Mkuu
mkuyati og, heshima kwako kaka kwa majibu mazuri. Naona majibu yako yamejumuisha SWALI la
1 &
2. Naomba kukumbusha mkuu, jitahidi ujibu kwa mtiririko wa hoja zilivyo, yani jibu per question, usijumuishe majibu.
Hapo kwenye
RED: Umejibu swali la
1. Nashukuru umekuwa mkweli kabsa kwenye hoja hiyo, umekiri kwamba ni KWELI kuwa
mimba,
TB, na sababu nyinginezo husababisha FALSE HIV+ ! Hapa sasa tumeelewana na sina la zaidi, wasomaji watasoma wenyewe na kuelewa pia.
Hapo kwenye
BLUE: Umejibu swali la
2. Nashukuru umekuwa mkweli kabsa pia kwenye hoja hiyo, umekiri uwepo wa FALSE HIV+, ila umesema hii hutokea kwa asilimia ndogo sana, nearly 1% tu! Na ukafafanua kitaalaamu namna/jinsi hiyo false positive inavyotokea mwilini. Ukasema kwamba ndo maana VIPIMO ni lazima vifanyike atleast kwa stage mbili (yaani kipimo cha kwanza, afu kipimo cha pili ambapo hiki cha pili ndo more superior & confirmatory)!
Sasa mkuu, before you step kwenye maswali yale mengine, ebu naomba tuwekane sawa kwenye hizi hoja za nyongeza:
(a) Kwa kuzingatia uwepo wa mambo mengine (Mimba, TB, n.k) yanayoweza pia kusababisha mwili ukatoa antibodies za HIV, WHY msibakie na kipimo kimoja tu ambacho ni most superior & confirmatory (hicho cha stage ya pili)? badala ya kupoteza muda na kipimo cha stage ya kwanza ambacho ni doubtful (''reactive'') ?? Namaanisha hivi, kama kweli vipimo vya HIV ni sensitive & specific kwa HIV for 99% kama ulivyoeleza, WHY sasa viwe vya stage zaidi ya moja ??
(b) Kuna hizi Self-Testing Kits (vipimo vya kujipima mwenyewe) ambazo ndo zimeenea sana siku hizi. Uhalisia ni kwamba hizi self-Testing kits ndo zinatumika sana, hasa kwenye hivi vidispensary vya huku mitaani. Uhalisia ni kwamba watu wengi sana wanaaccess hizi private dispensaries, hasa kwenye maeneo ya watu wa kipato cha chini. NOTE: huu ndo
uhalisia huku 'site' !
JE, hizo Self-Testing Kits, zina-fall kwenye stage ipi ya Vipimo, yani ni
stage ya kwanza ambayo ni doubtful ? ama ni
stage ya pili ambayo ndo confirmatory?
(c) Nina mashaka hata hizi dispensaries za serikali (hasa kwa maeneo ya vijijini) ni vigumu kukuta kuna vipimo vya stages zote. Thus, nadhani ni nadra sana kukuta dispensary ya kule kijijini kabisa eti ina inapima HIV kwa stages zote hizo ulizoeleza. NOTE: Huu ndo
uhalisia huko 'site'.
JE, hii ni KWELI au UONGO?
(d) Kutokana na UKWELI huo kwamba kuna FALSE HIV+, ata kama ni kwa hiyo 1% kama ulivyosema, na kwa kuzingatia hizo (b) & (c) hapo juu, basi mpaka leo hii kuna maelfu ya watu ambao wapo under stress/pressure baada ya kupewa majibu ya FALSE HIV+. Pia kuna maelfu ya watu wanakula rundo la ARVs baada ya kupewa majibu ya FALSE HIV+. Pia kuna vifo vingi vimetokana na FALSE HIV+ !
JE, ni KWELI au UONGO?
Tafadhali mkuu, jibu kwanza hizi hoja za nyongeza ili tufanye clearance ya SWALI la 1 & 2 then ndo uendelee kujibu yale maswali mengine kule.
DARASA HURU !
pakamwam ,
multikasuku ,
Eiyer ,
Deception ,
H1N1 ,
everlenk ,
mzee wa kigonzile ,
Econometrician ,
Kaunga ,
mshikachuma