Uzoefu wangu kwenye mali na vitu vya minada: Jifunze toka kwangu ujiokoe na mengi

Uzi mzuri Sana .

Ila Mimi ambacho nilijifunza katika maisha ukifanja jambo kwa nia ya kujipatia faida , basi hilo jambo halitakuwa na baraka Kama utapata hela hiyo hela itaishia Ku-solve migogoro na majanga .

Mfano wakati tupo chuo kuna mkufunzi alikuwa akiwafelisha wanafunzi makusudi ili apate hela

Siku moja aliingia katika mfumo wangu alinijaribu Ila nilimwambia LIVE kuwa mimi sipo ulimwengu unaoishi wewe baada ya muda alihamishwa akatupwa Pemba na huo ndo ulikuwa mwisho wake wa kunyanyasa watu.

Pia hela alizokuwa anapta zilimtia mikosi aliishia kupata ukimwi , na huo kaambukizwa na Mwanafunzi ambaye alisema nitamnyoosha.

The same hata hawa wanunua VITU MTU kapigika anauza TV ya 1M kwa 300K na bado unamlalalia unampa 200K then wewe unauza 800K kweli biashara ya hivi itakupaje Baraka.
Kujipatia FAIDA nimemaanisha kuwa umemuona labda single mother anapitia changamoto za maisha .

Anakuja kukuomba msaada Ila unamwambia ili umsaidie lazima ulale nae , hiyo kulala nae ndo itakuwa siku yako ya kwanza kupata gono ,ukimwi au mikosi ya maisha.

Kwakuwa msaada unategemea na intention behind ikiwa utamsaidia ili ulale nae basi huo sio msaasa Ila ulilenga kujipatia FAIDA.

Na hata akikubalia lazima atakuja kukupiga tukio litakalokuacha midomo wazi .

Na huo ndo utakuwa mwanzo wa kuwachukia single mama wote duniani.
 
Ni mada ya kiroho lakini itakayoanzia kimwili, Hi yo inaweza kuwatatiza wengine!
Pili mifano nitakayotoa ni halisi na ikibidi nitataja majina halisi ili watu wapate kuelewa vema.. .

Kuna aina tofauti ama mbalimbali za minada. Mada hii haiangazii minada ile ya furaha ya kwenda kula nyama choma na kufanya shopping mbalimbali kwenye masoko ya siku za wiki

Mada hii pia haihusiki na ile minada ya Ku clear stock ghalani baada ya mmiliki kutaka kuingiza mali mpya
Wala mada hii haihusiani na ile minada ya msimu ya watu wanaoamua kuuza vitu vyao kwa hiari baada ya kuvichoka ama kukaa navyo muda mrefu

Na mwisho haihusiani na ile minada ya mashirika ama site zilizomaliza projects

Mada hii ni maalum kwa wale wanaonunua mali na vitu vya wengine wanaodaiwa na ambao wameshindwa kulipa madeni hivyo vitu ama mali zao hizo inabidi kuuzwa ili kufidia deni husika!

Mali na vitu vya namna hii maranyingi huuzwa kwa bei ya chini tofauti na uhalisia! Usishangilie kuvipata kwa bei ya kutupa vina changamoto zake kiroho

Iwe nyumba, shamba ama kiwanja
Iwe gari, mashine, au mtambo

Iwe samani za ofisi, nyumbani au kwenye biashara

Iwe vyombo vya biashara ama matumizi nyumbani.. Vyote hivi vina muhuri wa umiliki wa mtu mwingine.. Kuvibadili umiliki kwa lazima bila hiari ya moyo ya mmiliki wake kuna shida zake kiroho.. Tena kubwa tuu

Unaataka kuanzisha biashara yoyote tena kwa pesa yako halali kabisa mfano gesti, gari ya abiria au mizigo, mgahawa, bar nk! Unapata nyenzo zitokanazo na mnada wa aliyekuwa anafanya biashara kama yako kisha akafeli vitu vikapigwa mnada kulipia madeni ya wafanyakazi, mkopo kodi nk halafu ukavununua wewe kwenda kuanzisha biashara kama hiyohiyo. Ukifaulu shangilia sana..!

Unaweza kuanzisha biashara husika na vitu vya mnada na ukafaulu vizuri tuu lakini mapato yake yasiwe na baraka! Hayakuzi biashara wala hayatunzi faida! Kila ukiikata pesa yake kuna changamoto inajitokeza unaitumia yote!

Kama ni gari la kukodi kila ukipokea hela yake kuna jambo litajitokeza uitumie kwalo.. Kama sio kwenye gari lenyewe basi ni la kwako binafsi ama ndani ya familia.
Utaendelea hivyo mpaka utafilisika na kufunga biashara huku sometimes ukibaki na madeni na changamoto kibao

Bila kujua ni mambo ya kiroho utajifariji na kauli za kimfaacho mtu chake! Utauza zile nyenzo zote na pesa yake hutaona umeifanyia nini

Upo vizuri sana mdau, NI KWELI KABISA KABISA KABISA 👏👏👏👏👏
 
Again bro you're damn right, absolutely!
Hizo mali zinakuwa kama zina LAANA!
Zitakuletea matatizo lukuki, hata pressure na msongo wa MAWAZO!
Hazilete faida wala ile ku BREAK EVEN!
Mburaa, tuacheni nazo kabisa...
 
Ukweli ambao wengi hawatopenda kuukubali. Kila kusudi lina matokeo yake hiyo ni kanuni ya asili, huwezi kukwepa matokeo.
 
Ndg Mshana Sasahv pia Naona Kuna biashara imeshamiri sana,sasahv Kuna watu wameanzisha vijiwe wananunua vitu na kuuza vitu...yan wanaletewa vitu fernisher,baiskel,tv,mafriji nk wanavinunua,ila na wao wanaviuza kwa bei juu.
Aisee Hiki unachoongea ni kweli,nimejaribu kuchunguza Kuanzia hao wenye hxo biashara na pia nimechunguza hta maeneo wanayofanyia ,kiukweli nimegundua ni watu wenye msongo wa mawazo muda nwingi na Hata sura zao hazina nuru kabisa,pia Yale mazingra ya biashara yao ni ya hovyo mnoo,yan vitu vinauzwa kma Vipo dampo.
Hili nalo Sijui unalizungumziaje mkuu?
 
Wanapata sana hela lakini zinakuja na changamoto zake nyingi sana na ni kama pepo hivi.. Kutoka hawawezi kuacha hawawezi.. Ni biashara iliyojaa chuma ulete
 
Mambo ya kiroho= Unproven hear say
Hayaja kukuta...kuanzia leo anza kuandika maneno unayo tamkiwa...na watu...harafu kila baada ya muda uwe unasoma na kujiuliza kimetimia au bado...then andika matarajio yako jinsi unavyo jiona miaka 5 mbele...! Harafu Baada ya miaka hiyo kupita nenda kasome ulivyo jiandika uone imekuwa au haijawa..!

​
 
Back
Top Bottom