Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

Mkuu, acha hofu ya Kifo, Kifo tumeumbiwa
Acha hofu,kama imeandikwa utaenda utaenda tu
 
Unaweza kuta Maxence Melo owner wa JF ndiye britanicca mwenyewe😀😀😀

kwa nini nasema hivi, ni kwa sababu tu anapotosha mara nyingi na hachukuliwi hatua.

Sijawahi kuona hata jamaa akipigwa Ban
Mkuu nashukuru kwa kuandika fikra zangu. Hata mimi huwa ninahisi hivyo hivyo. Kama siyo Maxene mwenyewe basi ni Mods wake mmoja wapo
 
Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba

Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda uchaguzi

sasa hii sio haki kabisa sisi tulitengeneza mfumo kwa nia njema lakini haiwezekana mfumo huu ukawa wa kutumiwa na CCM kushinda uchaguzi kupitia kwa viongozi wasio na ushawishi

Bila NIDA hakuna namna ambavyo SAMIA anaweza baki kama gombea, anakwenda kugombea kutokana na mpango wa wizi ambao umeshaandaliwa kuiba uchaguzi

Na wakibisha nitataja watu mmoja mmoja walioshiriki kutengeneza hii mifumo na kufanyakazi nao

Hii Jeuri ya CCM lazima ifike mwisho, hii nchi haina dhamana kumilikiwa na CCM , kinachotakiwa kwa sasa ni kuhakikisha kuna mfumo wenye uhuru na uchaguzi wa HAKI

Tubomoe mamifumo na bomoa CCM ili tujenge upya kila kitu , lazima CCM ibomolewe sasa na viongozi wote wa Kisiasa wawe uhuru na kila mtu ashiriki uchaguzi kwa haki

Kusiwe na uchaguzi bila kurekebisha haya mambo , hatuwezi kuwa na uchaguzi ambao CCM inafanya mambo inavyotaka hapo makao makuu.

#KataaWahuni

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
 
Hivi kushabikia Chadema ni lazima uwe mjinga?
 
Hao unaowaita empty ndio wanaokufanya unatembea kwa amani, unalala kwenu bila milio ya risasi n.k... Kitendo cha wewe kuwadharau hakiondoshi uhalisia kwamba wao ni watu muhimu katika Taifa letu na tunawategemea sana.
Rostam Aziz😎😎
 
Tunaunga mkono hoja yako.Wananchi hatubabaishwi .Tunatiki kwa Mama Doctor
 
Rostam Azizi ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…