Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa).
Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote zilizoundwa, changanya na Uchawa, Changanya na kua kizazi Cha GenZ chenye Elimu ya kukalili lkn hakuna maarifa, changanya na wivu ( maana watu wengi wajinga wajinga wa kawaida ya kuwaonea wivu watu werevu ) Kwa pamoja Hawa wote lazima waseme "LISSU HAFAI".
LISSU HANA MFANO !!.