haupo. Hafu wanaroga kidogo kidogoUshirikina upo, Nimeumizwa muda mrefu sana,
Nimepoteza mengi sana bila kufahamu,
Ila sasa nimestuka tena kupitia hapa hapa JF,
Ndio nimeanza kuchukua hatua ,kdg uahueni nauona ,
Mungu nisaidie, ipo siku ntaleta story kamili hapa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Zidi kusimama na Mungu..yeye pekee ndio tiba kamiliUshirikina upo, Nimeumizwa muda mrefu sana,
Nimepoteza mengi sana bila kufahamu,
Ila sasa nimestuka tena kupitia hapa hapa JF,
Ndio nimeanza kuchukua hatua ,kdg uahueni nauona ,
Mungu nisaidie, ipo siku ntaleta story kamili hapa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Punde Ntaileta tu mkuu,Leta story iyo, tuachane na wachawi wanaodanganya watu kwamba uchawi haupo. Hafu wanaroga kidogo kidogo
Hakika.Zidi kusimama na Mungu..yeye pekee ndio tiba kamili
Nasubiri hii story.Punde Ntaileta tu mkuu,
kifupi nimetokea hata kuwachukia mapadri na viongozi wengine wa dini kwan wamehadaa watu wengi kwenye kifungo cha dini za kikoloni,wkt huko matatizo hayatatuliki na watu wamejaaa shida kibao kila kukicha.
Waafrika turudi kwenye asili yetu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Absolutely hata wachawi wanashauri ivyo ,ikiwa nao wamejificha huko huko, leta story hiyo itatusaidia wengi sana na kuondokana kifungo Cha dini, Dini ni Pana sana ila inatufunza kwa asilimia 5 tu, izo 95 zimefichwa ili tusijue kitu au tuendelee kuwa kifungoni.Punde Ntaileta tu mkuu,
kifupi nimetokea hata kuwachukia mapadri na viongozi wengine wa dini kwan wamehadaa watu wengi kwenye kifungo cha dini za kikoloni,wkt huko matatizo hayatatuliki na watu wamejaaa shida kibao kila kukicha.
Waafrika turudi kwenye asili yetu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ukiileta usisahau kunitagPunde Ntaileta tu mkuu,
kifupi nimetokea hata kuwachukia mapadri na viongozi wengine wa dini kwan wamehadaa watu wengi kwenye kifungo cha dini za kikoloni,wkt huko matatizo hayatatuliki na watu wamejaaa shida kibao kila kukicha.
Waafrika turudi kwenye asili yetu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mie nimewahi kuvunja yai njiapanda sema sasa sikujua kama ni njia panda sahihi au lah maana baadae sana baada ya kuvunja yai ndo nikaja kusikia kua kuna njia panda dume na jike na zina kazi tofautiNknk
- Uliwahi kurogwa?
- Uliwahi kuroga?
- Una chale mwilini?
- Ulisimuliwa tuu?
- Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka?
- Ulishawahi kudalaliwa?
- Ulishawahi kutapeliwa?
- Una hirizi?
- Ulishawahi kunyweshwa kombe?
- Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini?
- Ulishawahi kuvunja nazi njia panda?
Uzoefu wako ni upi hasa...! FUNGUKAAA...!!! Dunia ya ushirikina ni pana sana... Na kama bado hujaishiriki basi kuna hiki chuo cha maisha hujafuzu! Sometimes ni muhimu kuroga japo kidogo tu ili uongeze cv yako...!
Kuomba Mungu tuNimechanjia madawa mengi sana aisee