Uzuri wa Katiba ya Kenya uko Wapi? Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri anajiuzulu Ubunge na akitumbuliwa Uwaziri anarudi mtaani!

Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
Safi kabisa kama ulichemka upoteze vyote.
Huku mtu anachemka hapa anahamishwa kwingine. Kuna watu huku ni wakurugenzi wa mashirika miaka rudi miaka nenda mashirika hayo ya umma hayana la maana wanafanywa kuhamishwa toka shirika moja hadi lingine, taasisi moja hadi nyingine.
Mtu akizingua umemkabidhi TCL hata kabla ya halotel, imekuja imeikuta imeichapa gap, fukuza mbali sio kumhamisha.
 
Kwa mujibu wa mleta-mada:

Hiyo imekaaje? Wananchi walimteua kuwa mbunge, rais anamtumbuaje hivyo?

Kama rais hampendi mbunge fulani, anampa uwaziri kisha anamtumbua - huyoòo anarudi zake mtaani.
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
Huu ni utaratibu mzuri sana wa kuiga. Waziri hapaswi kuwa mbunge na hii inatoa nafasi kwa bunge kuiwajibisha vizuri Serikali. Huu utaratibu wetu wa kila waziri kuwa mbunge unatuchelewesha sana.
 
Ingekuwa hapa Tz hakuna angekubali kuwa waziri, labda kwa wale wa kuteuliwa kama wabunge. Hii ni kali, ukitumbuliwa uwaziri unarudi mtaani.
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
Wana uhuru wa kukubali au kukataa uteuzi.

Halafu, think big. Lengo la katiba nzuri ni kwa wananchi na nchi kwa ujumla sio kwa maslahi binafsi ya wanaochaguliwa au kuteuliwa.
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
ndio maana kenya rushwa haziishi
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃

Kwani hapo tatizo ni nini. Kwani hawajui risk kwenye hilo .... Kama hutaki hakuna atakayekulazimisha. Wao siyo Bongo. Bongo huwezi kukataa uteuzi wa Rais. Ukikataa wanakufanyia zengwe.
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
Kwani wewe ulitakaje?
 
Hata hapa Bongo ingekuwa vizuri mawaziri wasiwe wabunge au mbunge kuteuliwa kuwa RC au DC pia mtu akiwa kiongozi wa chama labda mwenyekiti wa mkoa au wilaya asiwe kiongozi wa serikali katika ngazi yoyote yaani inatakiwa nafasi moja kwa mtu mmoja hii ingesaidia hata kupunguza tatizo la ajira na kuleta uwajibikaji.
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
Katiba ya tanzania ni mbovu hata ya kenya ni mbovu .....hii ya tz siyo mbovu tu bali ni adui wa haki na maendeleo kwa taifa
 
Kwa hiyo ya kwetu ni nzuri eti
Mtu anauwa anapandishwa cheo
Anapambia anapandishwa cheo, anaiba ndio kwanza anapongezwa

Kweli katiba yetu ni bora kwa mazwazwa
Hii ikija kwetu hao wabunge wakija vijiweni tunawamwagia kahawa 😄
 
Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji maboresho

Hapo Kenya Baadhi ya Mawaziri awali kabla ya Uteuzi walikuwa Wabunge na Maseneta na walijiuzulu baada ya Teuzi

Jana wametumbuliwa na kubakia raia wa kawaida

Jumaa Mubarak 😃😃
Anageuka kibaka ndani ya 24HRs!
 
Back
Top Bottom