V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

inaweza kuwa suluhisholakini kumbuka mt anakuwa mgnjwa sababu levelya CD4 ambazo ni muhimu sana kwenye kupigana na magonjwainakuwa iko chini sana kwa hiyo utakuwa unatibu gonjwa unarudi. na ujue CD$ ikiwa infected ina virus half life yake ni siku 1.6. lengu la ARV ni kuongeza CD4, KUPUNGuza uwezowa HIV ! and 2 kumultiply
 
Tatizo mtu anasema ni uongo alafu hataki kuwewa facts mezani. Weka facts watu wajifunze.
Medical expert waliowengi afrika (sio wote) wameshindwa kufikiri kwa fikra zilizo huru but hii sio kosa lao haya ni matokeo ya mfumo wa elimu ambao tumerithi kutoka kwa wakoloni.

Ukienda Afrika ya magharibi kuna Proffesors wamejiunga kwenye vugu vugu la denialists kwasababu hawakutaka kujifungia kwenye box. Walijaribu kuzama na kutafuta facts then wakafanya decision ya kujiunga na vuguvugu.
Tatizo tunaamini elimu hii darasani tu, now dunia ni kijiji, huwezi kuishi kama upo kwenye chupa.

Mimi sidhani kama huyu jamaa atakuwa mwalimu kweli,kwa sababu hajibu hoja halafu anashusha mizigo yenye ukakasi ambayo tayari inafahamika toka zamani,hajui kwamba hata sisi tunayafahamu hayo anayo copy na ku paste hapa.Hajui kama sisi tunajadili nadharia mbadala ya AIDS hapa,hajui kama hiyo ya zamani haina mashiko na imesha prove failure/imeshindwa kabisa.

Huyu mwalimu anang'ang'ania makabrasha kasa,yaani kama karata basi magarasa.He he heee,sijui hata kama wanafunzi wanamwelewa darasani kama kweli yeye ni mwalimu.
 
hebu elezea watu wanakufaje katika hali ya kudhoofika saana, kwa kitu kama mindset tu, na kumbuka wanaokufa kwa hali hiyo ni pamoja na wale wasiopima.

Wewe unathibitisha hoja ya Deception kwamba HIV/AIDS ni imani, kumbe kwa kuwa watu wanakufa kwa kudhoofu saana basi HIV/AIDS ipo !!!
Jibuni hoja za jamaa, ukweli maandiko mengi yapo kuthibitisha hilo, Mark Anastaz alipoanza kuamsha dunia kuhusu fix hizi za Gao alikuwa fixed na mifumo dhalimu kwa kuwa alikuwa anahatarisha biashara kubwa ya Kondomu na Madawa ya kurefu maisha pamoja na miradi mingi ya kupiga hela kwa kutumia ukimwi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mkuyati OG naaomba unisaidie kidogo, unasema hapa tunaongelea ukimwi unaosababishwa na virus vya HIV. Inamaana unakubali kuna aina ya UKIMWI ambao unasabishwa na factors nyinginezo. Sasa swali linakuja kwanini hizo factors hazipewi uzito na hazizungumzwi, tunaishia kuiblame HIV?

Tests results za Robert Gallo mwaka 1984 zilionyesha hivi;
“Only 44 of 93 AIDS patients tested had the virus (LESS THAN HALF) “
Reference on: Science Vol.224 May 4, 1984

Sasa ukitazama hiyo result ya Gallo hapo inaonesha kwamba kati ya wagonjwa 93 wa UKIMWI ambao walikuwa tested ni wagonjwa 44 tu walikutwa na HIV.

Sasa swali linakuja, wagonjwa 49 waliobaki ambao hawakuwa na HIV kitu gani ambacho kilisababisha ukimwi kwao?
Na kama HIV ndiyo major role kwenye kusababisha UKIMWI, kwanini hao wagonjwa 49 waliobaki hawakuwa na hiyo HIV?
Na kwanini wali conclude kwamba sababu ya UKIMWI ni HIV hali ya kuwa zaidi ya nusu ya wagonjwa ambao walikuwa tested hawakuwa na hiyo HIV?

Pili unapaswa kufahamu kwamba nadharia ya HIV/AIDS imejengwa kuondoa dhana ya kwamba hakuna UKIMWI bila HIV.

Umeuliza Swali, wawili wenye kinga ndogo ya mwili (Lakini hawana HIV mwilini) na dalili sawa za TB, wakienda kupima wataambiwa Wana TB au ukimwi? (kwa maana ya HIV-AIDS).

