V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

To be short, antibodies huwa zinazatengenezwa pale mwili unapovamiwa na kitu kigeni (ugonjwa) anti bodies hizi huwa ni specific kwa ugonjwa husika. It means HIV akivamia mwili antibodies zitazozalishwa ni specific. Na vipimo vya HIV vipo aina mbili, kinachoangalia Antibody na Kinachoangalia Antigen(this isnt common)
Viralload test inapima the amount of HIV virus in the body.
 
Mm sijaelewa sasa hapa deception analenga nn kuwa kuna dawa zngne au ugonjwa haupo hta dawa hakuna
 
Umeongea general sana, mkosoe Deception kwa hoja na sio blah blah
 
Hapo mwishoni mkuu kuna ukakasi sana. Yaani watu 2000 unawaona niwachache sana?

Ikitokea hata mmoja kati ya hao 2000 anakuhusu,basi hao ungewaona kama milioni.
 
Sasa Mr.Deception kama mtu kishatumia hizi ARVS kwa zaidi ya miaka kumi na hizo dalili za madhara ya dawa ndio yamejitokeza kwa ushauri wako huyu mtu ili anusurike au aepukane na madhara afanyeje?
 
Sasa Mr.Deception kama mtu kishatumia hizi ARVS kwa zaidi ya miaka kumi na hizo dalili za madhara ya dawa ndio yamejitokeza kwa ushauri wako huyu mtu ili anusurike au aepukane na madhara afanyeje?
Swali zur majibu ndg yetu tusaidie
 
Kichwa chako kigumu sana kuelewa.
 
Wewe sio wa kwanza kuwa ktk denial, we nako walianza zamani. Pia, acha uongo kwamba ulijidunga damu ya mtu positive, face it bro,, you don't have the guts!!
Doctor sasa naona umechemka, unaleta siasa tena? Mwenzako kaleta data, mpinge kwa data pia. Siyo unaanza kumpa stories za sijui walianza zamani. Dalili za kukosa hoja hizi
 
Mkuu kwa nini usijidunge kwenye tv mubashara hiyo damu?
 
Jaman ushauri kujua aiku za mwanamke za hatari wengine wanasema uhesabu kwanda mbele tuka aanza wengine nyuma toka aanze ukiwa unajua Sikh zake kama in 21,28,15,33,kipi sahihi wana jm
 
Mkuu kwa nini usijidunge kwenye tv mubashara hiyo damu?
Usipotoshe watu asee naomba kafungue mitandao au vitabu en read co receptor 5 faida zake ccr5 then utajua kwanini mwenye HIV akizini na asiye na HIV wachache huwa wazima hawapati maambukizi na kwanini wengine wanapata maambukizi we principles zako zimekaa ki majungu majungu naomba soma vizuri then go uone retrovirus families ina specie wangapi then utakuta hiv pia yupo ndani unatupotosha mi ni mvivu ku type tuu ninge go na wewe throughly
 
Naomba nikupe assignment kwanza please kabla ya majibu yako naomba tafuta true definition ya antigen na antibody halafu naomba pitia lymphocytes kwanza ujue umuhimu wake na zina fanyaje kazi types zake pia halafu functions na uangalie Hiv life cycle shortly nikipata tyme nitaanza discusion na wewe kuanzia qstn 1 hapo
 
Sijakuelewa mkuu
 
Sijakuelewa mkuu
Naomba nikuulize swali asee
Umewahi kusikia mtu aliyeathirika anaishi na wamefunga ndoa na mtu ambaye hajaathirika then wamezaa watoto either ni hiv positive or negative na huyo mtu still ni negative umewahi kusikia nijibu kwanza swali hili
 
Mi sijasema hayo maneno,naona umechanganya,mimi nilimuuliza deception jigsaw ajidunge damu ya VVU live watua wamuone kwa TV kama anavyodai alijidunga
 
Mi sijasema hayo maneno,naona umechanganya,mimi nilimuuliza deception jigsaw ajidunge damu ya VVU live watua wamuone kwa TV kama anavyodai alijidunga
Naelewa finyango kwamba nilimjibu deception hapa nilijibu quot yako ulivosema hujanielewa but ts ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…