Uzoefu wangu kwenye mali na vitu vya minada: Jifunze toka kwangu ujiokoe na mengi

Kujipatia FAIDA nimemaanisha kuwa umemuona labda single mother anapitia changamoto za maisha .

Anakuja kukuomba msaada Ila unamwambia ili umsaidie lazima ulale nae , hiyo kulala nae ndo itakuwa siku yako ya kwanza kupata gono ,ukimwi au mikosi ya maisha.

Kwakuwa msaada unategemea na intention behind ikiwa utamsaidia ili ulale nae basi huo sio msaasa Ila ulilenga kujipatia FAIDA.

Na hata akikubalia lazima atakuja kukupiga tukio litakalokuacha midomo wazi .

Na huo ndo utakuwa mwanzo wa kuwachukia single mama wote duniani.
 
Upo vizuri sana mdau, NI KWELI KABISA KABISA KABISA 👏👏👏👏👏
 
Again bro you're damn right, absolutely!
Hizo mali zinakuwa kama zina LAANA!
Zitakuletea matatizo lukuki, hata pressure na msongo wa MAWAZO!
Hazilete faida wala ile ku BREAK EVEN!
Mburaa, tuacheni nazo kabisa...
 
Ukweli ambao wengi hawatopenda kuukubali. Kila kusudi lina matokeo yake hiyo ni kanuni ya asili, huwezi kukwepa matokeo.
 
Ndg Mshana Sasahv pia Naona Kuna biashara imeshamiri sana,sasahv Kuna watu wameanzisha vijiwe wananunua vitu na kuuza vitu...yan wanaletewa vitu fernisher,baiskel,tv,mafriji nk wanavinunua,ila na wao wanaviuza kwa bei juu.
Aisee Hiki unachoongea ni kweli,nimejaribu kuchunguza Kuanzia hao wenye hxo biashara na pia nimechunguza hta maeneo wanayofanyia ,kiukweli nimegundua ni watu wenye msongo wa mawazo muda nwingi na Hata sura zao hazina nuru kabisa,pia Yale mazingra ya biashara yao ni ya hovyo mnoo,yan vitu vinauzwa kma Vipo dampo.
Hili nalo Sijui unalizungumziaje mkuu?
 
Wanapata sana hela lakini zinakuja na changamoto zake nyingi sana na ni kama pepo hivi.. Kutoka hawawezi kuacha hawawezi.. Ni biashara iliyojaa chuma ulete
 
Mambo ya kiroho= Unproven hear say
Hayaja kukuta...kuanzia leo anza kuandika maneno unayo tamkiwa...na watu...harafu kila baada ya muda uwe unasoma na kujiuliza kimetimia au bado...then andika matarajio yako jinsi unavyo jiona miaka 5 mbele...! Harafu Baada ya miaka hiyo kupita nenda kasome ulivyo jiandika uone imekuwa au haijawa..!

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…