Hivi wewe una akili timamu kweli na ujinga ujinga wako unaoandika kisa tu una mapenzi na Magufuli? Hebu jaribu kuwa na aibu basi japo kidogo.Kweli kwani ni yeye alipiga bomu? Uongozi ni kazi sana ndugu yangu wapo ambao walibomoa makusudi ili wajengewe.
JPM ni Kiongozi asiyeona aibu kueleza ukweli na hii ndio sababu wazalendo wengi October 28th tutampigia kura kwasababu muda wa kuendekeza uhuni uhuni yalipitwa na wakati.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Uwe unasoma vizuri kijanaHivi huna maneno ya maana ya kuandika zaidi ya haya? Wewe kila thread ni copy and paste maneno hayo hayo hadi unachosha.
Wala sitaona aibu kukuambia ukweli kuwa Mzalendo JPM amefanya makubwa na anastahili kura nyingi.Hivi wewe una akili timamu kweli na ujinga ujinga wako unaoandika kisa tu una mapenzi na Magufuli? Hebu jaribu kuwa na aibu basi japo kidogo.
Propoganda MgandoUzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.
1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.
2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.
3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.
4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.
Ongezea...
Yani huyu Mkurugenzi wa NeC ingekuwa sio kati kati yavuchaguzi angeshafukuzwaa.Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.
1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.
2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.
3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.
4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.
Ongezea...
Una wazimu si bureUzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.
1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.
2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.
3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.
4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.
Ongezea...
Kama hujaelewa basi banaNdio nini sasa hiki umekiandika?
Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Anza kuondoka sasaHao walioandikwa No.4 wakibaki Ofisini najiondoa JF.
Wakuu wa wilaya, mikoa, DED na Magu akishinda MUNGU HAYUKO NA SITAAMINI TENA MASWALA YA MUNGUHao walioandikwa No.4 wakibaki Ofisini najiondoa JF.
Wote walio mdanganya ana fanya vizuri na anapendwa nao njia moja.Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.
Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.
1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.
2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.
3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.
4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.
Ongezea...
This time matokeo yatadakwa juu kwa juu na amtoamini Hakuna kura itakayoibiwa this time. Haki bin hakiMtu anayejisumbua ni yule anayejaribu kujiaminisha uongo kama wewe.
October 28th Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo hamtaamini macho yenu.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Amekiri kwamba Magufuli kapita.Ndio nini sasa hiki umekiandika?
Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwamba kamla kichwa nani tena???Niliwaambia mkani beza.
MmmhUzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.