V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

inaweza kuwa suluhisholakini kumbuka mt anakuwa mgnjwa sababu levelya CD4 ambazo ni muhimu sana kwenye kupigana na magonjwainakuwa iko chini sana kwa hiyo utakuwa unatibu gonjwa unarudi. na ujue CD$ ikiwa infected ina virus half life yake ni siku 1.6. lengu la ARV ni kuongeza CD4, KUPUNGuza uwezowa HIV ! and 2 kumultiply
 

Mimi sidhani kama huyu jamaa atakuwa mwalimu kweli,kwa sababu hajibu hoja halafu anashusha mizigo yenye ukakasi ambayo tayari inafahamika toka zamani,hajui kwamba hata sisi tunayafahamu hayo anayo copy na ku paste hapa.Hajui kama sisi tunajadili nadharia mbadala ya AIDS hapa,hajui kama hiyo ya zamani haina mashiko na imesha prove failure/imeshindwa kabisa.

Huyu mwalimu anang'ang'ania makabrasha kasa,yaani kama karata basi magarasa.He he heee,sijui hata kama wanafunzi wanamwelewa darasani kama kweli yeye ni mwalimu.
 
hebu elezea watu wanakufaje katika hali ya kudhoofika saana, kwa kitu kama mindset tu, na kumbuka wanaokufa kwa hali hiyo ni pamoja na wale wasiopima.

Wewe unathibitisha hoja ya Deception kwamba HIV/AIDS ni imani, kumbe kwa kuwa watu wanakufa kwa kudhoofu saana basi HIV/AIDS ipo !!!
Jibuni hoja za jamaa, ukweli maandiko mengi yapo kuthibitisha hilo, Mark Anastaz alipoanza kuamsha dunia kuhusu fix hizi za Gao alikuwa fixed na mifumo dhalimu kwa kuwa alikuwa anahatarisha biashara kubwa ya Kondomu na Madawa ya kurefu maisha pamoja na miradi mingi ya kupiga hela kwa kutumia ukimwi
 
Last edited by a moderator:

Kabla sijatoa mtazamo kuhusu hiyo definition ya American CDC kuhusu "Ukimwi", naomba nipatie link inayoeleza definition hizo. Nimetafuta kwa sasa nimeikosa, so direct me.

Kuhusu tafiti ya mwaka 84, nimejibu kwenye post za juu.

Kuongezea tu, kuna utafouti kati ya concept ya HIV kwa maana ya virus, na AIDS (hiv aids). Hehe, siegemei upande wako, nachomaanisha ni kuwa kwanza unapata virus, anafanya mambo yake, unapata upungufu wa kinga, then unapata magonjwa yanayopelekea tuseme una AIDS (HIV AIDS).ndio maana kuna staging ya HIV AIDS. Ni kweli upungufu wa kinga unasababishwa na sababu mbali mbali, Lakini je fanya comparison ni watu wangapi wenye upungufu wa kinga mwilini pamoja na magonjwa yatokanayo na upungufu wa kinga mwilini,, Bila HIV mwilini,, compare na wale wenye upungufu wa kinga mwilini na magonjwa yake yatokanayo, Lakini pia wako positive for HIV(kirusi), wapi ni wengi? Just compare the statistics na uje na jibu. Ndio maana hapa nasisitiza kuwa tufocus kwenye HIV-AIDS, kwingineko tunatoka nje ya mada. Compare statistics tu utakaa sawa, maana base ya science ni research and statistics.

Pia, ishu ya scientific credibility and acceptance ni valid, maana ukiangalia kwa jicho la Tatu pertition kama hii nadhani ilizuiliwa maana madhara yake yalikadiriwa. Ingerudisha nyuma mapambano ya HIV, maana the public is watching,, ingecost human life maana kuna watu wasingefuatilia matibabu hata kabla matokeo hayajatoka,, na maambukizi yangezidi. Ni strategy tu, maana yo can project the effect. Pia it was doomed to fail maana research findings hazisupport. Mbona watu wanaugua hepatitis (viral hepatitis) mpaka kufa ila hakuna community in denial juu ya hili? So WHO kama haikupitisha pertition hii ni sababu ya madhara projected (mind you, kutoa ukweli tofauti juu ya what we currently know and practice in the context of HIV AIDS has never been part of hayo madhara projected)
 

