abdallahross
Member
- Feb 16, 2017
- 37
- 23
Kwan mkuu kwa Tz itakubal starlink?Usisubiri ajenge ofisi hapa. Fanya utaratibu u-subsribu tokea nchi jirani ambapo huyo Starlink anafanya kazi na update vifaa uje uweke kwako na unaweza kuwa unalipa online au kwa kutumia mtu aliyepo uko nje. Nakwambia hutojutojutia.