Ahsante mda ukifika usije kujifichaMindondocha ya Gwajima utaijua tu kupitia comment
Unapoteza muda wako bure kwa vitu visivyokuwepo.Duniani hamna siri kila kitu kipo wazi
Vitu gani havipo?Unapoteza muda wako bure kwa vitu visivyokuwepo.
Unawezaje kusema hichi ni uzushi na wewe wakati huohuo ukaja na uzushi ule ule kwanjia tofauti.Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na Mr. Leak wa JF.
Kila mara wanapojitokeza, ajenda yao imekuwa moja tu: kuchafua taswira ya viongozi walioteuliwa na Sponsor, kudhoofisha heshima ya taasisi nyeti na kupandikiza mbegu za shaka dhidi ya mamlaka ya juu ya nchi.
Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli
Hivi karibuni, Kidnapped King wa X alitengeneza simulizi kwamba Mkuu wa Kivuli, msimamizi wa idara nyeti ya ulinzi wa taifa, amefariki dunia. Ukweli ni kwamba Mkuu wa Kivuli anaendelea na majukumu yake ya kila siku, akiwa thabiti na imara. Jana tu nilikuwa naye tukipata gahwa huku akinieleza kuhusu kundi fulani linalohangaika kutoboa meli kwa tamaa zao binafsi.
Kauli ya Kidnapped King si chochote bali ni uzushi ulioandaliwa makusudi kuzua taharuki ndani ya taifa.
Wakati huohuo, alieneza propaganda kwamba Bosi wa Daftari Kuu ndiye mrithi anayefuata. Lakini msingi unabaki pale pale: mamlaka ya kuteua viongozi wa ngazi ya juu ipo kwa Sponsor pekee kwa mujibu wa katiba na sheria. Kile kinachozungumzwa mitandaoni hubaki ni uzushi mtupu usio na uhalali wowote.
Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu
Swali la msingi ni kwa nini Bosi wa Daftari Kuu anahusishwa kwa nguvu na ajenda hizi za kivuli?
Jibu ni wazi: ni mkakati wa kumchafua, kumwondolea heshima mbele ya umma na kupunguza uhalali wake kama kiongozi. Ni mbinu ya kutengeneza mazingira ya shaka ili ionekane hafai kuendelea na majukumu yake makuu ndani ya Daftari Kuu.
Lakini ukweli unabaki pale pale: nafasi yake ni uteuzi wa Sponsor, na hakuna sauti ya kivuli kutoka mitandaoni itakayoweza kubadilisha uhalali wa uteuzi huo.
Taharuki yao haijamaliza hata siku mbili imekufa kifo cha asili.Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na Mr. Leak wa JF.
Kila mara wanapojitokeza, ajenda yao imekuwa moja tu: kuchafua taswira ya viongozi walioteuliwa na Sponsor, kudhoofisha heshima ya taasisi nyeti na kupandikiza mbegu za shaka dhidi ya mamlaka ya juu ya nchi.
Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli
Hivi karibuni, Kidnapped King wa X alitengeneza simulizi kwamba Mkuu wa Kivuli, msimamizi wa idara nyeti ya ulinzi wa taifa, amefariki dunia. Ukweli ni kwamba Mkuu wa Kivuli anaendelea na majukumu yake ya kila siku, akiwa thabiti na imara. Jana tu nilikuwa naye tukipata gahwa huku akinieleza kuhusu kundi fulani linalohangaika kutoboa meli kwa tamaa zao binafsi.
Kauli ya Kidnapped King si chochote bali ni uzushi ulioandaliwa makusudi kuzua taharuki ndani ya taifa.
Wakati huohuo, alieneza propaganda kwamba Bosi wa Daftari Kuu ndiye mrithi anayefuata. Lakini msingi unabaki pale pale: mamlaka ya kuteua viongozi wa ngazi ya juu ipo kwa Sponsor pekee kwa mujibu wa katiba na sheria. Kile kinachozungumzwa mitandaoni hubaki ni uzushi mtupu usio na uhalali wowote.
Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu
Swali la msingi ni kwa nini Bosi wa Daftari Kuu anahusishwa kwa nguvu na ajenda hizi za kivuli?
Jibu ni wazi: ni mkakati wa kumchafua, kumwondolea heshima mbele ya umma na kupunguza uhalali wake kama kiongozi. Ni mbinu ya kutengeneza mazingira ya shaka ili ionekane hafai kuendelea na majukumu yake makuu ndani ya Daftari Kuu.
Lakini ukweli unabaki pale pale: nafasi yake ni uteuzi wa Sponsor, na hakuna sauti ya kivuli kutoka mitandaoni itakayoweza kubadilisha uhalali wa uteuzi huo.
Nilivyoelewa mimiww ni mtu wa system, hauwezi ukawa na urafiki na watu wa system km ww siyo mtu wa system, utayaweka mysha yako hatarini
watu wa system, wenyewe kwa wenyewe tu hawaaminiani. iweje wakupe habari nyeti wewe kampuchea?
halaf kngn, punguza code ktk uandishi wako
Hawa alio wa tag ni Team Msoga?
