V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Unajua kuna watu wanajua story tulizopewa za hiv/aids ila historia yake hawaijui. Wanaishia kulaumu oh tunakaa mitandaoni sijui nn. Utadhani wao wanapoingi JF sio mtandaoni au wamekaririshwa mitandaoninkunabtakataka? Kama ambavyo ni wanasayansi walioleta story fake za hiv pia ni wanasayansi wanaopinga hbrnhizo kisayansi hvyo tujifunze tu tutafika hatua ya kujua na kuendelea kuamini tunachokijuankwa furaha.

Mm nimeshakutana na case 3 za watu ambao wameishi na wenzi wao wa ndoa wakiwa wameambukizwa virusi(fake) na wao hawakuambukizwa. Ninawajua watu kama hawa na case nyingine ambazo wengine mmesimulia humu.

Zamani kdh miaka ya 2000+ aghakan waliwahiwapima maharusi watarajiwa wakamkuta mwanaume ana virusi ati jamaa akakataa aakaenda kupima sehemu nyingine 3 hawakukuta jamaa akafungua kesi dhidi ya agakhana akadai fidia ya 50mil. Ilikua kesi maarufu kdg kama mtakumbuka. Hii kitu bado sayansi yake haikufika maturity
 
uko sawa kabisa, kwnza ukumbuke tunachomkcredit mullis ni mchango wake kwenye pcr technique, pcr technique kama ilivyo haina uhusiano wa moja kwa moja na kuona HIV tu. pcr is for amplifying a specific segment of a gene or DNA sequence. hakuwa peke yake na hii technique ilianza kabla ya carl mullis

kwa historia ya carl mullis alikuwa biochemist na sio daktari wala virologist wala immunologist. yeye kwa mtazamo wake anasema hakuna HIV lakini hana scientific evience na anafikiri HIV inatokana na tabia fulani.siwezi kumlaumu kama lay person asiyejua habari ya magonjwa na matibabu.
(naomba usome na hii ya mullis pia In his 1998 autobiography, Mullis expressed disagreement with the scientific evidence supporting climate change and ozone depletion, the evidence that HIV causes AIDS, and asserted his belief in astrology. Mullis claims climate change and the HIV/AIDS connection are due to a conspiracy of environmentalists, government agencies and scientists attempting to preserve their careers and earn money, rather than scientific evidence.[8] Mullis has drawn controversy for his association with prominent AIDS denialist Peter Duesberg,[9] claiming that AIDS is an arbitrary diagnosis only used when HIV antibodies are found in a patient's blood.[10] The medical and scientific consensus is that Duesberg's hypothesis is pseudoscience, HIV having been conclusively proven to be the cause of AIDS[31][32] and that global warming is occurring because of human activities.[33][34][35] Seth Kalichman, AIDS researcher and author of Denying AIDS, "[admits] that it seems odd to include a Nobel Laureate among the who's who of AIDS pseudoscientists".[11] Mullis also wrote the foreword to the book What If Everything You Thought You Knew About AIDS Was Wrong? by Christine Maggiore,[12] an HIV-positive AIDS denialist who, along with her daughter, died of an AIDS-related illness.[36] A New York Times article listed Mullis as one of several scientists who, after success in their area of research, go on to make unfounded, sometimes bizarre statements in other areas.[15] An article in the Skeptical Inquirer described Mullis as an "AIDS denialist with scientific credentials [who] has never done any scientific research on HIV or AIDS'')

jeunaaminikuwa hakuna climate change na ozone depletion?

hawa denialist of HIV/aids ni wanafiki na maprofesssor pia. Wengi kama sio watu wa traditional medicine ambao kiukweli wanataka kick ya soko la bidhaa zao wamekkuwa niinternet based ambao readers, hawana scientic evidence za virology. kumwona na kumuisolate HIV kuna process ndefu ipo kabla ya kufika kwenye pcr. pcr tunaitumia kama amplifying unit lakini detection na sequencing ya any virus ni technique zingine. carl mullis alihusika kwenye ugunduzi wa pcr lakini virology, treatment, immunology ya virus huyu hatumuoni mtu anayeitwa mullis kabisa.

pia koch's postulate ya disease inahusika na imekuwa proven beyond doubt kuwa HIV is the sore cause of HIV na mimi nimeona na sio kuambiwa

kama wewe unafikiri HIV haisabishi AIDS pls arrange tukupe dose ya HIV blood alafu uone inakuwaje kamahuta develop AIDs

dont dny existence of HIV for personal gain or at the cost of others life. help us by getting the HIV virus in your body and we are going to prove if you have the virus, not carrier and do not develop AIDS,
also give us strong scientif researches proving HIV is not cause of AIDS and so AIDS is caused by another disease.

yupo mama marekani aliyekataa mtoto wake asipewe dawa za AZT lakini kilichotokea ona. most of dinielist ni watu wa mitandao, wasiopenda tafiti wenye malengo ya kupotosha.

