Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

@Mshana Jr umenifanya nikumbuke mbali sana....
Ni kati ya mwaka 2006 na 2008 kipindi niko secondary huko Shinyanga. Shybush kwa utani.. kulitokea mwamba akasepa na kitita Changu ilikuwa ni laki 3 bwana nimempanga mzee na nimekuja nayo shule... sasa Ile peered pressure nikaamua niende maganzo kumtafuta witch doctor [emoji16] nikapewa maelekezo kuwa kuna kijiji kimoja kipo maeneo ya ibadakuli kuwa kuna Bibi kizee ni hatari kubwa... wakati huo hata siamini kama wanaweza kunisaidia...
[emoji851][emoji851]Duuh Yaani mzee kwa mara ya Kwanza naona television screen kwenye beseni Yaani mchezo wote utadhani Movie... [emoji15]duuh Yaani bedmate wangu ndo alinifanyia huo wizi....Halafu mzee akaniuliza unataka nimfanye nini?? Yaani moyo Ulikuwa unadunda vibaya sana. Nilimuomba tu aache kumdhuru na niliweka Buku 5 kwenye kijichungu fulani hivi...
Uchawi Upo wakuu [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Shinyanga ndio staili yao hiyo,ukitua pale ukiulizia tu kwa mganga mwenye tv ni wapi unapelekwa,wako wengi kule
 
@Mshana Jr umenifanya nikumbuke mbali sana....
Ni kati ya mwaka 2006 na 2008 kipindi niko secondary huko Shinyanga. Shybush kwa utani.. kulitokea mwamba akasepa na kitita Changu ilikuwa ni laki 3 bwana nimempanga mzee na nimekuja nayo shule... sasa Ile peered pressure nikaamua niende maganzo kumtafuta witch doctor [emoji16] nikapewa maelekezo kuwa kuna kijiji kimoja kipo maeneo ya ibadakuli kuwa kuna Bibi kizee ni hatari kubwa... wakati huo hata siamini kama wanaweza kunisaidia...
[emoji851][emoji851]Duuh Yaani mzee kwa mara ya Kwanza naona television screen kwenye beseni Yaani mchezo wote utadhani Movie... [emoji15]duuh Yaani bedmate wangu ndo alinifanyia huo wizi....Halafu mzee akaniuliza unataka nimfanye nini?? Yaani moyo Ulikuwa unadunda vibaya sana. Nilimuomba tu aache kumdhuru na niliweka Buku 5 kwenye kijichungu fulani hivi...
Uchawi Upo wakuu [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Halafu mzee akaniuliza unataka nimfanye nini??
Napo anajivua lawama.. Ukisema afe unapewa kisu umchome
Ukisema ateseke unapewa sindano, ukimchoma machoni atakuwa na shida ya macho nk
 
[emoji23]asali tena!!!!
Wanadamu tu,nilipigwa juju sio la nchi hii
Yaan unapigwa juju hadi mamaako aliyekuzaa anakukataa kuwa wewe sio mwanangu,mwanangu hayupo hivi[emoji24]

Uchawi upo
Pole mkuu....! Tupe mkasa mzima kwamba ilikuwa vipi ili tujifunze.!
 
  • Uliwahi kurogwa?
  • Uliwahi kuroga?
  • Una chale mwilini?
  • Ulisimuliwa tuu?
  • Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka?
  • Ulishawahi kudalaliwa?
  • Ulishawahi kutapeliwa?
  • Una hirizi?
  • Ulishawahi kunyweshwa kombe?
  • Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini?
  • Ulishawahi kuvunja nazi njia panda?
Nknk

Uzoefu wako ni upi hasa...! FUNGUKAAA...!!! Dunia ya ushirikina ni pana sana... Na kama bado hujaishiriki basi kuna hiki chuo cha maisha hujafuzu! Sometimes ni muhimu kuroga japo kidogo tu ili uongeze cv yako...!
Mkuu hivyo vyote ulivyovitaja vinanihusu kasoro hiyo moja tu (power bank) hirizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
@Mshana Jr Naomba Nikuulize kitu:
Hivi hii Teknolojia ya kufanya maji ya kwenye beseni kuwa High Definition Television Yaani kitu bila chenga huwa ni level ya ulozi ya Kawaida au iko advanced sana?? Maana wengi akichoma kitu mfano kisu sehemu yoyote basi mtu ambaye taswira yake inaonekana kwenye television asilia basi uenda akakutana na matatizo na wengine kupoteza maisha Kabsa.
Hivyo swali langu ni kuwa je kila mganga au mchawi anaweza kutengeneza television asilia au ni level nyingine?
Shukrani sana kwa michango yenu.... Nipo
 
Hapana hii ni ufundi wa aina yake na wanaouweza ni wachache sana.. Yaani kuweza kumvuta mtu mpaka kwenye karai la maji nitakuja na mada yake usijali
 
Mkuu naona kimya mpaka Leo, alafu hivi wajerumani wanasema ni wakuda sana kwenye haya mambo, je kuna ukweli
 
Dah ni kweli mkuu .. Mambo mengi nilipitiwa ngoja wiki hii nione
Wajerumani kwenye hizo mambo wako vizuri mno
 
Back
Top Bottom