Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

Kama atarudi wa kwanza kumtumbua ataanza na Mahera kwa kushindwa kutii maagizo ya kumkata Lisu wakati wa urejeshaji form, IGP kwa kuacha wapinzani watambe kuliko yeye.
Mimi naona huyo mahera hajui Job description yake
 
Kanda ya ziwa wajiandae kubomolewa nyumba zao hawana shukrani pamoja na kupendelewa kwwenye teuzi still wakajazana mikutano ya Lisu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujue teuzi hazigusi maisha yao direct, Ila in short binadamu hatuna shukrani, na mcheza kwao hutuzwa wao hawajamtendea haki mtu wa kwao
 
Ndio nini sasa hiki umekiandika?

Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Tetemeko sikuleta Mimi (bukoba).we mgonjwa sio bure
 
Tetemeko sikuleta Mimi (bukoba).we mgonjwa sio bure
Kweli kwani ni yeye alipiga bomu? Uongozi ni kazi sana ndugu yangu wapo ambao walibomoa makusudi ili wajengewe.

JPM ni Kiongozi asiyeona aibu kueleza ukweli na hii ndio sababu wazalendo wengi October 28th tutampigia kura kwasababu muda wa kuendekeza uhuni uhuni yalipitwa na wakati.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Watumishi wa serikali mjiandae kwa uhakiki mpya tena wa safari hii itakua mkavu bin kauzu
 
Leo Bagamoyo ameweka wazi Hilo, anawashangaa wanaowashangilia wapinzani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujue teuzi hazigusi maisha yao direct, Ila in short binadamu hatuna shukrani, na mcheza kwao hutuzwa wao hawajamtendea haki mtu wa kwao
Ukiona hivyo ajagusa maisha yao Bali kikundi cha wachache
 
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.

1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.

2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.

3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.

4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.

Ongezea...
Huu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.

1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.

2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.

3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.

4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.

Ongezea...
Diwani Byebye
 
Ndio nini sasa hiki umekiandika?

Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwani uongo alipotangzwa 2015 aliaza na akina nani we vp kawabatiza kwa moto wote waliomfanya akawa rais
 
Nipo sana mkuu,

usiponiona hapa jua kuwa napambana uwanja mwingine,

Zege halilali,
Msalimie Mnama Ritz ...nasikia Pole pole na Bashiru wamewazidi MPUNGA hata majukumu ni ya KUSAKIZIA
 
Back
Top Bottom