Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Duuh ndo Nazi zote hizo [emoji3] halafu ikitokea umechukua hizo Nazi ukaenda kupikia zina madhara??? [emoji87]Maelekezo ya mganga hayo pengine ishu za mahusiano mostly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh ndo Nazi zote hizo [emoji3] halafu ikitokea umechukua hizo Nazi ukaenda kupikia zina madhara??? [emoji87]Maelekezo ya mganga hayo pengine ishu za mahusiano mostly
Ohh Kwahiyo kabla haijapasuka ndo inakuwa Ina mtihani [emoji3]Ikishapaosuka hakuna shida tena
Na vp ndugu yangu namna ya kujifungua katika mambo ya ajira maana yapata miaka 4 sasa na elimu ni ya degree kabsaYeah ni sawa tu na bomu au risasi..
Tatizo la dunia hili kaka.. Graduates ni wengi ajira ni kiduchu .. Anza kufikiria namna ya kujiajiri.. Mganga asikudanganye atakutengeza upate ajiraNa vp ndugu yangu namna ya kujifungua katika mambo ya ajira maana yapata miaka 4 sasa na elimu ni ya degree kabsa
Siku hizi umeacha kuandika mada za uchawi, ulozi na ushirikina![]()