V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Unajua kuna watu wanajua story tulizopewa za hiv/aids ila historia yake hawaijui. Wanaishia kulaumu oh tunakaa mitandaoni sijui nn. Utadhani wao wanapoingi JF sio mtandaoni au wamekaririshwa mitandaoninkunabtakataka? Kama ambavyo ni wanasayansi walioleta story fake za hiv pia ni wanasayansi wanaopinga hbrnhizo kisayansi hvyo tujifunze tu tutafika hatua ya kujua na kuendelea kuamini tunachokijuankwa furaha.

Mm nimeshakutana na case 3 za watu ambao wameishi na wenzi wao wa ndoa wakiwa wameambukizwa virusi(fake) na wao hawakuambukizwa. Ninawajua watu kama hawa na case nyingine ambazo wengine mmesimulia humu.

Zamani kdh miaka ya 2000+ aghakan waliwahiwapima maharusi watarajiwa wakamkuta mwanaume ana virusi ati jamaa akakataa aakaenda kupima sehemu nyingine 3 hawakukuta jamaa akafungua kesi dhidi ya agakhana akadai fidia ya 50mil. Ilikua kesi maarufu kdg kama mtakumbuka. Hii kitu bado sayansi yake haikufika maturity
 
Mkuu doctor,

1. Kwahiyo PCR na ELISA ni vipimo ambavyo vinamuona HIV mwenyewe kabisa live?

2. Mgunduzi wa hicho kipimo cha PCR, Prof Dr. Kary Mullis, anaueleza ulimwengu kwamba HAKUNA uhusiano kati ya HIV na AIDS/UKIMWI. Dr. Mullis anasema HIV sio sababu ya AIDS. Nini maoni yako Mkuu, je prof huyo anapotosha ulimwengu?

-Kaveli-
uko sawa kabisa, kwnza ukumbuke tunachomkcredit mullis ni mchango wake kwenye pcr technique, pcr technique kama ilivyo haina uhusiano wa moja kwa moja na kuona HIV tu. pcr is for amplifying a specific segment of a gene or DNA sequence. hakuwa peke yake na hii technique ilianza kabla ya carl mullis

kwa historia ya carl mullis alikuwa biochemist na sio daktari wala virologist wala immunologist. yeye kwa mtazamo wake anasema hakuna HIV lakini hana scientific evience na anafikiri HIV inatokana na tabia fulani.siwezi kumlaumu kama lay person asiyejua habari ya magonjwa na matibabu.
(naomba usome na hii ya mullis pia In his 1998 autobiography, Mullis expressed disagreement with the scientific evidence supporting climate change and ozone depletion, the evidence that HIV causes AIDS, and asserted his belief in astrology. Mullis claims climate change and the HIV/AIDS connection are due to a conspiracy of environmentalists, government agencies and scientists attempting to preserve their careers and earn money, rather than scientific evidence.[8] Mullis has drawn controversy for his association with prominent AIDS denialist Peter Duesberg,[9] claiming that AIDS is an arbitrary diagnosis only used when HIV antibodies are found in a patient's blood.[10] The medical and scientific consensus is that Duesberg's hypothesis is pseudoscience, HIV having been conclusively proven to be the cause of AIDS[31][32] and that global warming is occurring because of human activities.[33][34][35] Seth Kalichman, AIDS researcher and author of Denying AIDS, "[admits] that it seems odd to include a Nobel Laureate among the who's who of AIDS pseudoscientists".[11] Mullis also wrote the foreword to the book What If Everything You Thought You Knew About AIDS Was Wrong? by Christine Maggiore,[12] an HIV-positive AIDS denialist who, along with her daughter, died of an AIDS-related illness.[36] A New York Times article listed Mullis as one of several scientists who, after success in their area of research, go on to make unfounded, sometimes bizarre statements in other areas.[15] An article in the Skeptical Inquirer described Mullis as an "AIDS denialist with scientific credentials [who] has never done any scientific research on HIV or AIDS'')

jeunaaminikuwa hakuna climate change na ozone depletion?