Kuhusu kwamba umefia Uturuki, hili nilikataa kata kata kwamba hujafa mkuu,Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na Mr. Leak wa JF.
Kila mara wanapojitokeza, ajenda yao imekuwa moja tu: kuchafua taswira ya viongozi walioteuliwa na Sponsor, kudhoofisha heshima ya taasisi nyeti na kupandikiza mbegu za shaka dhidi ya mamlaka ya juu ya nchi.
Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli
Hivi karibuni, Kidnapped King wa X alitengeneza simulizi kwamba Mkuu wa Kivuli, msimamizi wa idara nyeti ya ulinzi wa taifa, amefariki dunia. Ukweli ni kwamba Mkuu wa Kivuli anaendelea na majukumu yake ya kila siku, akiwa thabiti na imara. Jana tu nilikuwa naye tukipata gahwa huku akinieleza kuhusu kundi fulani linalohangaika kutoboa meli kwa tamaa zao binafsi.
Kauli ya Kidnapped King si chochote bali ni uzushi ulioandaliwa makusudi kuzua taharuki ndani ya taifa.
Wakati huohuo, alieneza propaganda kwamba Bosi wa Daftari Kuu ndiye mrithi anayefuata. Lakini msingi unabaki pale pale: mamlaka ya kuteua viongozi wa ngazi ya juu ipo kwa Sponsor pekee kwa mujibu wa katiba na sheria. Kile kinachozungumzwa mitandaoni hubaki ni uzushi mtupu usio na uhalali wowote.
Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu
Swali la msingi ni kwa nini Bosi wa Daftari Kuu anahusishwa kwa nguvu na ajenda hizi za kivuli?
Jibu ni wazi: ni mkakati wa kumchafua, kumwondolea heshima mbele ya umma na kupunguza uhalali wake kama kiongozi. Ni mbinu ya kutengeneza mazingira ya shaka ili ionekane hafai kuendelea na majukumu yake makuu ndani ya Daftari Kuu.
Lakini ukweli unabaki pale pale: nafasi yake ni uteuzi wa Sponsor, na hakuna sauti ya kivuli kutoka mitandaoni itakayoweza kubadilisha uhalali wa uteuzi huo.
Hakuna Jasusi Hapo,anataka Kuwachota Wana Jf.Nyie majasusi bana mna drama sana
Noma sana .. bora hata umemchanaHakuna Jasusi Hapo,anataka Kuwachota Wana Jf.
Eti Alikuwa Anapata Gahawa Na Mkuu Wa Kivuli, Really ?
Yaani Angejua Jinsi Tunavyowachukulia Hao Vivuli Yaani UVCCM,asingejifanya Na Yeye Ni Kivuli.
UVCCM/IDARA Hawajawahi Kumiliki Akili.
Anadai Eti Wanasimamia Usalama Wa Nchi,hivi Kweli Kwa Nchi Inavyochezewa Na Wanamtandao.
Tungekuwa Ni Nchi Yenye Taasisi Imara Ya Usalama,mtandao Ungekuwa Umeshakatwa Hadi Sasa,tangu Wadau Waanze Kuorodhesha Majina Mitandaoni.
Sasa Hata Wao Wana Waogopa Wana Mtandao,wanaogopa Kupoteza Kazi,maana Walipewa Kimchongo Kutoka UVCCM.
Empty sana hao jamaaHakuna Jasusi Hapo,anataka Kuwachota Wana Jf.
Eti Alikuwa Anapata Gahawa Na Mkuu Wa Kivuli, Really ?
Yaani Angejua Jinsi Tunavyowachukulia Hao Vivuli Yaani UVCCM,asingejifanya Na Yeye Ni Kivuli.
UVCCM/IDARA Hawajawahi Kumiliki Akili.
Anadai Eti Wanasimamia Usalama Wa Nchi,hivi Kweli Kwa Nchi Inavyochezewa Na Wanamtandao.
Tungekuwa Ni Nchi Yenye Taasisi Imara Ya Usalama,mtandao Ungekuwa Umeshakatwa Hadi Sasa,tangu Wadau Waanze Kuorodhesha Majina Mitandaoni.
Sasa Hata Wao Wana Waogopa Wana Mtandao,wanaogopa Kupoteza Kazi,maana Walipewa Kimchongo Kutoka UVCCM.
LafudhiNimesoma kwa rafudhi ya mkuu WA daftari kuu🤗🤗🤗🤗
Hao unaowaita empty ndio wanaokufanya unatembea kwa amani, unalala kwenu bila milio ya risasi n.k... Kitendo cha wewe kuwadharau hakiondoshi uhalisia kwamba wao ni watu muhimu katika Taifa letu na tunawategemea sana.Empty sana hao jamaa
Unakosea...Empty sana hao jamaa