Uzoefu wangu baada ya kutumia 5G smartbox kutoka Airtel

Torrent sio kipimo cha ku doubt speed ya ISP

Torrent ina mambo mengi, file lenyewe usikute lina leachers nyingi kuliko seeders.

Pima speed hapa afu tuwekee screenshot speedtest
MKUU NILIFANYA TAFITI SIKURIDHIKA NIKAENDA OFISINI

Majibu yao ni kuwa wana kiasi chao wanachotoa kwa kasi kubwa then wanapunguza kasi ukifika kiasi hicho walichopima wao kwa sisis wa 10MBPS mwisho wa kasi ni around 600 to 700GBs

Natumia hadi idm mkuu ila mwendo mwanzoni ni mterezo baadae wanashusha speed
 
Kwa wale mnaotumia sana data kupita 700GB kwa upande wa tigo mtupe mrejesho
 
Ni kweli hicho ulichokizungumza hata mimi miezi miwili iliyopita nilikuwa huko huko Morroco kuripoti tatizo hilo na nilipewa majibu hayo hayo.

Mimi nilikuwa natumia kifurushi cha 110K lakini nilipofikisha 1TB tu ikawa ni shida.
 
Mkuu nami naomba unipr websites za kuangalia mipira online. Asante
 
Kwa TZ Voda hata wakupe ya 3G bado speed ipo vzr Kwa matumizi ya kawaida Kwa infrastructure walizotumia
 
Hii baadhi ya mechi huwa haioneshi mkuu
Kuna mwamba humu aliweka tangazo la iptv reselling kwa elfu tisa tu kwa mwezi .Iko moto sana hio huduma channel zaidi ya 200 zinaonyesha Dstv supersport zote live , Canal + zote live na Azamsport zote live .Mcheki ila uwe na unlimitted spidi kubwa maana quality ni 4K
 
nauza Powerbank ya Airtel 5g router 0711707070
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…