Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Hiyo kesho haijafikaga etKesho tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kesho haijafikaga etKesho tafadhali
Mshana umetangaza kustaafu bado watu wanakuhitaji
Kurogwa... yes ila kuloga sijawahi, sijawahi kwenda kwa sangomaNknk
- Uliwahi kurogwa?
- Uliwahi kuroga?
- Una chale mwilini?
- Ulisimuliwa tuu?
- Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka?
- Ulishawahi kudalaliwa?
- Ulishawahi kutapeliwa?
- Una hirizi?
- Ulishawahi kunyweshwa kombe?
- Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini?
- Ulishawahi kuvunja nazi njia panda?
Uzoefu wako ni upi hasa...! FUNGUKAAA...!!! Dunia ya ushirikina ni pana sana... Na kama bado hujaishiriki basi kuna hiki chuo cha maisha hujafuzu! Sometimes ni muhimu kuroga japo kidogo tu ili uongeze cv yako...!
Nimekumbuka nilivyopewa hirizi nikapewa maelekezo ya kuifunga pamoja na vipande vya hela zote za noti na shilling 250
Kafara la damu ya mnyama kama ngombe au mbuzi kuanzia watatu.. Lingine la haraka zaidi ni damu ya mtuMkuu nieleweshe pls nikiwa na damu kubwa kivip. Maana nimekwama sana mkuu wangu kwenye swala LA biashara mpaka mke kanikimbiwa wiki iliyopita kwakua sina kipato. Natamani SNA kua na nyota ya biashara nipate na kipato nisaidie pls kama unaweza
Kuna dada mmoja huku Jana tumemuona anavunja Nazi Tisa Tena saa 12 jioni mkuu vipi hiyo Ina maana gani???