hawa denialist of HIV/aids ni wanafiki na maprofesssor pia. Wengi kama sio watu wa traditional medicine ambao kiukweli wanataka kick ya soko la bidhaa zao wamekkuwa niinternet based ambao readers, hawana scientic evidence za virology. kumwona na kumuisolate HIV kuna process ndefu ipo kabla ya kufika kwenye pcr. pcr tunaitumia kama amplifying unit lakini detection na sequencing ya any virus ni technique zingine. carl mullis alihusika kwenye ugunduzi wa pcr lakini virology, treatment, immunology ya virus huyu hatumuoni mtu anayeitwa mullis kabisa.

pia koch's postulate ya disease inahusika na imekuwa proven beyond doubt kuwa HIV is the sore cause of HIV na mimi nimeona na sio kuambiwa

kama wewe unafikiri HIV haisabishi AIDS pls arrange tukupe dose ya HIV blood alafu uone inakuwaje kamahuta develop AIDs

dont dny existence of HIV for personal gain or at the cost of others life. help us by getting the HIV virus in your body and we are going to prove if you have the virus, not carrier and do not develop AIDS,
also give us strong scientif researches proving HIV is not cause of AIDS and so AIDS is caused by another disease.

yupo mama marekani aliyekataa mtoto wake asipewe dawa za AZT lakini kilichotokea ona. most of dinielist ni watu wa mitandao, wasiopenda tafiti wenye malengo ya kupotosha.

HIV is there and protect yourself and your loved ones. alafu please dont mislead people. kama mnataka kuuza dawa zenuuzeni tu kwa ukweli na siokudanganya. pia tafiti soma kwenye credible sources

gold standard technique ya kudect HIV proteins ni western blot
  • The confirmatory HIV test employs a western blot to detect anti-HIV antibody in a human serum sample. Proteins from known HIV-infected cells are separated and blotted on a membrane as above. Then, the serum to be tested is applied in the primary antibody incubation step; free antibody is washed away, and a secondary anti-human antibody linked to an enzyme signal is added. The stained bands then indicate the proteins to which the patient's serum contains antibody.
  • A western blot is also used as the definitive test for bovine spongiform encephalopathy (BSE, commonly referred to as 'mad cow disease').
  • Some forms of Lyme disease testing employ western blotting.
  • A western blot can also be used as a confirmatory test for Hepatitis B infection and HSV-2 (Herpes Type 2) infection.
  • In veterinary medicine, a western blot is sometimes used to confirm FIV+ status in cats
nimeweka hii kujaribu kukufungua kuwa it is not pcr alone ingawa pcr inatusaidia kuamplify sequences za DNA ambayo ni specific for hIV virus.

unachokiamini hata thabo mbeki alikuwa anakiamini na kilileta impact kubwa south africa na watu wngi walikufa sababu ya ujinga wa political leaders. mwisho wa siku mbeki alikuja kukubali

mullis ana vituko na vioja vingi sana. pia ni miongoi mwa wanasayansi wasiopenda kufanya utafiti na kukaa kwenye topic za mitandao. huyu huyu mullis aliach kabisa biochem na kuanza ishu zingine
 
Pole sana kwa matatizo.Ukichunguza matatizo aliyonayo ndugu yako ndio yaleyale niliyosema yanasababishwa na matumizi ya muda mrefu ya ARVs kama ulivyoni quote.Wewe sasa ni umeshuhudia mwenyewe na sasa unaanza kupata picha kamili ya mambo haya.

Kama uko tayari tunaweza kushirikiana kuokoa maisha yake kwa kufanya yafuatayo;

1.Kumuondoa sumu iliyojaa mwilini ambayo ndio sababu ya kisukari alichonacho.Sumu hii imesababishwa na ARVs.
2.Kumpa vyakula/supplements zitakazorudisha virutubisho vilivyopotea mwilini kutokana na sumu ya ARVs kama vile madini ya chuma,calcium nk,vitamini mbalimbali na kurudisha pH ya damu yake katika hali ya kawaida.Hapo alipo lazima pH ya damu yake itakuwa ni 'acidic' zaidi,ukitaka kuamini hili mwambie daktari ampime pH atakwambia,nina uhakika na hilo.

Sasa ukiwa tayari nijulishe.

