Uzoefu wangu baada ya kutumia 5G smartbox kutoka Airtel

Uzoefu wangu baada ya kutumia 5G smartbox kutoka Airtel

image.jpg

USHAHIDI HUU HAPA
 
Torrent sio kipimo cha ku doubt speed ya ISP

Torrent ina mambo mengi, file lenyewe usikute lina leachers nyingi kuliko seeders.

Pima speed hapa afu tuwekee screenshot speedtest
MKUU NILIFANYA TAFITI SIKURIDHIKA NIKAENDA OFISINI

Majibu yao ni kuwa wana kiasi chao wanachotoa kwa kasi kubwa then wanapunguza kasi ukifika kiasi hicho walichopima wao kwa sisis wa 10MBPS mwisho wa kasi ni around 600 to 700GBs

Natumia hadi idm mkuu ila mwendo mwanzoni ni mterezo baadae wanashusha speed
 
MKUU NILIFANYA TAFITI SIKURIDHIKA NIKAENDA OFISINI

Majibu yao ni kuwa wana kiasi chao wanachotoa kwa kasi kubwa then wanapunguza kasi ukifika kiasi hicho walichopima wao kwa sisis wa 10MBPS mwisho wa kasi ni around 600 to 700GBs

Natumia hadi idm mkuu ila mwendo mwanzoni ni mterezo baadae wanashusha speed
Ni kweli hicho ulichokizungumza hata mimi miezi miwili iliyopita nilikuwa huko huko Morroco kuripoti tatizo hilo na nilipewa majibu hayo hayo.

Mimi nilikuwa natumia kifurushi cha 110K lakini nilipofikisha 1TB tu ikawa ni shida.
 
Wakuu habari za wakati huu? Moja kwa moja niende kwenye mada. Kwa dunia ya sasa internet imekuwa ni moja kati ya basic needs kama ilivyo chakula, mavazi na malazi. Lakini changamoto kubwa hasa kwa nchi zetu za ulimwengu wa tatu huduma ya internet inaonekana kama ni anasa. Kwanza ni unreliable, then ni expensive.
Nilitaka kuunganisha TV yangu na internet ila nikifikiria kununua bando za kila wiki sitatoboa. Maana kuangalia Netflix episode ya saa 1 quality ya HD unatumia almost 1 GB. Sasa nikaona nijaribu kuulizia unlimited internet. Nikakutana na voda wao plan zao zinaanzia 115k kwa mwezi nikaona ni parefu sana.
Nikaenda Airtel nikaambiwa wana unlimited internet kuanzia 70K ambapo unapata speed ya up to 10Mbps mwezi mzima. Nikawauliza mara mbilimbili kama ni unlimited kweli wakasema ni unlimited. Maana kuna ile unaambiwa ni unlimited ila ukishatumia maybe 24GB speed inashuka hadi 1Mbps.
Basi baada ya kunihakikishia kuwa ni unlimited nikanunua router kwa 200k nikasajiliwa.View attachment 3120640
Bahati nzuri mahali ninapoishi Airtel inashika vizuri tu kama inavyoonekana kwenye picha, bahati mbaya tu hamna 5G. Nilitumia mwezi mzima speed ileile naangalia Netflix HD, YouTube bila shida.
Kuna wakati mtandao unakuwa chini sana hadi urestart router but generally experience yangu imekuwa positive. Huu ni mwezi wa nne nalipia, nimeachana na kulipia dstv kabisa. Wakati tunamsubiri bwana Musk ajenge ofisi za starlink tunaweza kuishi na hizi kwanza.
Mkuu nami naomba unipr websites za kuangalia mipira online. Asante
 
Hata mimi situmii kwa biashara.

nilipiga mahesabu ya kununua bundle la siku, wiki hata muda aujaisha nanunua tena nilkaona ni gharama kubwa afadhali niwe nanunua la unlimited.

Alafu kwa VodaCom hiyo 115K wanakupa speed ya 4G, kuanzia 120,000 ndio utapata speed ya 5G.

Hii niliambiwa wakati nanunua router yao kwenye Vodashop yao, sasa sijui kama ni kweli.
Kwa TZ Voda hata wakupe ya 3G bado speed ipo vzr Kwa matumizi ya kawaida Kwa infrastructure walizotumia
 
Hii baadhi ya mechi huwa haioneshi mkuu
Kuna mwamba humu aliweka tangazo la iptv reselling kwa elfu tisa tu kwa mwezi .Iko moto sana hio huduma channel zaidi ya 200 zinaonyesha Dstv supersport zote live , Canal + zote live na Azamsport zote live .Mcheki ila uwe na unlimitted spidi kubwa maana quality ni 4K
 
Back
Top Bottom