Yes mkuu Deception kuna wakati couples moja ya mjeshi ilitoa ushuhuda ambapo mjeshi alimuoa mkewe akiwa bikira wakiwa wameishi miaka kama miwili mke akaanza kuugua na kupimwa kuwa ni HIV + kwa kutumia convention wisdom akahitimisha kuwa mume ndiye kamwambukiza. Akatamani kufamya mpango kumwua mumewe lakini akasita,akaamua kwenda kwao, baadae mume alimwomba samahani na kuahidi kumtumza na kumheshimu, wakarudi kuishi pamoja, baadae mume akugua kikohozi kwa Muda kidogo kwa kuwa aliaminishwa na HIV+ ya mkewe kuwa naye anao basi akawa anasononeka pekee yake, baadae akaenda hospital ya masistwr na kuomba kuchinguzwa ikiwa ni pamoja na kupimwa ukimwi, ajabu aliambiwa yuko -ve anasema , baada ya kuambiwa hivyo aliamua kwenda Pasada kupimwa nako wakamwambia yuko -ve, aliamua kumshirikisha mkewe na yeye pamoja na mkewe wakarudia kupimwa upya lakini mke alikuwa +ve na mume -ve sasa kilichobaki ni kitendawili ambacho mke alikiteguwa kuwa amaewahi kuuguza Dada yake ambaye aliaminika kuwa na ukimwi.
Hoja inabaki pale pale bado hatujui hicho kinachosababisha watu wadhoofu na kufa nje ya magonjwa ambayo ni wazi ndiyo hupelekea kifo. TB Malaria, BP,Sukari na Madawa ya ukimwi nk nk nk
 
Last edited by a moderator:

Weka picha ya kirusi hicho popote pale kilipoonwa usijari aina ya maabara.
 
Mkuu ukiwa maabara ushawahi muona huyo virus kwenye hizo darubini zenu kama mnavyofanya kwa maralia??
nimefanyahizo kazi na nimemuona huyo mdudu. huwezi kumwona yeye akiwa mmoja maana iliuelewe virus walivyo lazima uwe na base nzuri ya sayansi sana sana ya afya. sasa ukisikiliza anacdotal za uuongo za you tube ambaazo kila mtu youko huru kuweka anachoota hatuwezi kufika.ukifanya PCR utamwona lakini ipo njia ya kupanda wadudu na kuwaisolate ambayo hatuwezi kufanya nchini kwetu sababu ya technolojia. pia HAPA tanzania electronmicroscope zipo kwa mkemia na UD. hatuangalia virus kwa kutumia electrn microscope wala hatutumii light microscope. zipo special laboratory technique ambazo zinaelezea jinsi ya kuactivate cells is uweze fanya culture of virus
article niliyokutumia hapo juu inajibu maswali yote ingawa sifa ya much know huwa sio wasomaji na najua hujasoma ndio maana unaendelea kubisha. sifa kubwa ya much know ni kutokuwa msomaji na kama ni msomaja basi huwa anajiwekea confort zone nikimaanisha kusoma vile vinavyoendana na ideology zake. science is proving your hyothesis wrong or right. this can be done through several researches and reading different ideas on the same thing
 

Mkuu, hapa sasa nimepata elimu mpya kabsa, kwamba kuna AINA NYINGI za UKIMWI, including:

(a) UKIMWI wa kawaida (Immuno defficiency). Ukimwi huu unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine;

(b) Upungufu wa kinga mwilini (AIDS). Ukimwi huu ndo unaosababishwa na huyo kirusi wa HIV.

Napata elimu mpya kabsa hapa. Na kwa maana hii sasa, kumbe hoja za mkuu Deception zinalalia hapo kwenye (a) tu, yaani Ukimwi wa kawaida ambao ni ''Immuno defficiency''. Hehehe this is very interesting to follow-up!