Angalizo:
Siko kibiashara hapa.Siwezi kumzuia mtu yeyote kufikiria kwamba mimi nafanya biashara,kila mtu ana uhuru wa kufikiri chochote,isitoshe mtu hana uwezo wa ku control fikra zake.
mkuu nimekuelewa sana Ahsante sana
 
Pia anatakiwa kujibu kama yule mgunduzi wa huyo HIV aliposema kwamba ukiwa na kinga imara hauhitaji kula ARVs,bali kinga yako humwondoa huyo HIV bila kula dawa yoyote....je huyu mgunduzi anapotosha au anasema kweli?....kama anapotosha anatakiwa aseme ni wapi amepotosha,na kama amesema kweli anatakiwa ajibu kwanini wanang'ang'ania kuwalisha watu ma ARVs?.....muulize doctor swali hili pia.
hakuwa sahihi na utafiti uliofanyika miaka ya hivi karibuni umebadili mtazamo huu. hata WHO wamebadili mtazamo huu ndio maana ukipimwa tu na ukimwi kwa sasa unaanza ARV hapo hapo. kumbuka kila siku ugunduzi unaendelea. sayansi hairudi nyuma, it builds on existing knowledge. alifanya yake na sayansi imeendelea kukua ndio hivyo.
huwezi kusema amepotosha maana hakukuwa na utafiti wa kutosha na ilibidi dunia iamini alichosema. utafiti baada ya kufanyika umebaini vinginevyo basi tunafuata
zamana hatukujua kuwa magovi yalikuwa yanaongeza hasara ya kuambukizwa vvu, tumefanya utafiti tumejua na tunasema wote watahili hata watani zangu wa kusini na kule kwa ngosha
 
Pia anatakiwa kujibu kama yule mgunduzi wa huyo HIV aliposema kwamba ukiwa na kinga imara hauhitaji kula ARVs,bali kinga yako humwondoa huyo HIV bila kula dawa yoyote....je huyu mgunduzi anapotosha au anasema kweli?....kama anapotosha anatakiwa aseme ni wapi amepotosha,na kama amesema kweli anatakiwa ajibu kwanini wanang'ang'ania kuwalisha watu ma ARVs?.....muulize doctor swali hili pia.
hakuwa sahihi na utafiti uliofanyika miaka ya hivi karibuni umebadili mtazamo huu. hata WHO wamebadili mtazamo huu ndio maana ukipimwa tu na ukimwi kwa sasa unaanza ARV hapo hapo. kumbuka kila siku ugunduzi unaendelea. sayansi hairudi nyuma, it builds on existing knowledge. alifanya yake na sayansi imeendelea kukua ndio hivyo.
huwezi kusema amepotosha maana hakukuwa na utafiti wa kutosha na ilibidi dunia iamini alichosema. utafiti baada ya kufanyika umebaini vinginevyo basi tunafuata
zamana hatukujua kuwa magovi yalikuwa yanaongeza hasara ya kuambukizwa vvu, tumefanya utafiti tumejua na tunasema wote watahili hata watani zangu wa kusini na kule kwa ngosha
 
Pia anatakiwa kujibu kama yule mgunduzi wa huyo HIV aliposema kwamba ukiwa na kinga imara hauhitaji kula ARVs,bali kinga yako humwondoa huyo HIV bila kula dawa yoyote....je huyu mgunduzi anapotosha au anasema kweli?....kama anapotosha anatakiwa aseme ni wapi amepotosha,na kama amesema kweli anatakiwa ajibu kwanini wanang'ang'ania kuwalisha watu ma ARVs?.....muulize doctor swali hili pia.
hakuwa sahihi na utafiti uliofanyika miaka ya hivi karibuni umebadili mtazamo huu. hata WHO wamebadili mtazamo huu ndio maana ukipimwa tu na ukimwi kwa sasa unaanza ARV hapo hapo. kumbuka kila siku ugunduzi unaendelea. sayansi hairudi nyuma, it builds on existing knowledge. alifanya yake na sayansi imeendelea kukua ndio hivyo.
huwezi kusema amepotosha maana hakukuwa na utafiti wa kutosha na ilibidi dunia iamini alichosema. utafiti baada ya kufanyika umebaini vinginevyo basi tunafuata
zamana hatukujua kuwa magovi yalikuwa yanaongeza hasara ya kuambukizwa vvu, tumefanya utafiti tumejua na tunasema wote watahili hata watani zangu wa kusini na kule kwa ngosha
 
