V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Me wazaz wangu wote walikufa na HIV aids afu tena kwa kuteseka ile miaka ya tisini, alafu leo mnasema ni "hoax".....mwanichanganya!!!!!!
 
Kama ukipima ukakutwa na +ve ukaanza kutia dawa, AF ikaamuwa kiacha je unaweza kuathirika zaidi??
 

inaonekana mlipima Mara moja tu...ilitakiwa baada ya miezi 3 arudi tena kucheki, sometimes Kuna errors huwa znatokea wkt wa upimaji...all in all she's negative life goes on
 
Mkuu nskusaka kama pesa lakin PM ako hujibu
 
Leo ningeanza na kujibu maswali mawili swali la kwanza nimeulizwa na rafiki yangu kwa jina maarufu mpemba swali lake anau liza T.R.Msigwa kwa nini hutumii un gold? Majibu ya swali lake rafiki yangu mpemba wazo lako si baya ila naomba kutoa maelezo kabla ya jawabu hicho ulichosema tupime kazi yake ni kuthibitisha kwamba mtu huyu ana tatizo au hana lakini swali dogo la kujiuliza mbona kipimo cha kwanza kinaonesha mistari miwili mbona na hiki un gold kinaonesha mistari miwili lakini naomba kukumbusha najuwa unajua. Kipimo hiki cha kwanza ambacho hutaki tutumie au wanaopima watumie mbona tafsiri yake kinaonesha mtu amevamiwa na kitu? Ni kipimo gani kinachoonesha ni virus na unavyofahamu wewe ni Kuna virus wa aina ngap na ni mashine ipi inayomtambulisha huyu ni virus wa HIV.Na cha pili tafsiri yake hiyo hiyo lakini mpemba swali dogo la kujiuliza ulishaoneshwa huyu ndo virus wa HIV? Tujiulize kwa mara nyingine tena kwanza tufahamu nini maana ya viral Road? tambua viral Road ni neno la kizungu tafsiri yake ni mzigo uliokuwa kwenye damu. Lakini swali la kujiuliza kwa nini kipimo hakisemi virus kinasema copy? Tafsiri yake inatathimini mzigo uliokuwa kwenye damu ni mwingi kiasi gani? kwa leo rafiki yangu mpemba acha niishie hapa kujibu swali lako ili mradi tumetegua kitendawili kwanza na kitendawili cha pili kitateguka. Nilitoa sababu ya kwanza kwenye makala iliyopita kwa nini nimeamua kurudi kufanya tafiti ya kufuta mstari wa Kwanza unaomtabulisha mtu huyu Ana tatizo kwa mujibu wa waliompima. leo nitatoa sababu ya pili.. kabla sijatoa sababu ya pili nitoe maelezo mafupi siku moja nilihojiwa na watu wa gazeti fulani ambalo sitalitaja jina, mwandishi wa gazeti hilo akaandika dawa kiboko ya VVU yapatikana, kauli hiyo ilipelekea taasisi inayojihusisha na mambo haya pale karibu na ocean road,waliniomba nifike ofisini kwao ili niweze kuwapa ufafanuzi zaid kuhusu dawa ,Mimi niliitikia wito na nilijiandaa naenda kukutana na mabingwa na wanieleze Kuna upungufu gani katika ya kusema kuishi bila VVU inawezekana. Na nimebahatika kuwaelewa na nimewaelewa zaid viongozi wanaongoza taasisi nyeti katika taifa langu kuliko nilivokuwa nafikiria Mimi . Na mimi nina imani ipo siku hawa watakuwa rafiki zangu zaidi sababu dunia inabadilika. Nina taarifa sina hakika kama ni sahihi kwamba mtu ukipima mwezi wa saba kiwango cha virus utapima tena mwakani mwezi wa saba wadau tafadhali nijulisheni kauli hi kama inaukweli nitafatilia kupata uhakika kama ni kweli wagonjwa watakuwa kwenye mazingira magumu.Nikiwa tayar nitajaribu kufanya tafiti ndogo ya watu 💯 kwa uwezo wetu na tafiti hii mtu atapimwa kabda na baada kwa gharama zetu na atapimwa vipimo vyote vinavyotambulika na wanasayansi baadhi dunian..leo niishie hapo katika maswali niliyoyajibu rafiki yangu mpemba kama hujaridhika utaendelea kuuliza maswali na nitakujibu wakati umefika kujivunia na kufurahia 4A9 lakini acha nikupe swali dogo la kujiuliza kipimo hichi we usichokipenda lugha zake ndio au hapana kwa mujibu kilivyotengenezwa hakiwezi kusema ndio kwenye hapana kitendo cha kufifia mstari huu kinaashiria nini? Na wale waliofundishwa na wazungu wanaimani mstari huu haufutiki wanasemaje kwa sasa? Wanaoamini mstari huu haufutiki wameambiwa tu kwamba mstari huu haufutiki. Mwanadamu akitolewa damu kikaekwa kwenye kipimo hiki na kipimo hiki kikiandika mistari miwili itamjulisha aliyepima kuwa mwili wake umetoa ant body kama katika mwili kuna kitu si cha kawaida kigezo chao kipimo hiki kikionesha mstari wa Kwanza kinaonesha Mtu huyu mwili wake umetoa ant body zinazomtambulisha kuwa Kuna kitu sio Cha kawaida kimeingia katika mwili Na ant body hizi hazifutiki tena mwilini. Je? kitendo cha mstari huu kufifia kinaashiria Nini na wasemaje kuhusu hili kwa sasa.Naomba niulize swali dogo ambalo nitafurahi nikijibiwa kwa namba yangu ya whatsup 0752819047 au kwenye mitandao ya kijamii
 