HIV is there and protect yourself and your loved ones. alafu please dont mislead people. kama mnataka kuuza dawa zenuuzeni tu kwa ukweli na siokudanganya. pia tafiti soma kwenye credible sources

gold standard technique ya kudect HIV proteins ni western blot
  • The confirmatory HIV test employs a western blot to detect anti-HIV antibody in a human serum sample. Proteins from known HIV-infected cells are separated and blotted on a membrane as above. Then, the serum to be tested is applied in the primary antibody incubation step; free antibody is washed away, and a secondary anti-human antibody linked to an enzyme signal is added. The stained bands then indicate the proteins to which the patient's serum contains antibody.
  • A western blot is also used as the definitive test for bovine spongiform encephalopathy (BSE, commonly referred to as 'mad cow disease').
  • Some forms of Lyme disease testing employ western blotting.
  • A western blot can also be used as a confirmatory test for Hepatitis B infection and HSV-2 (Herpes Type 2) infection.
  • In veterinary medicine, a western blot is sometimes used to confirm FIV+ status in cats
nimeweka hii kujaribu kukufungua kuwa it is not pcr alone ingawa pcr inatusaidia kuamplify sequences za DNA ambayo ni specific for hIV virus.


unachokiamini hata thabo mbeki alikuwa anakiamini na kilileta impact kubwa south africa na watu wngi walikufa sababu ya ujinga wa political leaders. mwisho wa siku mbeki alikuja kukubali

mullis ana vituko na vioja vingi sana. pia ni miongoi mwa wanasayansi wasiopenda kufanya utafiti na kukaa kwenye topic za mitandao. huyu huyu mullis aliach kabisa biochem na kuanza ishu zingine
 
mkuu nimekuelewa sana Ahsante sana
 
hakuwa sahihi na utafiti uliofanyika miaka ya hivi karibuni umebadili mtazamo huu. hata WHO wamebadili mtazamo huu ndio maana ukipimwa tu na ukimwi kwa sasa unaanza ARV hapo hapo. kumbuka kila siku ugunduzi unaendelea. sayansi hairudi nyuma, it builds on existing knowledge. alifanya yake na sayansi imeendelea kukua ndio hivyo.
huwezi kusema amepotosha maana hakukuwa na utafiti wa kutosha na ilibidi dunia iamini alichosema. utafiti baada ya kufanyika umebaini vinginevyo basi tunafuata
zamana hatukujua kuwa magovi yalikuwa yanaongeza hasara ya kuambukizwa vvu, tumefanya utafiti tumejua na tunasema wote watahili hata watani zangu wa kusini na kule kwa ngosha
 
hakuwa sahihi na utafiti uliofanyika miaka ya hivi karibuni umebadili mtazamo huu. hata WHO wamebadili mtazamo huu ndio maana ukipimwa tu na ukimwi kwa sasa unaanza ARV hapo hapo. kumbuka kila siku ugunduzi unaendelea. sayansi hairudi nyuma, it builds on existing knowledge. alifanya yake na sayansi imeendelea kukua ndio hivyo.
huwezi kusema amepotosha maana hakukuwa na utafiti wa kutosha na ilibidi dunia iamini alichosema. utafiti baada ya kufanyika umebaini vinginevyo basi tunafuata
zamana hatukujua kuwa magovi yalikuwa yanaongeza hasara ya kuambukizwa vvu, tumefanya utafiti tumejua na tunasema wote watahili hata watani zangu wa kusini na kule kwa ngosha
 
hakuwa sahihi na utafiti uliofanyika miaka ya hivi karibuni umebadili mtazamo huu. hata WHO wamebadili mtazamo huu ndio maana ukipimwa tu na ukimwi kwa sasa unaanza ARV hapo hapo. kumbuka kila siku ugunduzi unaendelea. sayansi hairudi nyuma, it builds on existing knowledge. alifanya yake na sayansi imeendelea kukua ndio hivyo.
huwezi kusema amepotosha maana hakukuwa na utafiti wa kutosha na ilibidi dunia iamini alichosema. utafiti baada ya kufanyika umebaini vinginevyo basi tunafuata
zamana hatukujua kuwa magovi yalikuwa yanaongeza hasara ya kuambukizwa vvu, tumefanya utafiti tumejua na tunasema wote watahili hata watani zangu wa kusini na kule kwa ngosha
 
Kwanini usifikiri uwezekano WA Mullis kuwa hatua ambayo wanasayansi wa Sasa wataona ni weird ? Yaweza kuwa hamumwelewi kwa kuwa ayasemeyo pia hamuyaelewi kwa kuwa uwezo wenu WA kuelewa umekuwa contaminated na yake mkiyolazimishwa kutakariri kuwa ndiyo ukweli ? Sayansi ya kweli haijapingi kadri ya wakati. Kumsingi utafiti WA kisayamsi hauwezi kuwa kweli 1999 then ukawa sio kweli 2030 Kuna Mambo ambayo wanasayansi wanaidanganya jamii na kisingizio ni Kuwa utafiti na uvumbuzi waendelea kila siku
 
Ushaur wako nn juu ya hili swala kwa watu wenye vvu
 
Mkuu watu kama wewe ndio nilikuwa nawatafuta sana mniondolee huu mtego tuliotegwa.

Broh you are a legend.
 
Ac yangu ya mara ya kwanza walinifungia[emoji19][emoji19]hii ni ingine
 
soma hapa chini kwa makini..utakundua kuwa SD BIOLINE zinapima specific antibodies for HIV ns sio any antibodies in the body....lakini kuna kipimo kingine kinaitwa UNIGOLD HIV bioline hiki nacho kinaweza kudetect HIV ndani ya siku 5 kama umefanya ngono na mtu mwenye HIV..
LAKINI PIA kwa usahihi kabisa unaweza fanya kipimo cha moja kwa moja cha kudetect antigeni specific for HIV 1/2 yani hiki ndo kila kitu sio maswala ya antibody....but its too costful..kwa nchi za ulaya hawatumii SD bioline kwa HIV diahnosis instead wanatumia ELISA ..hizi SD bioline zinaletwa kwa nchi za Africa but hazitumiki snaa balani ulaya...

kuhusu SD bioline kutect specific antibodies soma hapa...[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Mkuu kama vile mm nmekupata sana lkn niombe kufahamu ni baada ya muda gani sasa unaweza Pima baada ya kupata huyo virus wa HIV apatkane na baada ya muda gani pia unaweza pima ili kijiamini km kweli upo VE-
 
Bonge la mada nitarudi kusoma kwa utulivu mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…