Bashiru na polepole tayari wamepiga chao kikubwa kwenye pesa za kuihujumu kuidhoofisha chadema wapo vizuri ni matajiri sasa licha ya kuingia CCM wakiwa masikini wa kutupwaUzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.
1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.
2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.
3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.
4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.
Ongezea...
Atakae chaguliwa kwa haki ndiye Rais wetu .Vuta subra mkuu, tutatafutana humu.
IGP kapewa onyx na ICC pamoja na taasisi za haki za binadamu DunianiKama atarudi wa kwanza kumtumbua ataanza na Mahera kwa kushindwa kutii maagizo ya kumkata Lisu wakati wa urejeshaji form, IGP kwa kuacha wapinzani watambe kuliko yeye.
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sanaAtakae chaguliwa kwa haki ndiye Rais wetu .
Mtu anayejisumbua ni yule anayejaribu kujiaminisha uongo kama wewe.Mtakoma mwaka huu. Hamchomoki mnajisumbua.
Hapo kwenye bold hapo kuna utata kwamaana tafsiri yake Inategemea ntu na ntu.Atakae chaguliwa kwa haki ndiye Rais wetu .
anatosha kwenu acha kutuletea ujinga wako wa buku 7Ndio nini sasa hiki umekiandika?
Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sina wasi wasi na wewe kwasababu najua kura yako ni kwa Magufuli.anatosha kwenu acha kutuletea ujinga wako wa buku 7
Mda wa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani bado uhuni huo haujapitwa na wakati? Ni kiongozi asiyeona Aibu kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara siyo? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? au Uzalendo ni Ndungai kupiga bilion 12 peke yake akiwa India kisha hakuna wa kumuuliza? Uzalendo ni kupiga 10% ununuzi wa Ndege kwa cash?Kweli kwani ni yeye alipiga bomu? Uongozi ni kazi sana ndugu yangu wapo ambao walibomoa makusudi ili wajengewe.
JPM ni Kiongozi asiyeona aibu kueleza ukweli na hii ndio sababu wazalendo wengi October 28th tutampigia kura kwasababu muda wa kuendekeza uhuni uhuni yalipitwa na wakati.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kazi kubwa ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi? Hiyo ndiyo kazi kubwa?Sina wasi wasi na wewe kwasababu najua kura yako ni kwa Magufuli.
Kwa kazi kubwa aliyoifanya Magufuli wote kwa pamoja twendeni tuakamchague kwa KISHINDO October 28th.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kweli somo la kuropokaropoka mbeligiji amefaulu kuwapatia..Mda wa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani bado uhuni huo haujapitwa na wakati? Ni kiongozi asiyeona Aibu kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara siyo? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? au Uzalendo ni Ndungai kupiga bilion 12 peke yake akiwa India kisha hakuna wa kumuuliza? Uzalendo ni kupiga 10% ununuzi wa Ndege kwa cash?
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaAtakae chaguliwa kwa haki ndiye Rais wetu .
Usikurupuke, soma kwa makini uelewe anamaanisha nini! Read between lines!!! Mimi nimemwelewa kabisa. Usitegemee kubebwa eti kwasababu ulimsaidia JPJM akaweza kushinda. Yeye ni mtu wa "hapa kazi tu"!!! sasa ukizembea eti kwakuwa ulimsaidia kurejea Ikulu utakuwa umegusa mashafubu yake na hatakukawiza!!Ndio nini sasa hiki umekiandika?
Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Huko ubelgiji bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje? Uropokaji unao wewe hakuna uropokaji Hatari kama kusema kuwa endapo watu hawamchagui mbunge wa CCM na diwani hapeleki maendeleo utazani ni pesa zake binafsi tokea mfukoni wakati ni pesa za walipa kodiKweli somo la kuropokaropoka mbeligiji amefaulu kuwapatia..
Hamna namna wakuu wananchi wanakwenda kumpatia USHINDI wa KISHINDO Mzalendo wa kweli Magufuli.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sio tatizo lako minyoo imepanda kichwani jaribu kutumia Albendazol.Huko ubelgiji bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje? Uropokaji unao wewe hakuna uropokaji Hatari kama kusema kuwa endapo watu hawamchagui mbunge wa CCM na diwani hapeleki maendeleo utazani ni pesa zake binafsi tokea mfukoni wakati ni pesa za walipa kodi
Mashafubu ni nini?Usikurupuke, soma kwa makini uelewe anamaanisha nini! Read between lines!!! Mimi nimemwelewa kabisa. Usitegemee kubebwa eti kwasababu ulimsaidia JPJM akaweza kushinda. Yeye ni mtu wa "hapa kazi tu"!!! sasa ukizembea eti kwakuwa ulimsaidia kurejea Ikulu utakuwa umegusa mashafubu yake na hatakukawiza!!
Na ndivyo ilivyo mifano kibao wanayo Nape, Makamba, Kinana nkUzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.
1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.
2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.
3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.
4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.
Ongezea...
Hivi huna maneno ya maana ya kuandika zaidi ya haya? Wewe kila thread ni copy and paste maneno hayo hayo hadi unachosha.Ndio nini sasa hiki umekiandika?
Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kama huwezi kupima kura kwa idadi ya watu katika mikutano kwanini mnakodi mabasi na malori kupeleka watu kwenye mikutano kutoka sehemu moja hadi nyingine? Hovyoooooooo!!Huwezi kupima kura kwa kujaza mikutano...subiri kura