Mpangilio mbovu wa kiuandishi. Very vague writing flow. Ila nimejitahidi sana kuelewa ulichoandika.

N.B: Nimekodoa sana kwenye avatar yako for almost 5 minutes na bado sijatosheka.

-Kaveli-
 
umeeleweka mkuu.
 
Education is not only learning of facts but also training your mind to think...
agreed! But this has nothing to do with education, it's more than that. Unajua, there is what is termed "critical thinking".. Mara nyingi critical thinking begins with logical thinking, and ends with logical thinking as well. FACTS, as facts, especially in the medical field can only be ascertained through systematic reviews and meta-analyses. Hapo ndipo naposimama Mimi
 
Ndiyo maana ni njia kuu ya maambukizi katika ngono zembe
hapana sio sperms,kwenye ngono ni mchubuano unaosababisha chembe za damu kukutana ,sperm iko salama ndio mana mtoto anaweza kuzaliwa negative
 
Nimekuelewaaaaaaaa sanaaaaa na hongeraaaa sanaaaa na ukwel n kwamba ukimwiiiii upooooo na unaua
 
Deception nimekipm, tafadhar naomba mrejesho wako kaka ninamengi nahitaji tuongee private
 
huyu jamaa sijui ametekwa, yan ana muda mrefu kwli bila kuwa online. na ukijumlisha na mambo aliyoyaibua nakuwa na wasi wasi kweli
 
hebu elezea watu wanakufaje katika hali ya kudhoofika saana, kwa kitu kama mindset tu, na kumbuka wanaokufa kwa hali hiyo ni pamoja na wale wasiopima.
Hiv theory ni hoax. Watu hasa wasomi wa Kiafrica wanashindwa kujiongeza, kwa sababu watakosa favor kutoka kwa perpetrator. Kiukweli, hiki kinachoitwa hiv ni cover ya kitu basic ambacho kuna watu wengine hawataki wenzao wajuwe.

Watu wafundishwe kula vizuri.. siyo haya mataka taka ya chips.. burger or vitimoto.. waache soda na ma bia na vinywaji vya ajabu ajabu kama redbull na taka taka zingine. Hakika watu wakibadilika.. hutasikia tena mpuuzi yeyote anaongelea story ya hiv. Hii ni fursa ya kupiga pesa na kueneza uharibifu.. kwa kutumia udhaifu uliopo wa umaskini. Ujuwe maskini ndo hawawezi kula vizuri.. wataishia kula mataka taka niliyoyataja hapo juu
 
Kaveli vipi ulipata majibu???

Sent using Jamii Forums mobile app

Well your questions ni nyingi but let me try to elaborate kwa kiswahili niwezavyo.
Naanza na antibodies.
Mwili wa binadamu una kinga au immunity za aina mbili.
Ambayo haichagui aina ya mashambulizi, mfano ngolo, neutrophils, macrophages, skin, saliva, acid ya tumboni n.k.
Specific ambayo hutengenezwa tofauti kulingana na adui, mfano antibody, T-lymphocytes n.k.
Kwa msingi huu, Maana yake ni kwamba antibodies are specific to each pathogen. Ndio maana kuna kipimo cha antibody cha syphilis, cha HIV, cha typhoid, cha hepatitis, cha malaria nakadhalika Maana antibodies hizi hutengenezwa maalum kwa ajili ya mdudu mvamizi. Kila antibody hutengenezwa kwa ajili ya pathogen husika..
this answers several questions. For more don't hesitate to ask.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…