Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

ww ni mtu wa system, hauwezi ukawa na urafiki na watu wa system km ww siyo mtu wa system, utayaweka mysha yako hatarini
watu wa system, wenyewe kwa wenyewe tu hawaaminiani. iweje wakupe habari nyeti wewe kampuchea?
halaf kngn, punguza code ktk uandishi wako
 
Unawezaje kusema hichi ni uzushi na wewe wakati huohuo ukaja na uzushi ule ule kwanjia tofauti.

Ukiweka fact utakuwa umesaidia wengi, ukishindwa hongera kwa uzushi ile ule unaousema
 
Taharuki yao haijamaliza hata siku mbili imekufa kifo cha asili.
 
Hii nchi kweli watu hawana kazi, hata hao waliopo kazini nao hawana kazi yani watu wanapata wapi muda wa kuanza kutunga stori na drama za vifo na kujiua ? Hii nchi ni maajabu ya nane ya Dunia.
 
wewe ni mtu wa system, hauwezi ukawa na urafiki na watu wa system km ww co mtu wa system. kwani utayaweka mysha yako hatarini.
watu wa system wenyewe kwa wenyewe tu hawaaminiani. iweje wakupe habari nyeti wewe "kampuchea"?
halaf kngn, punguza code ktk uandishi wako
 
Nilivyoelewa mimi
1. Kidnapped king wa X - Sativa, kwa sababu alitekwa...
2.Mr. Leak wa JF - Britanicca
3.Bosi wa Daftari kuu - Mkurugenzi wa NIDA, James Kaji.
4.Mkuu wa Kivuli - DGIS
5. Sponsor - Amiri Jeshi Mkuu (idarani anatambulika kama Sponsor)
 
Eti tamaa What a rubbish

Nilipoona tu neno tamaa nikaacha kusoma pale pale

Hivi Gwajima na Polepole Wana tamaa kuliko Kikwete,Samia, Rostam au GSM wanaotoa mabilion kufinace wizi na ujambazi halafu muhuni mwenzao Mombo anawalinda?

Kataa wahuni

No Reform No election!!
 
Kuhusu kwamba umefia Uturuki, hili nilikataa kata kata kwamba hujafa mkuu,
Kwa sababu kuu 2.
1. Siku hizi Tanzania kiongozi wa rank ya juu akifariki vyombo rasmi havichelewi kutoa taarifa, rejea kifo cha Maembe na Job.
2. Siku hizi serikali imezidi sana propaganda za kutumia vifo,
Rejea Makamu wa rais kuna mwaka alizushiwa kwamba amefariki,
Paul makonda, Steven Wassira hata Samia kuna kipindi walizusha kaumwa akiwa kwenye harakati za kwenda Cuba.
So nilipoona kwenye page hizo nikasema propaganda ya watawala nyingine hii.
 
Nyie majasusi bana mna drama sana
Hakuna Jasusi Hapo,anataka Kuwachota Wana Jf.
Eti Alikuwa Anapata Gahawa Na Mkuu Wa Kivuli, Really ?
Yaani Angejua Jinsi Tunavyowachukulia Hao Vivuli Yaani UVCCM,asingejifanya Na Yeye Ni Kivuli.
UVCCM/IDARA Hawajawahi Kumiliki Akili.
Anadai Eti Wanasimamia Usalama Wa Nchi,hivi Kweli Kwa Nchi Inavyochezewa Na Wanamtandao.
Tungekuwa Ni Nchi Yenye Taasisi Imara Ya Usalama,mtandao Ungekuwa Umeshakatwa Hadi Sasa,tangu Wadau Waanze Kuorodhesha Majina Mitandaoni.
Sasa Hata Wao Wana Waogopa Wana Mtandao,wanaogopa Kupoteza Kazi,maana Walipewa Kimchongo Kutoka UVCCM.
 
Noma sana .. bora hata umemchana
 
Empty sana hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…