Mutangi
Senior Member
- Oct 13, 2020
- 128
- 248
Wakuu habari za wakati huu? Moja kwa moja niende kwenye mada. Kwa dunia ya sasa internet imekuwa ni moja kati ya basic needs kama ilivyo chakula, mavazi na malazi. Lakini changamoto kubwa hasa kwa nchi zetu za ulimwengu wa tatu huduma ya internet inaonekana kama ni anasa. Kwanza ni unreliable, then ni expensive.
Nilitaka kuunganisha TV yangu na internet ila nikifikiria kununua bando za kila wiki sitatoboa. Maana kuangalia Netflix episode ya saa 1 quality ya HD unatumia almost 1 GB. Sasa nikaona nijaribu kuulizia unlimited internet. Nikakutana na voda wao plan zao zinaanzia 115k kwa mwezi nikaona ni parefu sana.
Nikaenda Airtel nikaambiwa wana unlimited internet kuanzia 70K ambapo unapata speed ya up to 10Mbps mwezi mzima. Nikawauliza mara mbilimbili kama ni unlimited kweli wakasema ni unlimited. Maana kuna ile unaambiwa ni unlimited ila ukishatumia maybe 24GB speed inashuka hadi 1Mbps.
Basi baada ya kunihakikishia kuwa ni unlimited nikanunua router kwa 200k nikasajiliwa.
Bahati nzuri mahali ninapoishi Airtel inashika vizuri tu kama inavyoonekana kwenye picha, bahati mbaya tu hamna 5G. Nilitumia mwezi mzima speed ileile naangalia Netflix HD, YouTube bila shida.
Kuna wakati mtandao unakuwa chini sana hadi urestart router but generally experience yangu imekuwa positive. Huu ni mwezi wa nne nalipia, nimeachana na kulipia dstv kabisa. Wakati tunamsubiri bwana Musk ajenge ofisi za starlink tunaweza kuishi na hizi kwanza.