uko sawa kabisa, kwnza ukumbuke tunachomkcredit mullis ni mchango wake kwenye pcr technique, pcr technique kama ilivyo haina uhusiano wa moja kwa moja na kuona HIV tu. pcr is for amplifying a specific segment of a gene or DNA sequence. hakuwa peke yake na hii technique ilianza kabla ya carl mullis

kwa historia ya carl mullis alikuwa biochemist na sio daktari wala virologist wala immunologist. yeye kwa mtazamo wake anasema hakuna HIV lakini hana scientific evience na anafikiri HIV inatokana na tabia fulani.siwezi kumlaumu kama lay person asiyejua habari ya magonjwa na matibabu.
(naomba usome na hii ya mullis pia In his 1998 autobiography, Mullis expressed disagreement with the scientific evidence supporting climate change and ozone depletion, the evidence that HIV causes AIDS, and asserted his belief in astrology. Mullis claims climate change and the HIV/AIDS connection are due to a conspiracy of environmentalists, government agencies and scientists attempting to preserve their careers and earn money, rather than scientific evidence.[8] Mullis has drawn controversy for his association with prominent AIDS denialist Peter Duesberg,[9] claiming that AIDS is an arbitrary diagnosis only used when HIV antibodies are found in a patient's blood.[10] The medical and scientific consensus is that Duesberg's hypothesis is pseudoscience, HIV having been conclusively proven to be the cause of AIDS[31][32] and that global warming is occurring because of human activities.[33][34][35] Seth Kalichman, AIDS researcher and author of Denying AIDS, "[admits] that it seems odd to include a Nobel Laureate among the who's who of AIDS pseudoscientists".[11] Mullis also wrote the foreword to the book What If Everything You Thought You Knew About AIDS Was Wrong? by Christine Maggiore,[12] an HIV-positive AIDS denialist who, along with her daughter, died of an AIDS-related illness.[36] A New York Times article listed Mullis as one of several scientists who, after success in their area of research, go on to make unfounded, sometimes bizarre statements in other areas.[15] An article in the Skeptical Inquirer described Mullis as an "AIDS denialist with scientific credentials [who] has never done any scientific research on HIV or AIDS'')

jeunaaminikuwa hakuna climate change na ozone depletion?

hawa denialist of HIV/aids ni wanafiki na maprofesssor pia. Wengi kama sio watu wa traditional medicine ambao kiukweli wanataka kick ya soko la bidhaa zao wamekkuwa niinternet based ambao readers, hawana scientic evidence za virology. kumwona na kumuisolate HIV kuna process ndefu ipo kabla ya kufika kwenye pcr. pcr tunaitumia kama amplifying unit lakini detection na sequencing ya any virus ni technique zingine. carl mullis alihusika kwenye ugunduzi wa pcr lakini virology, treatment, immunology ya virus huyu hatumuoni mtu anayeitwa mullis kabisa.

pia koch's postulate ya disease inahusika na imekuwa proven beyond doubt kuwa HIV is the sore cause of HIV na mimi nimeona na sio kuambiwa

kama wewe unafikiri HIV haisabishi AIDS pls arrange tukupe dose ya HIV blood alafu uone inakuwaje kamahuta develop AIDs

dont dny existence of HIV for personal gain or at the cost of others life. help us by getting the HIV virus in your body and we are going to prove if you have the virus, not carrier and do not develop AIDS,
also give us strong scientif researches proving HIV is not cause of AIDS and so AIDS is caused by another disease.

yupo mama marekani aliyekataa mtoto wake asipewe dawa za AZT lakini kilichotokea ona. most of dinielist ni watu wa mitandao, wasiopenda tafiti wenye malengo ya kupotosha.

