haha, nilishakwambia haya mambo zamani sana, tatizo "weye" ni mgumu kusoma alama za nyakati!! nilisema hivii, kwanza ni ngumu sana kwa mtu mzima kupata malnutrition. pili, hata akipata hiyo malnutrition, haishushi kinga ya mwili kiasi cha yeye kupata magonjwa nyemelezi. lakini pia, nilitoa ushahidi humu kwamba asilimia 98 ya watu wote wenye magonjwa nyemelezi kwa ajili ya upungufu wa kinga wamekutwa na HIV. hiyo asilimia 2 unayoitetea ni insignificant!!
halafu, hujiulizi kwanini kule PM sikukujibu? maana you have no reason, bila hata kujali unayemuadress ni nani, unakimbilia kuniambia kwamba utaachisha ndugu zangu ARV,, bila reasoning.wala facts!! ulitegemea nikujibu kweli? when you sound sooo deluded?
hata picha uoni? njoo tena!"
Yaani wewe una mdomo mchafu sana.Naona umerudi kule kwenye fani yako ya mipasho.Hivi kwa nini unapenda sana kudanganya watu wewe?
Mimi nilikwambia unipe nafasi nimtibu huyo mtoto ambaye wewe unasema amedhoofika kwa sababu ya HIV,halafu akishapona ndio yeye mwenyewe ataamua aache ARVs au asiache,sikusema nitamwachisha ARVs.Sijui kwanini doctor mzima unakuwa mwongo hivyo.Sasa ina maana hata hiyo option ya kumtibu peke yake huitaki?je,hutaki apone?Au ulikuwa unanitega?
Sasa nime copy na ku paste nilichokwambia ili watu wote waone ni nani anasema ukweli na nani anadanganya.
Deception said:.......
3.Huyo mtoto mwenye miaka 9 anatumia ARVs?Anaumwa nini hasa?Nitajie vyote anavyoumwa kama hutajali.
Halafu Je,Uko tayari nitoe mchango wangu kwa huyo mtoto?Kama anatumia ARVs,sitamwachisha kwanza,nitamhudumia hadi apone anachoumwa,halafu nitatoa option ya kuacha,simlazimishi aache,yeye mwenyewe ataamua.Kama hutajali basi naomba tumtumie huyu mtoto kama mfano,kwanza kabisa nita focus kumuondolea matatizo aliyonayo.
Karibu sana.
Sasa wapi kwenye hiyo quote nimesema nitamwachisha ARVs,sijafanya editing kwenye hiyo quote zaidi ya kupunguza maneno ya juu yake tu.
Mimi kwa kweli simpendi sana mtu mwongo mwongo na anayepindisha maneno kutafuta sifa.Na hii tabia pengine ndio inayokufanya usiwe focused.Huelewi unachokitetea.Bado mimi nataka kweli kumtibu huyo mtoto kama kweli yupo,kama ulinidanganya basi unaweza kuni PM nitakuelewa tu.
eti unaniandikia "njoo tena",yaani umekaa kimipasho mipasho kweli,mimi siko hapa kushindana na wewe.Kwa kuwa nimeona kama ni makabrasha na theories kila mtu anazo za kwake,hivyo njia pekee ya kujua ukweli ni kuona kwa macho.Sasa mimi nilitaka tumtumie huyo mtoto kama ushuhuda,nilitaka kumtibu tu kwanza ili na wewe ujionee.Sasa unaanza kuleta mipasho kuukimbia ukweli.
Nadhani wenye akili wameshagundua jambo hapa.