Sasa mkuu pakamwam , nielimishe zaidi ktk hoja ifuatayo:

So, mtu mwenye huo Ukimwi wa kawaida (yaani Immuno Defficiency) anaugua magonjwa tofauti na magonjwa ya Upungufu wa kinga mwilini (yaani AIDS)?? Thus, kuna utofauti wa magonjwa specifically kwa kila aina ya Ukimwi ?? Ama magonjwa ni yale yale (the same) kwa hizo aina mbili za Ukimwi ??

CC: mkuyati og .
 
Last edited by a moderator:
...Usicheze na maisha ya watu, you are no scientist. Unang'ang'ania kwamba elimu zetu tumekaririshwa kutoka "magharibi", kwani wewe reference zako unafanya kutoka wapi?

Unaposama kitu jitahidi kuelewa alichomaanisha mwenzako,usilazimishe kuelewa unavyofikiri wewe.Pia inabidi ujue tofauti kati ya science na pseudoscience.Kwenye suala la HIV/AIDS,ninyi ma MD mnajua pseudoscience.

Katika science ukiona hypothesis ya kitu haiendani na experimentation ujue lazima utapata wrong conclusion.Wewe unalijua vizuri hili.Sasa ukilazimisha hypothesis ili iendane na experimentation data, hiyo tunaita pseudoscience.Kwenye pseudoscience mikanganyiko haiishi hata ukifanyaje,njia pekee ya ku balance matokeo ya pseudoscience ni kutumia politics/siasa.

HIV/AIDS ni matokeo ya pseudoscience.Na ndio maana kinachotokea mtaani ni tofauti kabisa na nadharia ilivyo.

Nasikitika sana kwamba hujui kama ninyi ma MD na wahudumu wengine wa afya ndio wachawi halisi wa afya za watu katika suala hili la HIV/AIDS.Ninyi ni wachawi aidha hamjijui,au mnajijua lakini mnafanya kusudi.Bongo zimeganda na hamtaki kabisa kuona kile kinachotokea hata huko kwenye ofisi zenu,ninyi mnadhani kwamba HIV ndio anadhoofisha watu.

Nikwambie kitu,mtu wa kwanza kumwachisha ARVs alikuwa ni kaka yangu wa damu.Kama unataka kuamini njoo PM nikupe data alikuwa anahudhuria wapi clinic.Kaka yangu ameacha ARVs huu mwaka wa pili na yuko safi,haumwi umwi,toka aache hajawahi kuugua malaria,miaka 2 sasa.

Usirukeruke,njoo PM nikupe data na kama unahitaji tuonane,huu sio ugomvi,ni katika kueleweshana ukweli tu.Kama una nia ya kuju ukweli njoo PM upate shule,kuna data siwezi kuziweka hapa.
 
Kama huna ujuzi na udaktari basi acha kubeza kazi za watu. Nawashauri madaktari msipoteze muda huyu hoax anayejiita deception . Umaarufu au hela hazitafutwi kwa kucheza na uhai wa watu . Mtu anakwambia yuko labaratory wewe unakesha google na youtube ili ubishe . Kama kweli una ujuzi huo nenda muhimbili hospital , amana , au mwananyamala kaaidiane na madokta kuokoa wagonjwa wa ukimwi wanaokufa kila siku .una tofauti gani na babu wa loliondo aliyesema ana dawa ya ukimwi na kuwaita watu waende loliondo baadala ya kuwafuaa hospital . Unaponda tiba za magharibi halafu unakesha huko huko kunukuu tafiti zao . Hulazimishwi kuikubali elimu ya magharibi haya lete ya huko mashariki au yako ya africa itumike kuokoa watu. Au fungua clinic yako jitangaze kama unaisaidia kutibu ukimwi as ulivyosema huhitaji hela ......... Unalazimisha upate deal hadi kudanganya watu umejichoma sindano ya ukimwi ili watu wakuamini . Duh wewe mtu hatari sana . Nashauri huyu mtu akamatwe atengwe na jamii. . Atauwa sana watu walio desperate na kujipatia hela isivyo halal. Tcra wafanye kazi yao
 