HIV is there and protect yourself and your loved ones. alafu please dont mislead people. kama mnataka kuuza dawa zenuuzeni tu kwa ukweli na siokudanganya. pia tafiti soma kwenye credible sources

gold standard technique ya kudect HIV proteins ni western blot
  • The confirmatory HIV test employs a western blot to detect anti-HIV antibody in a human serum sample. Proteins from known HIV-infected cells are separated and blotted on a membrane as above. Then, the serum to be tested is applied in the primary antibody incubation step; free antibody is washed away, and a secondary anti-human antibody linked to an enzyme signal is added. The stained bands then indicate the proteins to which the patient's serum contains antibody.
  • A western blot is also used as the definitive test for bovine spongiform encephalopathy (BSE, commonly referred to as 'mad cow disease').
  • Some forms of Lyme disease testing employ western blotting.
  • A western blot can also be used as a confirmatory test for Hepatitis B infection and HSV-2 (Herpes Type 2) infection.
  • In veterinary medicine, a western blot is sometimes used to confirm FIV+ status in cats
nimeweka hii kujaribu kukufungua kuwa it is not pcr alone ingawa pcr inatusaidia kuamplify sequences za DNA ambayo ni specific for hIV virus.

unachokiamini hata thabo mbeki alikuwa anakiamini na kilileta impact kubwa south africa na watu wngi walikufa sababu ya ujinga wa political leaders. mwisho wa siku mbeki alikuja kukubali

mullis ana vituko na vioja vingi sana. pia ni miongoi mwa wanasayansi wasiopenda kufanya utafiti na kukaa kwenye topic za mitandao. huyu huyu mullis aliach kabisa biochem na kuanza ishu zingine
Kwanini usifikiri uwezekano WA Mullis kuwa hatua ambayo wanasayansi wa Sasa wataona ni weird ? Yaweza kuwa hamumwelewi kwa kuwa ayasemeyo pia hamuyaelewi kwa kuwa uwezo wenu WA kuelewa umekuwa contaminated na yake mkiyolazimishwa kutakariri kuwa ndiyo ukweli ? Sayansi ya kweli haijapingi kadri ya wakati. Kumsingi utafiti WA kisayamsi hauwezi kuwa kweli 1999 then ukawa sio kweli 2030 Kuna Mambo ambayo wanasayansi wanaidanganya jamii na kisingizio ni Kuwa utafiti na uvumbuzi waendelea kila siku
 
Ushaur wako nn juu ya hili swala kwa watu wenye vvu
 
Mimi sielezei mtazamo wangu,bali naeleza ukweli ili wengine wenye uwezo wa kuutambua ukweli huo waweze kufaidika.

HIV is not and HIV is NOTHING.Ili uelewe vizuri hili inabidi ujue historia nzima ya mchakato uliofanyika mpaka kufikia 'eti' kugundua HIV.Mchakato huu umejaa siasa na propaganda chafu sana kama utaujua vizuri,sasa baada ya kuujua ndipo utakaponielewa vizuri nikikwambia kwamba;

1.HIV ni jina tu kama yalivyo majina mengine,jina si lazima liakisi uhalisia.HIV=Human Immunodeficiency Virus/Kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini.Sasa hili ni jina tu,hakuna kirusi chochote duniani chenye uwezo wa kuua kinga ya mwili,HAKUNA.Nina rundo la uthibitisho katika hili,nina scientific papers,nina mifano ya watu mtaani,mimi mwenyewe pia ni mfano nk.Ukifungua ubongo wako tu basi utaona ukweli unakuja wenyewe,lakini ukifumbia macho kamwe hutaelewa siri hii kubwa.

2.HIV ni jina alilopewa virus jamii ya retrovirus,jina hili ki maana linaonesha kwamba retrovirus huyu ana uwezo wa kuua kinga ya mwili,lakini kiuhalisia SIVYO.Kuna watu wawili 'eti' kila mmoja aligundua kirusi hiki katika maabara yake.Ukatokea ugomvi mkubwa wa kugombania patent/umiliki wa huyo 'mdudu',he he heee.Kuna mmoja alitoka ufaransa na mwingine marekani,basi 'eti' marais wa kutoka nchi hizi mbili walikutana pamoja 'eti' kujifanya wanataka kutatua ugomvi huu.Mwisho wa siku wakajifanya kugawana umiliki na kuamua kwa pamoja kumpachika mdudu huyu jina liitwalo HIV.Hivyo HIV ni jina la kimaslahi tu,haliakisi uhalisia.

