A abdallahross Member Joined Feb 16, 2017 Posts 37 Reaction score 23 Nov 14, 2024 #41 rushanju said: Usisubiri ajenge ofisi hapa. Fanya utaratibu u-subsribu tokea nchi jirani ambapo huyo Starlink anafanya kazi na update vifaa uje uweke kwako na unaweza kuwa unalipa online au kwa kutumia mtu aliyepo uko nje. Nakwambia hutojutojutia. Click to expand... Kwan mkuu kwa Tz itakubal starlink?
rushanju said: Usisubiri ajenge ofisi hapa. Fanya utaratibu u-subsribu tokea nchi jirani ambapo huyo Starlink anafanya kazi na update vifaa uje uweke kwako na unaweza kuwa unalipa online au kwa kutumia mtu aliyepo uko nje. Nakwambia hutojutojutia. Click to expand... Kwan mkuu kwa Tz itakubal starlink?
Mutangi Senior Member Joined Oct 13, 2020 Posts 128 Reaction score 248 Nov 24, 2024 Thread starter #42 MtoMsimbazi said: Kwa TZ Voda hata wakupe ya 3G bado speed ipo vzr Kwa matumizi ya kawaida Kwa infrastructure walizotumia Click to expand... Recently speed ya voda imekuwa kama mitandao mingine tu, japo bei yao iko juu.
MtoMsimbazi said: Kwa TZ Voda hata wakupe ya 3G bado speed ipo vzr Kwa matumizi ya kawaida Kwa infrastructure walizotumia Click to expand... Recently speed ya voda imekuwa kama mitandao mingine tu, japo bei yao iko juu.
Mutangi Senior Member Joined Oct 13, 2020 Posts 128 Reaction score 248 Nov 24, 2024 Thread starter #43 abdallahross said: Kwan mkuu kwa Tz itakubal starlink? Click to expand... Soon inaweza kuruhusiwa kufanya biashara. Changamoto itakuwa affordability.
abdallahross said: Kwan mkuu kwa Tz itakubal starlink? Click to expand... Soon inaweza kuruhusiwa kufanya biashara. Changamoto itakuwa affordability.