Uzoefu wangu kwenye mali na vitu vya minada: Jifunze toka kwangu ujiokoe na mengi

Naweka lamination hapa isomwe na woteeeeeee na woteeeeeee tuseme....

tuseme aminaa

Infropreneur , kaka angu Kiranga na wadau wengine wengine.

Karibuni kwa maoni yenu.
Kwanza kabisa athibitishe roho ipo sio kelele nyingi mambo ya kiroho wakati hata hiyo roho yenyewe hajawahi kuthibitisha ipo.

Haya, thibitisheni roho ipo.
 
Sioni tofauti ya mnada na simu za wizi za Mwananyamala kwakua anayeibiwa anakua amekunja roho.

Mwanetu unataka ununue vitu vya bei chee peke yako
Karibu kijiwezi upele hanyimwi mtuπŸ˜€
 
Mshana Jr Pia tupatie somo kuhusu mikopo iwe bank,saccos au kausha damu....kwanini asilimia 80 watu wabaochukua mikopo huishia vibaya?ima kufilisika,mali zake kuuzwa bila kupenda,kudhalilishwa,misongo ya mawazo,presha wengine mpk kifo...Hzi pesa za Mikopo zina shida gani? Kwanini kila anaeuchukua hamalizi vizuri?
Ni wachache sana huwaskii kulalamika ila ukichunguza utagundua kilio cha hao wenye Mikopo hasa mikubwA Huwa wana kile kilio Cha ndani kwa ndani,kilio Cha samaki hamwambii mtu ila Kuna moto anatembea nao kimya kimya,
Zina tatizo gani kiroho Hz pesa za mikopo?
 

Huko ni kukwepa accountability.

Kama unataka iuzwe bei halali uza mwenyewe lipa deni la watu. Debtor anauza bei yeyote ile ili arudishe hela yake kama anakudai 200 anauza mali uliyoweka bond 200 sio 500. Kama inakuuma sana uza mwenyewe 500 lipa 200 ya watu. Hadi mali yako inauzwa unakuta umeshamsumbua mkopeshaji miezi unajua yeye anaendesha vp maisha na shughuli zake au mnajifikiria nyie tu?

Waafrika jifunzeni uwajibikaji na lipeni madeni on time sio kutia huruma na nadharia za kufikirika za kipuuuzi. Kama hutaki kulipa usikope in the first place. Huruma ina mahala pake sio kwenye biashara.
 
Nadhani kuna baadhi wamesoma bila kuelewa ama kuzingatia points muhimu
 

Hakuna tatizo kiroho whatsoever. Watu wanakopa kununua vitu visivyozalisha watafanya vp marejesho? Na wachache wanaojaribu kufanya biashara zinakufa watafanye marejesho? Biashara zina changamoto zake hata makampuni makubwa yanakufa sembuse hizi biashara za uchuuzi? Msipende kutafuta sababu rahisi na za nadharia kwenye mambo serious. Huo ni ufinyu wa kufikiri. Kopa when you really need it and hela iende kwenye uzalishaji kwenye shughuli ambayo tayari unajua fika sio unakopa kwenda kujaribu kitu fulani au kununua gari ya misele afu useme umerogwa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…