Wote waliotumbuliwa hawakufanya bidiiAcha kutia watu ujinga kama mtu alifanya kazi kwa bidii hawezi kutumbuliwa
Wote waliotumbuliwa hawakufanya bidiiAcha kutia watu ujinga kama mtu alifanya kazi kwa bidii hawezi kutumbuliwa
Uzuri wa JPM akisha ingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale walio saidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura..lakini ujue...ataanza na nyie...
Hujui siasa za Tanzania weweUzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie...
Tena polepole na bashiru nadhani atawafukuza dakika chache baada ya kuapishwa,Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.
1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.
2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.
3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.
4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.
Ongezea....
Ndugaye
Umeandika takataka.Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.
1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.
2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.
3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.
4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.
Ongezea....
TutaonaTarehe 29 kuna ID zitapotea humu.
Embu niweke kumbukumbuHao walioandikwa No.4 wakibaki Ofisini najiondoa JF.
Mahera alikosa sababu ya kumkata Lissu, kumbuka alimuweka bench masaa sita.Kama atarudi wa kwanza kumtumbua ataanza na Mahera kwa kushindwa kutii maagizo ya kumkata Lisu wakati wa urejeshaji form, IGP kwa kuacha wapinzani watambe kuliko yeye.
Nguvu ya umma ilimshtuaMahera alikosa sababu ya kumkata Lissu, kumbuka alimuweka bench masaa sita.
Hakuna anayekuchonganisha Ila mnajichonganisha wenyewe na kuwapa nguvu,walemsiowapenda.Ndio nini sasa hiki umekiandika?
Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
ANACHOSHA!Ndio nini sasa hiki umekiandika?
Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA