V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Hao wanaosema vipimo vya HIV ni fake akiwepo deception wako kibiashara tu kama wengine . Mfano babu wa loliondo hakuhitaji history yako wala vipimo ulikuwa unagonga kikombe tu unasepa . Watu wakapona kwa muda wakaacha dawa then wakafa . Hivi nchi kama australia , canada , russia .......ukienda kusoma lazima wakupime afya ikiwemo hiv . Sasa na hao pia vipimo vyao ni fake au ukimwi wanaoupima nao ni fake ?
 
Wewe ni great sinker
 
kufahamu baadhi ya Denialists ambao wamekufa sababu ya HIV-AIDS, tafadhali bonyeza HAPA
tena hawa watu walikuwa serious na denialism yao, unlike hawa wa humu jamvini. but they ended up dying mwisho wa siku, tena at very young and tender ages.. as HIV victims!! watch out
 
mkuyati og ni kwa namna gani kifo cha hao watu kinaweza kutumiwa kama hoja ya kwamba UKIMWI unasababishwa na HIV ?
Hakuna anayekataa kuwepo kwa UKIMWI !kinachokataliwa ni kumwagushia jumba bovu huyu HIV kwa Imani tu .
Hata wote tunawewa kufa si kwa HIV Bali kwa magonjwa mbali mbali huku tukiwa na UKIMWI lakini kufa kwetu hakuwezi kuwa ndiyo uthibitisho kwamba tumekufa kwa kuwa HIV ndiyo inayosababisha AIDS
Kuna hoja yangu ya nyuma hujaijibu.
Kabla ya kuvumbuliwa kwa HIV na uhusiano wake na UKIMWI na namna ambavyo kunahusishwa na TB pia, ni wazi unafahamu kuwa TB ilikuwepo kwa kipindi kurefu ikiuwa watu kwa wingi. Nini kilikuwa nyuma ya huo ugonjwa wakati HIV hakuwepo ?
Na kwa wakati huu ambapo HIV inasemekana yupo na ni wakala wa TB. Ikiwa mtu anayo TB na hana HIV na kinga yake iko chini (anao UKIMWI - HIV ) mnapotibu TB mnampa nini kuboost immune yake ?
 
Last edited by a moderator:
Wewe HINI mbona unashangaza na unarudia maswali Mkuyati ameshaelezea kuwa kama mgonjwa amekutwa na TB atapata vipimo kuona kama ana hiv +v . Na kama hata atapatiwa tiba na atapona atarudi sawa kabisa . Na iwapo kama atakuwa hiv +v basi lazima apewe tiba ya TB pamoja na HIV . Otherwise wasipofanya hivyo atapona lakini TB itarudi tena . Tuache kupoteza muda ndugu zangu . Uliza swali jipya ambalo mkuyati hajalitolea maelezo
 
kwanza, hao wote ambao wapo ktk link niliyoweka walikutwa na HIV but they chose not yo accept the facts. in the end, waliishia kufa kama wagonjwa wengine wote wa HIV-AIDS (not on medication) wanavyokufa

pili, at this point sitaki ubishi usio na tija maana haunijengi. lets agree to disagree kwamba ukimwi kwako ni simply upungufu wa kinga mwilini (immunodefficiency) , wakati ukimwi kwangu ni magonjwa yanayo-attack mwili sababu ya upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na mdudu HIV, yaani AIDS. nadhani hapo tuchore a clear distincion, maana dhana zetu ndipo zinapotofautina humu!!

uthibitisho nimetoa kuhusu link ya HIV-immunosuppression-AIDS, sababu nimetoa, ushahidi nimetoa na most importantly epidemiological statistical data nimewapa reference zake, juu ya prevalence ya mdudu HIV kwa watu wenye severe immunosupression, as compared to those who are simply immunoasupressed but without HIV. hayo sitarudia, lets just agree to disagree.

lakini, wewe hujiulizi kama ARV zimetengenezwa kum-attack kirusi, huoni hiyo ndiyo sababu ya watu ku-improve immunological profile zao wanapoanza kunywa dawa? au unaamini hata vipimo vinavyofanyika kucheki CD4 na Viral load miezi6 baada ya kuanza dawa hutoa majibu hoax?

kuhusu TB, unaonekana hata historia huijui. TB ni moja ya diseases zenye chronic course, ambao umeua sana watu. zamani haikujalisha mtu ana immunity nzuri ama mbaya ili kupata TB. TB imekuwa controled baada ya chanjo yake kupatikana BCG, (kazi ya chanjo yeyote ni kuuwezesha mwili kutengeneza askari wenye uwezo wa kuua specific irganism- therefore, kutendeneza specific immunity kwa ugonjwa fulani).

kabla ya chanjo watu walikufa sana maana the body did not know how to deal with the disease (bacteria hukaa ndani ya seli). baada ya introduction ya chanjo, ambayo wengi wetu (ama wote) tumepata, the only way TB inaweza kukudhuru ni kama kinga yako ya mwili itashuka sana kwa kiwango ambacho wadudu ha TB watakuwa ktk advantage ya ku-attack. na kushuka kinga is directly linked with HIV...(you know the drill)
mimi na wewe tunaweza kuwa tunatembea na wadudu wa TB kwenye.mapafu yetu ila hawana uwezo kuzaliana na kutudhuru maana mwili una kinga. ila kinga ikishuka sasa ndo utauona mziki wake!!

same applies to Measles, ugonjwa huu hapo mwanzo uliua sana watu kabla chanjo yake haijapatikana.lakini baada ya kuwepo chanjo, surua haisikiki tena. lakini watoto ambao walishachanjwa surua, lakini wana HIV-AIDS wanaweza kupata surua, na hupata surua kirahisi as compared to other kids!!

ukiielewa concept ya chanjo (vaccination) na inavyofanya kazi katika kuleta ulinzi against particular organisms then tunaweza kukaa na kujadili kwa hoja.

tatizo mnanifanya nianze kutoa darasa kila saa, its like you guys dont know a thing about nothing but you still want to argue!" hell!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mkuyati og, heshima kwako kaka kwa majibu mazuri. Naona majibu yako yamejumuisha SWALI la 1 & 2. Naomba kukumbusha mkuu, jitahidi ujibu kwa mtiririko wa hoja zilivyo, yani jibu per question, usijumuishe majibu.

Hapo kwenye RED: Umejibu swali la 1. Nashukuru umekuwa mkweli kabsa kwenye hoja hiyo, umekiri kwamba ni KWELI kuwa mimba, TB, na sababu nyinginezo husababisha FALSE HIV+ ! Hapa sasa tumeelewana na sina la zaidi, wasomaji watasoma wenyewe na kuelewa pia.

Hapo kwenye BLUE: Umejibu swali la 2. Nashukuru umekuwa mkweli kabsa pia kwenye hoja hiyo, umekiri uwepo wa FALSE HIV+, ila umesema hii hutokea kwa asilimia ndogo sana, nearly 1% tu! Na ukafafanua kitaalaamu namna/jinsi hiyo false positive inavyotokea mwilini. Ukasema kwamba ndo maana VIPIMO ni lazima vifanyike atleast kwa stage mbili (yaani kipimo cha kwanza, afu kipimo cha pili ambapo hiki cha pili ndo more superior & confirmatory)!

Sasa mkuu, before you step kwenye maswali yale mengine, ebu naomba tuwekane sawa kwenye hizi hoja za nyongeza:

(a) Kwa kuzingatia uwepo wa mambo mengine (Mimba, TB, n.k) yanayoweza pia kusababisha mwili ukatoa antibodies za HIV, WHY msibakie na kipimo kimoja tu ambacho ni most superior & confirmatory (hicho cha stage ya pili)? badala ya kupoteza muda na kipimo cha stage ya kwanza ambacho ni doubtful (''reactive'') ?? Namaanisha hivi, kama kweli vipimo vya HIV ni sensitive & specific kwa HIV for 99% kama ulivyoeleza, WHY sasa viwe vya stage zaidi ya moja ??

(b) Kuna hizi Self-Testing Kits (vipimo vya kujipima mwenyewe) ambazo ndo zimeenea sana siku hizi. Uhalisia ni kwamba hizi self-Testing kits ndo zinatumika sana, hasa kwenye hivi vidispensary vya huku mitaani. Uhalisia ni kwamba watu wengi sana wanaaccess hizi private dispensaries, hasa kwenye maeneo ya watu wa kipato cha chini. NOTE: huu ndo uhalisia huku 'site' !

JE, hizo Self-Testing Kits, zina-fall kwenye stage ipi ya Vipimo, yani ni stage ya kwanza ambayo ni doubtful ? ama ni stage ya pili ambayo ndo confirmatory?

(c) Nina mashaka hata hizi dispensaries za serikali (hasa kwa maeneo ya vijijini) ni vigumu kukuta kuna vipimo vya stages zote. Thus, nadhani ni nadra sana kukuta dispensary ya kule kijijini kabisa eti ina inapima HIV kwa stages zote hizo ulizoeleza. NOTE: Huu ndo uhalisia huko 'site'.

JE, hii ni KWELI au UONGO?

(d) Kutokana na UKWELI huo kwamba kuna FALSE HIV+, ata kama ni kwa hiyo 1% kama ulivyosema, na kwa kuzingatia hizo (b) & (c) hapo juu, basi mpaka leo hii kuna maelfu ya watu ambao wapo under stress/pressure baada ya kupewa majibu ya FALSE HIV+. Pia kuna maelfu ya watu wanakula rundo la ARVs baada ya kupewa majibu ya FALSE HIV+. Pia kuna vifo vingi vimetokana na FALSE HIV+ !

JE, ni KWELI au UONGO?

Tafadhali mkuu, jibu kwanza hizi hoja za nyongeza ili tufanye clearance ya SWALI la 1 & 2 then ndo uendelee kujibu yale maswali mengine kule.

DARASA HURU !
pakamwam , multikasuku , Eiyer , Deception , H1N1 , everlenk , mzee wa kigonzile , Econometrician , Kaunga , mshikachuma

Hapo kwenye swali lako la kipengele D, Hicho ndicho kinachotokea mtaani. Kuna watu wamejiua kwasababu ya kukutwa positive. Mtu ambaye si mfatiliaji wa mambo na mtu ambaye haijui sayansi ukishwamwambia yuko positive basi umeshamvuruga tayari.

Hawezi kukuelewa kwamba yuko positive kwa stage ya kwanza ambayo ni doubtful au stage ya pili ambayo ndo confirmatory. Wengine huwa wanabadili mpaka lifestyle kwa kuamini kwamba yeye ni maiti mtarajiwa, mtu anaishia kwenye ulevi uliopindukia kwa kuamini anaondoa stress, wengine hufanya ngono ovyo kwa kuamini kuwa hawawezi kufa peke yao, hivyo wanaamini wafanye ngono na watu wengi ili wawaambukize. Hapo ndipo wanapoanza kuharibu afya zao.
 
tatizo hatuelewani humu,, ila nadhani tatizo ni kuwa tumezidiana uwezo!! hata hizo test na sequency zake naona umezisoma hapa kwenye maandiko yangu. zaidi ya hapo hukuwahi kuzifahamu mwanzo, na hata baada ya mimi kutoa maelezo hukuwahi kujaribu hata kufanya ka-utafiti kako kadogo ili kupata ufahamu zaidi. hyo ndo sababu unauliza maswali yaleyale siku zote,, labda ni uzee!! au unataka nikupe shule jinsi uzee unavyoleta usahaulifu na kupunguza uwezo wa kufikiri?
sidhani kama nahitaji kujibu hoja zako, unless uje na hoja zenye mashiko!!

respectifully,
kijana wako mk og.
 
Hao wanaosema vipimo vya HIV ni fake akiwepo deception wako kibiashara tu kama wengine . Mfano babu wa loliondo hakuhitaji history yako wala vipimo ulikuwa unagonga kikombe tu unasepa . Watu wakapona kwa muda wakaacha dawa then wakafa . Hivi nchi kama australia , canada , russia .......ukienda kusoma lazima wakupime afya ikiwemo hiv . Sasa na hao pia vipimo vyao ni fake au ukimwi wanaoupima nao ni fake ?

Mkuu Kupe tarehe 23 April, 1984, Co founder wa HIV Robert Gallo na Secretary of Health services wa USA Margaret Heckler walipoitisha press conference na kuutangazia ulimwengu kuwa HIV ndiyo sababu ya UKIMWI, katikati ya press uilipokuwa inaendelea Robert Gallo alisaini mkataba wa leseni wa HIV blood test kit, mkataba ambao ulienda kumtengenezea pesa nyingi, sasa nani yuko kibiashara kati ya hawa defendants na denialist????

Hizo nchi ambazo unasema kama Australia, Canada, Russia wanakupima HIV kwa vipimo hivyo kwasababu nadharia iliyopo kwenye mainstream ndiyo hiyo, na hizo nchi zinafanya kazi na WHO.

Hivi unafahamu kwamba miaka ya 80 kama mtu alipokuwa akipimwa na kukutwa positive alikuwa haruhusiwi kuingia USA??? Sasa kwanini now wametoa hicho kizuizi?

Kwahiyo hoja hapa sio kupimwa HIV au kutopimwa, hoja ni kwamba ni kweli HIV ndiyo chanzo cha UKIMWI?? Hapo ndiyo kutokukubaliana kati ya Defendants na Denialist ndipo panapoanzia.

Kwahiyo wanakupima kwasababu ya makubaliano yaliyopo ni kwamba HIV ndiyo sababu ya UKIMWI. Na msingi wa kupima mkuyati Og amekiri hapo kuna stage 1 na 2. Huu ni msingi wa kitapeli kutumia logic za trial and error kwenye afya na maisha ya watu.
 
tatizo hatuelewani humu,, ila nadhani tatizo ni kuwa tumezidiana uwezo!! hata hizo test na sequency zake naona umezisoma hapa kwenye maandiko yangu. zaidi ya hapo hukuwahi kuzifahamu mwanzo, na hata baada ya mimi kutoa maelezo hukuwahi kujaribu hata kufanya ka-utafiti kako kadogo ili kupata ufahamu zaidi. hyo ndo sababu unauliza maswali yaleyale siku zote,, labda ni uzee!! au unataka nikupe shule jinsi uzee unavyoleta usahaulifu na kupunguza uwezo wa kufikiri?
sidhani kama nahitaji kujibu hoja zako, unless uje na hoja zenye mashiko!!

respectifully,
kijana wako mk og.
Yes! sio lazima hujibu hoja zangu. Jibu hoja ambazo Kaveli ameweka mezani.
 
Mkuu hatawewe unaruhusiwa kutoa kile unachokijua kuhusu UKIMWI.

Kusema watu wanakashfu taaluma za watu bila kuonyesha kashfa hizo ni zipi haitasaidia kitu. Kama hujui chochote basi ni heli ubaki kimya uwe sehem ya wafuatiliaji tu kama wengi wetu.

Nashukuru sana ww unayo jua zaidi...........!!!! :wink:
 
Ni kama kuthibitisha kwamba mungu yupo, hata kule Jamii intelligence tunapewa sifa zake tu!! Inawezekana kirusi kinaresemble sifa za mungu za kutoonekana! BTW HIV existance yaweza ikawa ni imani tu!

Wenzako wanasema ni fact,hebu waulize ni fact kwa maana ipi?

Wanafanyia majaribio afya za watu au inakuwaje?
 
Naona leo pia mmeishiwa hoja,, siasa zinaendelea kama kawaida!! Rationale ya testing huielewi umekaa kufanya cheap talk tu!! Hapo majaribio yako wapi?

Kitu usichokijua unapiga kimya tu mkuu, haina haja kujidhalilisha!!

Afu mkuu Kaveli naona uko biased, toka nimeanza kuchangia thread hii nimetoa hoja na maswali mengi tu, tena wakati najibu hoja za wengine. Chakushangaza hazijibiwi, and you are OK with it. Ingekuwa mimi sijibu ungeshanibananisha,, haha!!
But biased or not.. it doesn't really matter now, does it??
 
kwanza, hao wote ambao wapo ktk link niliyoweka walikutwa na HIV but they chose not yo accept the facts. in the end, waliishia kufa kama wagonjwa wengine wote wa HIV-AIDS (not on medication) wanavyokufa
Daktari,kwanini unakuwa mgumu sana kuelewa?

Unadai hao walikutwa na HIV,uko wapi uthibitisho wa uwepo wa HIV?

Kudai fulani amekutwa na hiki au kile bila kuonesha ushahidi wa uwepo wa kitu chenyewe ni kama utakuwa unaota ndoto tu,natumai sasa utakuja na picha ya HIV....
pili, at this point sitaki ubishi usio na tija maana haunijengi. lets agree to disagree kwamba ukimwi kwako ni simply upungufu wa kinga mwilini (immunodefficiency) , wakati ukimwi kwangu ni magonjwa yanayo-attack mwili sababu ya upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na mdudu HIV, yaani AIDS. nadhani hapo tuchore a clear distincion, maana dhana zetu ndipo zinapotofautina humu!!
Mdudu ambae hata wewe hujawahi kumuona halafu unataka tukuelewe,wewe jamaa no nomaaa....
uthibitisho nimetoa kuhusu link ya HIV-immunosuppression-AIDS, sababu nimetoa, ushahidi nimetoa na most importantly epidemiological statistical data nimewapa reference zake, juu ya prevalence ya mdudu HIV kwa watu wenye severe immunosupression, as compared to those who are simply immunoasupressed but without HIV. hayo sitarudia, lets just agree to disagree.
Mkuu,aina ya jambo unalotetea hapa haliwezi kuthibitishwa na maandishi,labda uwe tu hujui ni kitu gani unafanya hapa

Ni sawa na mtu anaesema kuna ajali imetokea halafu alete ushahidi wa maelezo au maandishi aseme ni uthibitisho wa ajali kutokea,wewe nadhani unajua kabisa mtu yoyote anaweza kuleta maandishi ambayo yameandikwa tu kwa kutunga kuonesha ajali ilivyotokea na namna inavyotokea na badi isiwe ni uthibitisho wa ajali yenyewe kuwepo....

Unapozungumzia existance ya kiumbe fulani unapaswa kuthibitisha kwa ithibitisho usio na shaka kuwa kuna hicho kiumbe,hata huyo wa ajali akija na picha angalau tutaweza kumuelewa kuwa hii ni afadhali japokuwa picha inaweza kuwa na shida labda picha ya tukio iwe imepigwa na watu wengine tofauti tofauti na wanaoaminika

Letra uthibitishoi wa uwepo wa kijidudu unachodai kipo na sio maandishi tu....
lakini, wewe hujiulizi kama ARV zimetengenezwa kum-attack kirusi, huoni hiyo ndiyo sababu ya watu ku-improve immunological profile zao wanapoanza kunywa dawa? au unaamini hata vipimo vinavyofanyika kucheki CD4 na Viral load miezi6 baada ya kuanza dawa hutoa majibu hoax?
Dokitari,you are better than this,tu ambae mmemsingizia ana kitu ambacho hata nyie hamjakiona huwa mnampa hayo mavidonge yenu pamoja na dawa za kutibu maradhi ambayo wewe hapa umekiri ndio yanayomdhoofisha mhusika na sio upungufu wa kinga,hapa unakuja kutetea kitu ambacho unadai bila ushahidi kuwa kiainua kinga ambayo sio sababu ya mtu kudhoofika na kuwa na afya mbaya,bado unataka tu tukuelewe dokitari weyeeee?

Hell no!!
kuhusu TB, unaonekana hata historia huijui. TB ni moja ya diseases zenye chronic course, ambao umeua sana watu. zamani haikujalisha mtu ana immunity nzuri ama mbaya ili kupata TB. TB imekuwa controled baada ya chanjo yake kupatikana BCG, (kazi ya chanjo yeyote ni kuuwezesha mwili kutengeneza askari wenye uwezo wa kuua specific irganism- therefore, kutendeneza specific immunity kwa ugonjwa fulani).
Mungu wangu,dokitari anakana tena maneno yake,huyu dokitari alisema hapa hapa kuwa ili mtu apate TB ni mpaka kinga yake ishuke lakini hapa anasema unaweza kupata haya mardhi,huyu amekuwaje?

Kuna dokitari mwingine alisema kila mtu ana hawa sijui ni bakiteria au nini wa TB na hatuugui kwasababu kinga yetu iko imara,sasa huyu mwingine anakana....

Lord have mercy ......
kabla ya chanjo watu walikufa sana maana the body did not know how to deal with the disease (bacteria hukaa ndani ya seli). baada ya introduction ya chanjo, ambayo wengi wetu (ama wote) tumepata, the only way TB inaweza kukudhuru ni kama kinga yako ya mwili itashuka sana kwa kiwango ambacho wadudu ha TB watakuwa ktk advantage ya ku-attack. na kushuka kinga is directly linked with HIV...(you know the drill)
mimi na wewe tunaweza kuwa tunatembea na wadudu wa TB kwenye.mapafu yetu ila hawana uwezo kuzaliana na kutudhuru maana mwili una kinga. ila kinga ikishuka sasa ndo utauona mziki wake!!
Hii mpya sasa....

Dokita,nini kilifanya baadhi ya watu hawakuugua TB wakati huo kabla ya chanjo haijapatikana?Maana najua sio wote waliougua TB

Pia,kwanini leo sisi karibu wote [kwa maelezo yako] tunatembea na hawa bakteria wa TB?Tumewapata wapi au tumewapataje pataje hadi iwe karibu kila mmoja anatembea nao?
same applies to Measles, ugonjwa huu hapo mwanzo uliua sana watu kabla chanjo yake haijapatikana.lakini baada ya kuwepo chanjo, surua haisikiki tena. lakini watoto ambao walishachanjwa surua, lakini wana HIV-AIDS wanaweza kupata surua, na hupata surua kirahisi as compared to other kids!!
Dokitari,huyu HIV ana umbo kama la malaika au jini kiasi kwamba hamumuoni au?
ukiielewa concept ya chanjo (vaccination) na inavyofanya kazi katika kuleta ulinzi against particular organisms then tunaweza kukaa na kujadili kwa hoja.

tatizo mnanifanya nianze kutoa darasa kila saa, its like you guys dont know a thing about nothing but you still want to argue!" hell!!
Hapana dokitari,usichoke....

Endelea tu kujibu maswali yetu ya kipuuzi ili utusaidie na sidhani kama ni busara au ni vigumu kujibu maswali yanayotoka kwa wajinga au wapuuzi maana ni mepesi sana....

Karibu dokitari wetu ......
 
Naona leo pia mmeishiwa hoja,, siasa zinaendelea kama kawaida!! Rationale ya testing huielewi umekaa kufanya cheap talk tu!! Hapo majaribio yako wapi?

Kitu usichokijua unapiga kimya tu mkuu, haina haja kujidhalilisha!!

Afu mkuu Kaveli naona uko biased, toka nimeanza kuchangia thread hii nimetoa hoja na maswali mengi tu, tena wakati najibu hoja za wengine. Chakushangaza hazijibiwi, and you are OK with it. Ingekuwa mimi sijibu ungeshanibananisha,, haha!!
But biased or not.. it doesn't really matter now, does it??

Post yangu uliyoiquote ina maswali,wewe badala ya kujibu maswali unakuja na mashambulio...

Lets say sijui kitu,hivi ni mimi tu nisiejua kitu nimedai aina hiyo ya ushaidi wa picha?

Ni mimi peke yangu nisiejua nimedai kuwa HIV hayupo?

Its looks like wewe unajua kuliko Lic Moteiger ambae no co founder wa HIV ambae anasema unaweza kuwasambaratisha HIV kama una kinga imara....

By the way, hivi umesoma hata nilichoandika weye?

Nimeuliza ni namna gani ni fact unachodai,swali hili linakutaka wewe ueleze unachoeleza ni fact kivipi kwa kuzingatia basics za fact,kwanini unaniambia nauliza nisichokijua?

Sijui nini sasa hapo?

Dokta umekuwaje?
 
Daktari,kwanini unakuwa mgumu sana kuelewa?

Unadai hao walikutwa na HIV,uko wapi uthibitisho wa uwepo wa HIV?

Kudai fulani amekutwa na hiki au kile bila kuonesha ushahidi wa uwepo wa kitu chenyewe ni kama utakuwa unaota ndoto tu,natumai sasa utakuja na picha ya HIV....

Mdudu ambae hata wewe hujawahi kumuona halafu unataka tukuelewe,wewe jamaa no nomaaa....

Mkuu,aina ya jambo unalotetea hapa haliwezi kuthibitishwa na maandishi,labda uwe tu hujui ni kitu gani unafanya hapa

Ni sawa na mtu anaesema kuna ajali imetokea halafu alete ushahidi wa maelezo au maandishi aseme ni uthibitisho wa ajali kutokea,wewe nadhani unajua kabisa mtu yoyote anaweza kuleta maandishi ambayo yameandikwa tu kwa kutunga kuonesha ajali ilivyotokea na namna inavyotokea na badi isiwe ni uthibitisho wa ajali yenyewe kuwepo....

Unapozungumzia existance ya kiumbe fulani unapaswa kuthibitisha kwa ithibitisho usio na shaka kuwa kuna hicho kiumbe,hata huyo wa ajali akija na picha angalau tutaweza kumuelewa kuwa hii ni afadhali japokuwa picha inaweza kuwa na shida labda picha ya tukio iwe imepigwa na watu wengine tofauti tofauti na wanaoaminika

Letra uthibitishoi wa uwepo wa kijidudu unachodai kipo na sio maandishi tu....

Dokitari,you are better than this,tu ambae mmemsingizia ana kitu ambacho hata nyie hamjakiona huwa mnampa hayo mavidonge yenu pamoja na dawa za kutibu maradhi ambayo wewe hapa umekiri ndio yanayomdhoofisha mhusika na sio upungufu wa kinga,hapa unakuja kutetea kitu ambacho unadai bila ushahidi kuwa kiainua kinga ambayo sio sababu ya mtu kudhoofika na kuwa na afya mbaya,bado unataka tu tukuelewe dokitari weyeeee?

Hell no!!

Mungu wangu,dokitari anakana tena maneno yake,huyu dokitari alisema hapa hapa kuwa ili mtu apate TB ni mpaka kinga yake ishuke lakini hapa anasema unaweza kupata haya mardhi,huyu amekuwaje?

Kuna dokitari mwingine alisema kila mtu ana hawa sijui ni bakiteria au nini wa TB na hatuugui kwasababu kinga yetu iko imara,sasa huyu mwingine anakana....

Lord have mercy ......

Hii mpya sasa....

Dokita,nini kilifanya baadhi ya watu hawakuugua TB wakati huo kabla ya chanjo haijapatikana?Maana najua sio wote waliougua TB

Pia,kwanini leo sisi karibu wote [kwa maelezo yako] tunatembea na hawa bakteria wa TB?Tumewapata wapi au tumewapataje pataje hadi iwe karibu kila mmoja anatembea nao?

Dokitari,huyu HIV ana umbo kama la malaika au jini kiasi kwamba hamumuoni au?

Hapana dokitari,usichoke....

Endelea tu kujibu maswali yetu ya kipuuzi ili utusaidie na sidhani kama ni busara au ni vigumu kujibu maswali yanayotoka kwa wajinga au wapuuzi maana ni mepesi sana....

Karibu dokitari wetu ......

Balaa. Visual proof nimetoa, from high resonance electron microscope. Tatizo husomi michango yangu, au labda huielewi (uwezo mdogo), umekurupuka. Halafu, argument na wewe hainijengi, wewe upo at the very far end of the spectrum. Nimekupa kazi ndogo tu, kuelewa dhana ya chanjo kabla hajaja kubishana na mimi. Au post hukuisoma? Hebu soma tena uielewe uone kama utarudi hata na swali moja.

Ndo maana nasoma humu ndani tumezidiana uwezo, huwezi ku-argue na mimi wakati hata basics tu za medicine huna,, labda tu unajaribu ku-prove kwamba uko mentally retarded. Sirudii kujibu Yale ambayo nimeshayatolea maelezo kwa kina
 
Wewe HINI mbona unashangaza na unarudia maswali Mkuyati ameshaelezea kuwa kama mgonjwa amekutwa na TB atapata vipimo kuona kama ana hiv +v . Na kama hata atapatiwa tiba na atapona atarudi sawa kabisa . Na iwapo kama atakuwa hiv +v basi lazima apewe tiba ya TB pamoja na HIV . Otherwise wasipofanya hivyo atapona lakini TB itarudi tena . Tuache kupoteza muda ndugu zangu . Uliza swali jipya ambalo mkuyati hajalitolea maelezo

Hujaelewa swali langu na mkuyati og hajajibu, Mimi nimeelewa kabisa kwamba TB + HIV+ ni dawa za TB + ARV kwa ajili ya kuiimarisha kinga ya mwili. Mpaka hapo naamini tunaelewana.
Swali lilikuwa ni kwamba kama TB + HIV- mgonjwa atapewa dawa za TB kwa ajili ya kuuwa wadudu wa TB, je ? Kurudisha kinga yake ambayo imeshuka si kwa kuwa na HIV hapana , anapewa dawa gani ?
Hivyo basi swali langu limetokana na elimu tuliyopeqa na tumepewa tena na Dr mkuyati og kwamba pamoja na chanjo ya TB kama kinga ikishuka mpaka kiasi fulani wadudu wa TB wanaweza kuwa na nguvu kiasi cha kumdhuru mwenyeji wao. Ndiyo sababu nimehoji njia inayorumiwa kumsaidia huyu mgonjwa wa TB kurejesha kinga yake.
Sasa sijui kama nimekusadia au bado hatuelewani
 
Treat TB, confront what is causing the immunosuppression. Hakuna role ya ARV hapo maana HIV hakuna. Kwa watoto wenye malnutrition kwa mfano, nutritional rehabilitation will do the trick. Usikariri, elewa
 
Last edited by a moderator:
Nadhani I've had enough of this conversation. wenye kuelewa waelewe, wenye kuhisi am bluffing it's all good. Either way, I've made my point.
Most importantly, respect medicine kama mnavyoheshimu taaluma zenu. To tell you the truth, you don't know shit!! mkubali tu, hatuwazi sawa. Instead of using it as an advantage kujifunza, watu humu wako pessimistic tu all the time.

You can kiss it for all I care
 
Back
Top Bottom