3.Sasa kichekesho kinakuja.Muulize daktari yeyote kama aliwahi kumuona huyo HIV katika maisha yake,HAKUNA.Kama hata hao miungu wao('eti' wagunduzi) wameshindwa kumuona,watamuona hawa madaktari wetu tena walioshikiliwa akili?Sasa kama hawakumuona hawajawahi kupata picha ya HIV kutoka kwenye damu ya mtu,wamejuaje tabia yake inayofanya kinga ya mwili kushuka hasa kipindi kile ambapo uwezo wa kisayansi ulikuwa mdogo sana.Sasa hivi ukiwauliza watakwambia tuko kwenye molecular biology,sasa kipindi kile je,vipi?walijuaje?

4.Watu hupenda kusikiliza vitu fulani tu wanavyopenda kuvisikia,hii hutokana na kasumba.Kuna Profesa mmoja anaitwa Peter Duesberg,huyu ni mtaalam wa retrovirus zaidi ya miaka 20,hao 'wagunduzi' wa HIV wenyewe wanamfahamu huyu.Peter anasema HIV ni retrovirus,hawa wagunduzi pia wanakubali hilo,Peter akasema tena kwamba retrovirus wote hawana uwezo wa kuua kinga ya mwili.Wagunduzi hawa wameshindwa kuthibistisha kama Peter anadanganya na wameshindwa pia kuthibitisha kama HIV anaua kinga ya mwili.Hata ukienda mtaani wewe mwenyewe kufanya uchunguzi utaliona hilo waziwazi.

5.Eti HIV anaambukizwa kwa njia ngono(damu),pumbavu sana hawa watu.Mimi mbona nimejidunga damu ya mtu aliyepimwa HIV+ lakini mpaka muda huu mimi ni HIV-?Hakuna mpumbavu yeyote kutoka kwenye sekta ya afya anayeweza kujadiliana na mimi,mimi nimefanya kwa vitendo,hao wanatumia hisia,hii ndio tofauti yetu.

Hivyo basi,fahamu kwamba kuna retrovirus,lakini hakuna HIV kiuhalisia.HIV kama jina yupo,na ndio hapa ninapopatumia kuwaambia watu kwamba HIV/AIDS ni imani kama zilivyo imani nyingine tu,kwenye sayansi hatutangazi imani hadharani mpaka tutakapopata uthibitisho,hadi leo watu wenye imani kwamba HIV anasababisha AIDS hawana uthibitisho wowote.Wale tunaosema HIV hasababishi AIDS tuna uthibitisho tele,hata wewe hapo kwa jirani yako tu kuna uthibitisho,nenda kaangalie.

HIV/AIDS is a MINDSET disease.If you change your mind and do your own simple research, you will see the truth is flowing very easily.
Mkuu watu kama wewe ndio nilikuwa nawatafuta sana mniondolee huu mtego tuliotegwa.

Broh you are a legend.
 
Ac yangu ya mara ya kwanza walinifungia[emoji19][emoji19]hii ni ingine
 
Wakuu,
With due respect ta all of you.

Ever since the existence of HIV/AIDS in our lovely planet, there are some concerns that always crack my mind, and I really get puzzled! Ni kuhusu hizi HIV-Testing Kits as regards to HIV diagnosis in human bodies. Napenda sana kujifunza vitu mbali mbali, hususani issues zinazo-impact afya zetu wanadamu.

To whoever mwenye uelewa, naomba mnieleweshe (na kwa faida ya wengine pia) kwenye mambo yafuatayo ili kujifunza:

a) Je vifaa vyote vya kupimia HIV, vinatumia ''ANTIBODIES'' pekee ili kudetect HIV infections ktk mwili? Yaani is 'ANTIBODIES'' only the determinant/agent for confirmation of HIV presence in the body?

b) If YES to the (a) above, why hivyo vifaa haviwezi kudetect the HIV directly? i.e. why hivyo vipimo (HIV-Testing) haviwezi kutrace (to isolate) the Virus itself, rather than basing on the antibodies? OR ni kwa sababu kwamba all virus-related infections can be only detected by basing on antibodies only?

c) Uelewa wangu mdogo ni kwamba Human Beings tuna natural Immunity Systems kwenye miili yetu, and the primary role of such natural immunity ni kuproduce 'antibodies' to fight-off a disease infection(s) that enters the body. The strength of such Immunity varies from person to person, due to nutrition factors; life style; etc. Pia nafahamu kwamba wanadamu tuna a lot of viruses and bacteria kwenye miili yetu, though hatuugui. Mfano, niliwahi kusoma a medical Article kwamba almost kila mtu ana bacteria wa TB mwilini mwake, whenever your body Immunity becomes weak, ndo hapo unaanza kuugua TB. So all viruses or bacterias or whatever harm in the body... they do primarily depend on vulnerability of the body Immunity. Nadhania hivyo.

