Hao walioandikwa No.4 wakibaki Ofisini najiondoa JF.Ndio nini sasa hiki umekiandika?
Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Umenena vyema kabisaUzuri wa JPM akisha ingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale walio saidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura...
Wote mkuu wataliwaHao walioandikwa No.4 wakibaki ofcn najiondoa JF.
Bahati yao ni kwamba Magufuli hatoshinda , vinginevyo wangekwishaUzuri wa JPM akisha ingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale walio saidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura..lakini ujue...ataanza na nyie....
Umenena, ingetokea akashinda alivyo na upendeleo, ingekuwa ni wakati wake kujaza marafiki, ndugu na jamaa ofisi zote nyeti za ummaBahati yao ni kwamba Magufuli hatoshinda , vinginevyo wangekwisha
Acha kutia watu ujinga kama mtu alifanya kazi kwa bidii hawezi kutumbuliwaBahati yao ni kwamba Magufuli hatoshinda , vinginevyo wangekwisha
Angeshinda angemtimua kazi polepole anafuatiwa na Bashiru ila bahati mbaya hata 40% hafikishi hivyo kushinda kwake ni kushinda njaaUzuri wa JPM akisha ingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale walio saidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura....
Umeandika nini hii dogo😁😁😁😁😁Uzuri wa JPM akisha ingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale walio saidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura..
Tarehe 29 asubuhi na mapema ikulu chamwinoAngeshinda angemtimua kazi polepole anafuatiwa na Bashiru ila bahati mbaya hata 40% hafikishi hivyo kushinda kwake ni kushinda njaa
Labda kuchukua virago vyake vya shangazi kaja alizofungashiwa toka mlimani ila matokeo yakitangazwa mapema mnyampaa Mghwai anakuwa raisTarehe 29 asubuhi na mapema ikulu chamwino
Kama unabisha nitaku quote kukukumbusha😘🇹🇿😛
Tarehe 29 asubuhi na mapema ikulu chamwinoLabda kuchukua virago vyake vya shangazi kaja alizofungashiwa toka mlimani ila matokeo yakitangazwa mapema mnyampaa Mghwai anakuwa rais