Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

Na vp ndugu yangu namna ya kujifungua katika mambo ya ajira maana yapata miaka 4 sasa na elimu ni ya degree kabsa
Tatizo la dunia hili kaka.. Graduates ni wengi ajira ni kiduchu .. Anza kufikiria namna ya kujiajiri.. Mganga asikudanganye atakutengeza upate ajira
 
Screenshot_20220222-155342.jpg
 
Back
Top Bottom