makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
- #61
Hahaa.. Me simo, japo utani wa jadi haukwepeki.Mkuu ushauri wako mzuri,ila mikia watakimbia ligi sasa
Kiuhalisia waamuzi wetu wana matatizo, na timu zote aidha ziumie ama zifaidikie.