Uzoefu wangu wa Kutisha kwa Timu ambazo huenda Kucheza Mechi Khartoum Sudan

Kuna watu wanafurahi kumalizia nyumbani wana sahau ktk miaka minne ndani ya miaka miwili walitolewa hatua ya mzunguko CAF Championships hapo kwa Mkapa Wamakonde kutoka Msumbiji walipata droo na kuwatoa kwa goli la ugenini na Makirikiri waka wapiga tatu moja kwa Mkapa.

Sisi tunajua na haijalishi tunacheza wapi, ila makundi mwaka huu lazima, hata wakiingiza vifaru.
Wewe timu yako imeingia lini makundi?
 
Sasa wewe utopolo utajilinganisha na Mamelodi Sundowns?

Kweli dunia haiishi vituko.
Hawa waume zenu mnawasifu sana lkn hawana maajabu
IMG_20220919_234907.jpg
 
Alafu wakapata kigoli cha penalti dk ya 85 alafu kuna kenge zinanyanyua midomo eti "thimu atari iyoooo" yaani timu hatari imepita kwa faida ya goli la ugenini? Imebutuliwa 2 kwa moja ugenini na timu legelege ya st george iliyocheza na simba hapa mechi ya kirafiki na bado ikashindwa kupata goli la mipango uwanjani ikasubilia ipewe hisani ya penalt na mwamuzi, hivi kwa hali ya kawaida kikosi cha st george na yanga ni kikosi kipi kiko bora zaidi ya kingine? Sasa kama st george kapata matokeo kwa hal hilal yanga na ubora wao ndo washindwe?
Jidanganye tu Yanga usiifananishe na St George kisa uliona tukicheza nao kwa Mkapa .
Mlitolewa na kitimu cha mwaka 2017 last year tena kwa kupigwa kotekote.
Ninyi kimataifa si wa kupewa nafasi ya ushindi kamwe
 
1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili

2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana

3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni

4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa

5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji kutishiwa Kuuwawa ni kawaida sana

6. Wachezaji wenu ( hasa wa Kiafrika ) kuchokozwa kwa Makusudi ili kuwatoa Mchezoni kwa kila mara Kushikwashikwa Makalio yao katika hali ya Kudhalilishwa ni la Kutegemea mno.

7. Timu yenu ikiwa imeshinda na Wao ( Wasudani ) wametoka rasmi Mashindanoni baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni Wachezaji wenu Kujeruhiwa vibaya na hapa nina uhakika huenda atakayepona ni TK Master pekee kwa Kutoka zake Baru ( kuwa na Mbio na Kukatisha Mitaa ) ya Khartoum ila kwa Wenzake wengi kuna Uwezekano breki yao ya Kwanza ikawa ni ICU katika Hospitali Kuu ya Jijini Khartoum.

Nikikumbuka Simba SC ilivyofanyiwa Khartoum Sudan miaka ya mwishoni ya 90 na Kipa Mwameja, Mshambuliaji Edward Chumila na Kiungo Idi Selemani Kibode ( Nyigu ) walivyofanyiwa kwa Kupigwa na Kujeruhiwa vibaya huku Mshambuliaji Malota Soma akikimbia Mbio na kwenda Kujificha Chooni sina hamu nao na nawaonea mno Huruma wanaoenda huko na kibaya zaidi mnaanza nao hapa na mnaenda Kumalizana nao Kwao Uwanja wa Vita na Mapambano Jijini Khartoum nchini Sudan.

Kazi ipo......!!!!!!
Basi wasiende.
 
msisahau kwamba nabi kabla ya kutua yanga alikuwa kocha wa al hilal ni mabosi wake wa zamani na walimtimua baada ya kufungwa na simba
 
Daaaah ukiamua kua msaka tonge wala hujali utu wako. Iyo namba 2.na bado timu inardi bongo.
NJAA MBAYA MNOOO
 
Jidanganye tu Yanga usiifananishe na St George kisa uliona tukicheza nao kwa Mkapa .
Mlitolewa na kitimu cha mwaka 2017 last year tena kwa kupigwa kotekote.
Ninyi kimataifa si wa kupewa nafasi ya ushindi kamwe
Kwaiyo st george kwako wewe ni timu bora kuliko yanga sio,,Mtaendelea kupitia maumivu makali sana na bado ndo kazi imeanza
 
1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili

2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana

3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni

4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa

5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji kutishiwa Kuuwawa ni kawaida sana

6. Wachezaji wenu ( hasa wa Kiafrika ) kuchokozwa kwa Makusudi ili kuwatoa Mchezoni kwa kila mara Kushikwashikwa Makalio yao katika hali ya Kudhalilishwa ni la Kutegemea mno.

7. Timu yenu ikiwa imeshinda na Wao ( Wasudani ) wametoka rasmi Mashindanoni baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni Wachezaji wenu Kujeruhiwa vibaya na hapa nina uhakika huenda atakayepona ni TK Master pekee kwa Kutoka zake Baru ( kuwa na Mbio na Kukatisha Mitaa ) ya Khartoum ila kwa Wenzake wengi kuna Uwezekano breki yao ya Kwanza ikawa ni ICU katika Hospitali Kuu ya Jijini Khartoum.

Nikikumbuka Simba SC ilivyofanyiwa Khartoum Sudan miaka ya mwishoni ya 90 na Kipa Mwameja, Mshambuliaji Edward Chumila na Kiungo Idi Selemani Kibode ( Nyigu ) walivyofanyiwa kwa Kupigwa na Kujeruhiwa vibaya huku Mshambuliaji Malota Soma akikimbia Mbio na kwenda Kujificha Chooni sina hamu nao na nawaonea mno Huruma wanaoenda huko na kibaya zaidi mnaanza nao hapa na mnaenda Kumalizana nao Kwao Uwanja wa Vita na Mapambano Jijini Khartoum nchini Sudan.

Kazi ipo......!!!!!!
Acha kuwatisha tutawabenesha vipaja vya kuku🏃
 
Back
Top Bottom