Now the question is: Immunity huwa inaproduce izo 'antibodies' to ALL disease infectios that enter the body?? i.e. does the Immunity System react and produce antibodies to ANY/ALL infections? OR kuna baadhi tu ya diseases/infections ambazo ndo Immunity ina-react na kutoa antibodies??

d) If the body Immunity reacts and/or produces the 'antibodies' to ANY/ALL disease infections, do the 'antibodies' differ from infection to infection? Yaani mfano: antibodies for Ebola infections are different from antibodies for HIV infections??

e) If NO to the (d) above, then it means that the allegedly produced 'antibodies' are of ONE TYPE (ONE STRUCTURE) WITH SAME FEATURES, WITH SAME PARTICLES, for ANY/ALL disease infections in the body. Now... WHY is HIV-diagnosis being based on 'antibodies' only, while other disease infections are also an avenue for the 'same antibodies' in the body???

(f) Pia kuna hizi medical terminologies: CD4 COUNT; na ''VIRAL LOAD''.
Navyoelewa mimi, viral load ni kile kiasi cha viruses mwilini, yani kiwango cha virusi kwenye damu. SWALI: Hicho kipimo cha viral load, je kinapima na kutoa matokeo ya kiwango cha virusi wote kwa ujumla (bila kujali aina ya kirusi) waliopo kwenye damu? ama kinapima na kutoa matokeo in isolation kwa kila aina ya kirusi kwenye damu??

Karibuni waungwana. Let's double-click our folders of thinking and share knowledge.

I humbly submit, and thanks in advance for reading.
N.B: I stand to be corrected!
soma hapa chini kwa makini..utakundua kuwa SD BIOLINE zinapima specific antibodies for HIV ns sio any antibodies in the body....lakini kuna kipimo kingine kinaitwa UNIGOLD HIV bioline hiki nacho kinaweza kudetect HIV ndani ya siku 5 kama umefanya ngono na mtu mwenye HIV..
LAKINI PIA kwa usahihi kabisa unaweza fanya kipimo cha moja kwa moja cha kudetect antigeni specific for HIV 1/2 yani hiki ndo kila kitu sio maswala ya antibody....but its too costful..kwa nchi za ulaya hawatumii SD bioline kwa HIV diahnosis instead wanatumia ELISA ..hizi SD bioline zinaletwa kwa nchi za Africa but hazitumiki snaa balani ulaya...

kuhusu SD bioline kutect specific antibodies soma hapa...[emoji116] [emoji116] [emoji116]
7d87ef1dfd27888b42a1e331e23d7c74.jpg
 
1.The definitive test ni kufanya kitu tunaita DNA-PCR for HIV ambayo ita-confirm presence ya HIV virus katika damu...

Kama mimi napotosha watu,naomba uniambie kama mgunduzi wa kipimo mnachokitegemea ulichotaja hapo juu,yaani PCR kama na yeye anapotosha pia.Sikiliza kwa makini anachosema Profesa huyu kwenye link hapo chini halafu sema wapi amepotosha.Hii ni video iliyomrekodi Prof.Kary Bank Mullis yeye mwenyewe akizungumzia uongo tuliomezeshwa kuhusu HIV/AIDS,kumbuka kwamba huyu ni profesa wa biochemistry na Nobel prize winner baada ya ugunduzi wake na ana akili zake timamu wakati anasema maneno haya.Sasa sikiliza mwenyewe kwa makini hapa chini halafu tuambie wapi kapotosha;

....Nobel prize winner Kary Mullis challenges the AIDS myth.

2.Pia using a high resolution electro-magnetic microscope unaweza kuona virusi vya hiv....

