Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

Kama ni kweli ulikuwa naye na ni bukheri wa afya na siha njema basi tatizo ni kubwa kuliko uzushi wenyewe! BTW Polepole ana kipindi leo usiku hebu tumsikilize kwanza
 
Yule mwenzako wa kigamboni ni jasusi bamia na wewe ni jasusi gahawa nini?
 
Punguza utoto
Sasa, mbona wewe ndiye unayeleta utoto! Mleta mada ametueleza kuwa DGIS hajafa kama mnavyosema kwenye mitandao ya kijamii. Kama unapinga hilo, basi huna budi kututhibitishia sisi wananzengo hapa jamvini.

Acha mikwara mbuzi boya wewe😃
 
Hili wimbi la kuzushia vifo viongozi linazizidi kupiga hatua ktk mitandao ya kijamii. Nini kifanyike kulidhibiti?
 
Unataka achafuke mara ngapi mkuu!?
 
Hao unaowaita empty ndio wanaokufanya unatembea kwa amani, unalala kwenu bila milio ya risasi n.k... Kitendo cha wewe kuwadharau hakiondoshi uhalisia kwamba wao ni watu muhimu katika Taifa letu na tunawategemea sana.
Hamna kitu hao.mnajazwa uongo na maunjinga ya KUWAPA sifa ambazo hawana.hicho kitaasisi Cha wahuni Bora kifutwe tubaki na mgambo
 
Hamna kitu hao.mnajazwa uongo na maunjinga ya KUWAPA sifa ambazo hawana.hicho kitaasisi Cha wahuni Bora kifutwe tubaki na mgambo
Kaka, si vyema kubeza Idara ya Usalama wa Taifa kwa maneno ya haraka haraka. Kwanza, usalama wa taifa ndiyo ngao inayolinda amani na uhuru wa nchi. Bila wao, tungekuwa hatulali salama, tungekosa amani tunayojivunia. Hata hao mgambo unaowasema wapo chini ya mfumo wa ulinzi wa taifa, hivyo hawawezi kusimama peke yao. Wajibu wao ni kuhakikisha raia na mali zao zipo salama, lakini kwa usalama wa mipaka, uchumi na heshima ya nchi duniani, hapo ndipo intelligence inahitajika. Nchi yoyote isiyo na taasisi ya usalama wa taifa huwa dhaifu na rahisi kudhibitiwa na maadui. Badala ya kuwaita majina mabaya, tuwashauri kwa hoja na kuwatia moyo wafanye kazi kwa ufanisi zaidi.
 
Hizo taharuki zinakuwa za kwenu huko. Sisi huku taharuki inatokea mpaka tuwe tumetangaziwa jambo na TBC, hayo ya mtandaoni ni ya kwenu.
 
Yote haya uliyoyataja yanaletwa na britanicca , huyu jamaa age yake ni around 70 years lakini mwongo mwongo kama vijana wa chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…