Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

Kweli kwani ni yeye alipiga bomu? Uongozi ni kazi sana ndugu yangu wapo ambao walibomoa makusudi ili wajengewe.

JPM ni Kiongozi asiyeona aibu kueleza ukweli na hii ndio sababu wazalendo wengi October 28th tutampigia kura kwasababu muda wa kuendekeza uhuni uhuni yalipitwa na wakati.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hivi wewe una akili timamu kweli na ujinga ujinga wako unaoandika kisa tu una mapenzi na Magufuli? Hebu jaribu kuwa na aibu basi japo kidogo.
 
CHADEMA na Lissu ndio ukombozi wetu!!
Mungu anatupa nafasi ya kujiokoa tuitumie!!
 
Hivi huna maneno ya maana ya kuandika zaidi ya haya? Wewe kila thread ni copy and paste maneno hayo hayo hadi unachosha.
Uwe unasoma vizuri kijana

Twende tukampe kura za ndio JPM October 28th.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hivi wewe una akili timamu kweli na ujinga ujinga wako unaoandika kisa tu una mapenzi na Magufuli? Hebu jaribu kuwa na aibu basi japo kidogo.
Wala sitaona aibu kukuambia ukweli kuwa Mzalendo JPM amefanya makubwa na anastahili kura nyingi.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.

1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.

2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.

3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.

4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.

Ongezea...
Propoganda Mgando
 
Yani huyu Mkurugenzi wa NeC ingekuwa sio kati kati yavuchaguzi angeshafukuzwaa.
Kitendo tu cha kumuacha Lisu agombee urais lilikuwa kosa na yalikuwa sio maelekezo ya meko
 
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.

1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.

2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.

3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.

4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.

Ongezea...
Una wazimu si bure
 
Ndio nini sasa hiki umekiandika?

Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kama hujaelewa basi bana
 
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.

1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.

2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.

3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.

4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.

Ongezea...
Wote walio mdanganya ana fanya vizuri na anapendwa nao njia moja.
 
Mtu anayejisumbua ni yule anayejaribu kujiaminisha uongo kama wewe.

October 28th Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo hamtaamini macho yenu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
This time matokeo yatadakwa juu kwa juu na amtoamini Hakuna kura itakayoibiwa this time. Haki bin haki
 
Wengine wote wanaweza kubaki na akawapa nafasi wajirekebishe Ila huyu kiwavi POLEPOLE soon tu anatolewa hapo ,na kikaul chake Cha juz kaharibu sana
 
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.

1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.

2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.

3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.

4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.

Ongezea...
Mmmh
 
Back
Top Bottom