johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uwezo wa kuchambua hana huyoSasa umeandika nini
Safi kabisa kama ulichemka upoteze vyote.Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Huu ni utaratibu mzuri sana wa kuiga. Waziri hapaswi kuwa mbunge na hii inatoa nafasi kwa bunge kuiwajibisha vizuri Serikali. Huu utaratibu wetu wa kila waziri kuwa mbunge unatuchelewesha sana.Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Wana uhuru wa kukubali au kukataa uteuzi.Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

ndio maana kenya rushwa haziishiKatiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Ni jambo jema sana hili.Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Kwani wewe ulitakaje?Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Tunajadili bila kuisoma!aweke extract hapa.Ingekuwa hapa Tz hakuna angekubali kuwa waziri, labda kwa wale wa kuteuliwa kama wabunge. Hii ni kali, ukitumbuliwa uwaziri unarudi mtaani.
Katiba ya tanzania ni mbovu hata ya kenya ni mbovu .....hii ya tz siyo mbovu tu bali ni adui wa haki na maendeleo kwa taifaKatiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Anageuka kibaka ndani ya 24HRs!Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho
Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi
Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida
Jumaa Mubarak ππ
Kwa hiyo wananchi wanakosa mbunge?