Wewe unaleta utani kwenye vitu sensitive, kwanza imeonyesha udhaifu sana kuogopa kumwaga nondo zako hapa ili usijechekwa na wanafunzi wako.
Weka ujuacho hapa ili ujifunze kile uaichokijua kwa kutumia ujuacho.
Hakuna mwenye hati miliki ya elimu kuhusu Afya zetu
 
Mie si mwanasayansi....yaan ni pure kilaza kwenye hiyo area...! Lakin kwa hakika ninaamini kuwa kuna big game behind ukimwi....! Sina ushahid wa moja kwa moja ila naamini kutokana na uzoef katika mambo mengine....eg 2003 ulimwengu uliaminishwa kuwa sadam ana silaha za maangamiz. Ulimwengu ukaamini sadam akauwawa...baadae bush anakuja kusema sorry tulikosea. 911 the same....vita ya vietnam the same. Kwenye Gmo foods the same....isis the same....libya the same....sasa kwann nisiamini hata kwenye ukimwi ni richman trick?! Tujifikirishe...kamaa ukweli upo bora usemwe kama ulivo!!
 

Jibu:
Hili ndilo suluhisho sahihi,sio mbadala.Kama kuna mtu huyo unamfahamu, nipe nafasi ili uone tofauti kati yake na wale wanaotumia ARVs.

"Experience is the best teacher"-By Kaveli.
 

Mkuu pakamwam naomba unisaidie mfano wa Magonjwa yatokanayo na Immuno deficiency na Yale yatokanayo na Acquired Immuno deficiency syndrome .... ... halafu kuna bandiko langu moja nimekuomba ushauri Mkuu naomba ulione.
 
Last edited by a moderator:
topic immunodefficiency diseseases
examples
1.deficiency of B-cell system(agammaglobulinemia)
2.deficiency of cellular immunity
3.combined deficiency of cllular and humaral immunity
4.defects of neutrophil functions
complement deficiences
with exception to IgA defieciecy, primary immuno deficiency syndromes are rare, eith combined incidences of about 2in 10,000 ive births reference, primary immunodeficiency diseases. report of WHO scientific group. immonodefic Rev3:195-235,1992
 

Malaria nayo ni Richman's scheme? Watu wengi wanakufa kwa malaria in sub saharan Africa kuliko ukimwi, na dawa zinauzwa kweli kweli!! Malaria nayo ni hoax? Antigen ama antibody tests za malaria nazo ni hoax? Ama hyo ndio thinking outside the box?
 

He he heee,tatizo Dr. akili yako yooote imejikita katika tafiti zinazosimamiwa na CDC,NIH,AMA na WHO,viongozi wa haya mashirika ndio walewale wanaonufaika na faida kutoka kwenye viwanda vya madawa.Kwa akili yako unadhani wataweka tafiti za kujipinga wenyewe.

Wewe utakuwa hujui kama hata kwenye science kuna ufisadi,rejea historia utajua hili.Kuna mwana JF mmoja ana msemo wake kwamba "Experience is the best teacher".Watu wanaongea maneno meeeengiiii,lakini Je,kinachotokea mtaani na kwenye vituo vya afya kinaakisi maneno yao?Hili ndilo suala la msingi kujiuliza.Ndio maana nasema kwamba mtu yeyote yule akipata akili ya kchunguza mwenyewe kwenye mitaa na vituo vya afya,lazima atauona ukweli unakuja wenyewe bila kutumia nguvu.

Haya mambo ya makabrasha ya darasani,tafiti feki na vitisho hayana tija.Je,kinachotokea mtaani na kwenye vituo vya afya kinaendana na nadharia ya HIV/AIDS????Jibu ni BIG NO.
 
Malaria nayo ni Rickman's scheme? Watu wengi wanakufa kwa malaria in sub saharan Africa kuliko ukimwi, na dawa zinauzwa kweli kweli!! Malaria nayo ni hoax? Antigen ama antibody tests za malaria nazo ni hoax? Ama hyo ndio thinking outside the box?

Sina hakika kama malaria...kipindupindu ....tb...etc unamkanganyiko wa kitaalamu kama ulivo ukimwi...
 
in this thread people trying analysing well and i like it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…