SI KWELI.Kama unachosema ni kweli tuletee electromigraphs za huyo HIV kutoka popote pale duniani ambapo aliwahi kuonekana kwa njia hiyo.Labda wewe utakuwa unazungumzia cellular debris au typical type-C particles halafu umedanganyika kama ni HIV.Tuletee electromicrographs zake hapa ili wote tumuone huyo HIV anafananaje.Mimi nina hamu ya kumuona picha yake,maana nilikuwa nasikia hadithi zake tu tangu alipotangazwa mwaka 1984 na kale kawaziri kafupi pamoja na yule fisadi wa medical science Robert Gallo.

3.Antibody test ya HIV ni specific to antibodies against HIV....

SI KWELI.Kama ingekuwa kweli kusingekuwa na rundo la watu waliopima HIV+ halafu baadaye wakaja kupima HIV-.Mimi nilijidunga kwa makusudi damu ya mtu alipima HIV+ lakini nina test HIV- hadi leo hii.Ukijua ukweli huu ni raha sana,mimi najua raha yake ndio maana nataka wengine pia wajue,sasa watu kama wewe aidha hamjui ukweli au hamtaki kujua ukweli kwa sababu za kimaslahi.Ukitaka tunaweza kuonana kwa siri halafu nijidunge damu inayosadikika ina huyo HIV,na nina uhakika 100% nita test negative,kama hujaelewa hapo basi utakuwa umeshindikana.

4.The concept of HIV ni kubwa kuliko mkuu hapo juu anavyotaka tuamini...

Ungesema hivi; 'The deception about HIV ni kubwa kuliko uongo wowote katika sayansi kuwahi kutokea.'

5.Tuache kupotoshana maana HIV ni serious,, usiombe ikutokee....

Ungesema hivi;'Uongo kuhusu HIV/AIDS ni serious case ambayo kila mtu anatakiwa ajifunge mkanda kujisomea/kudadisi ili ajikwamue kutoka kwenye uongo huu.'

Ukitaka kujua ukweli wa hiki ninachosema,basi msikilize MGUNDUZI ORIGINAL wa huyo HIV mnayemkumbatia anavyosema hapa chini.Sasa msikilize kwa makini Prof.Luc Montagnier ambaye ndiye mgunduzi wa huyo HIV anavyosema halafu tuambie kama kasema kweli au kapotosha.Hapa ndipo nitakapojua wewe ni mtu wa aina gani.

Sikiliza kwa makini kwenye link hii hapa chini;

....AIDS can be cured with proper nutrition-Prof Luc Montagnier.

6.Tuache watu na fani zao, hapa tunaongelea maisha ya watu..

Hizi ndio fikra za walio wengi,kwamba kama mtu kasomea lugha basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu sheria,au kama kasomea sheria basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu medicine.Fani haina mwenyewe,yeyote anayetaka kujua na ana uwezo wa kujua jambo/fani yoyote ile atajua tu bila kujali hapo mwanzo alikuwa na fani gani,usiwe na ubinafsi usio na maana.Haya ndio mambo yanayoturudisha nyuma kimaendeleo.Yaani hata mashuleni kuna kasumba kama hizi,utaona mtu anang'ang'ania PCM halafu lugha hajui,au geografia hajui,sasa ndio nini?Watu kama hawa ukiwapeleka kwenye mazingira tofauti hawawezi wakaendana na mazingira hayo.Sasa nakufundisha kwamba binadamu yeyote anatakiwa kuwa generalist,yaani awe na elimu angalau kidogo kuhusu kila sekta ya elimu kama vile Biology,chemistry,geography,mathematics,language,economics,Money science,politics,history nk.

Sasa nimekuwekea video mbili peke yake kwa kuanzia,kama unataka scientific papers pia utapata,lakini hebu tuanzie hapo kwenye hizo video.Tuchambue video kwanza.

Mkuu kama vile mm nmekupata sana lkn niombe kufahamu ni baada ya muda gani sasa unaweza Pima baada ya kupata huyo virus wa HIV apatkane na baada ya muda gani pia unaweza pima ili kijiamini km kweli upo VE-
 
Bonge la mada nitarudi kusoma kwa utulivu mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom