Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

Yeye mwenyewe Magufuli baada ya uchaguzi ataitwa mstaafu.
 
Kunamipango ya bomoa bomoa imesimamishwa kupisha uchaguzi mnajua. Kunamkoa ukiona magu kashinda ni kilio tupu. 2021 umejaa visasi endapo magu atafanya hila za kutangazwa
 
Uzuri wa JPM akisha ingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale walio saidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura..lakini ujue...ataanza na nyie...

lione hili nalo unauhakika wewe ndo upo kwenye kichwa cha magufuli
 
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie...
Hujui siasa za Tanzania wewe
 
Magufuli ni muelewa sana na anawajali Watanzania wote kwa kuwapigania Watanzania kwa Hali na mali
 
Tena polepole na bashiru nadhani atawafukuza dakika chache baada ya kuapishwa,
 
Umeandika takataka.
 
Ndio nini sasa hiki umekiandika?

Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hakuna anayekuchonganisha Ila mnajichonganisha wenyewe na kuwapa nguvu,walemsiowapenda.
 
Ndio nini sasa hiki umekiandika?

Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
ANACHOSHA!
 
Naunga mkono hoja yako asilimia mia, Hawa wateule wengi wamemponza Hadi Raisi anateseka kipindi hichi,tena wakuanza nao ni Pole pole, bashiru, wakurugenzi sijui ma Rpc, wote awashushie rungu zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…