Kutokana na swali lako hao watu wataambiwa wana TB tu. Kwasababu tafsiri ya UKIMWI kutokana na kituo cha kudhibiti magonjwa marekani(CDC) ni kama ifuatavyo;

  • Kaposi sarkoma + HIV = UKIMWI
  • kaposi sarkoma – VVU = kaposi sarkoma
  • Pneumonia + HIV = UKIMWI
  • Pneumonia – VVU = Pneumonia
  • Dementia (matatizo ya akili) + HIV = UKIMWI
  • Dementia – VVU = Dementia
  • Chembechembe chini ya 200 za seli CD4 + HIV = UKIMWI
  • Chembechembe chini ya 200 za seli CD4 – VVU = hakuna ugonjwa

Kwahiyo ili uonekane una UKIMWI lazima uwe HIV+ na dalili za moja ya hayo magonjwa au uwe na CD4 chini ya 200 pamoja na kuwa tested positive.



Pia Unasema Mkuu hapo ame raise hoja zake kutokana na utafiti wa watu wachache but ukweli huwa unabaki kuwa ukweli tu hata kama walio wengi wakiupinga au kuupindisha au kuuficha from the public.

Dunia inaamini World Trade Center (WTC) ilipigwa na magaidi, lakini si kweli ila kwasababu waliyoipiga ndiyo wameshika media kwenye huu ulimwengu, wameugeuza ukweli na dunia imeamini.

So the truth will stand forever, no matter what.

Dr.Charles Thomasa, Former Harvad Proffesor katika masuala ya baiolojia akishirikiana na scientists wengine walikusanya signatures zaidi ya 100 za scientist mbalimbali kwa mara ya kwanza miaka ya 90 na kuandaa Reappraisal Letter wakiomba independent group of researchers kuprove hii nadharia ya HIV/AIDS walikataliwa, sasa swali linakuja kama tunataka kusolve problema kwanini tunaogopa kuwapa nafasi Denialist???

Ni kweli katika medical scientific community hoja hizi hazija gain acceptance na support kama unavyosema, hili ni kweli na ni kwasababu ya political economic power of the AIDS industry. Hawa watu wameshika media ya ulimwengu na wamefanikiwa kuiaminisha dunia juu ya hii ya nadharia ya kitapeli ya HIV/AIDS.

Ni ukweli uliowazi watu wame invest billions of dollors katika viwanda vya blood test kit, condoms na ARVS, na hapa ndiyo turning point, watu wanaogopa kuharibiwa biashara zao tu.

Kabla sijatoa mtazamo kuhusu hiyo definition ya American CDC kuhusu "Ukimwi", naomba nipatie link inayoeleza definition hizo. Nimetafuta kwa sasa nimeikosa, so direct me.

Kuhusu tafiti ya mwaka 84, nimejibu kwenye post za juu.

Kuongezea tu, kuna utafouti kati ya concept ya HIV kwa maana ya virus, na AIDS (hiv aids). Hehe, siegemei upande wako, nachomaanisha ni kuwa kwanza unapata virus, anafanya mambo yake, unapata upungufu wa kinga, then unapata magonjwa yanayopelekea tuseme una AIDS (HIV AIDS).ndio maana kuna staging ya HIV AIDS. Ni kweli upungufu wa kinga unasababishwa na sababu mbali mbali, Lakini je fanya comparison ni watu wangapi wenye upungufu wa kinga mwilini pamoja na magonjwa yatokanayo na upungufu wa kinga mwilini,, Bila HIV mwilini,, compare na wale wenye upungufu wa kinga mwilini na magonjwa yake yatokanayo, Lakini pia wako positive for HIV(kirusi), wapi ni wengi? Just compare the statistics na uje na jibu. Ndio maana hapa nasisitiza kuwa tufocus kwenye HIV-AIDS, kwingineko tunatoka nje ya mada. Compare statistics tu utakaa sawa, maana base ya science ni research and statistics.

Pia, ishu ya scientific credibility and acceptance ni valid, maana ukiangalia kwa jicho la Tatu pertition kama hii nadhani ilizuiliwa maana madhara yake yalikadiriwa. Ingerudisha nyuma mapambano ya HIV, maana the public is watching,, ingecost human life maana kuna watu wasingefuatilia matibabu hata kabla matokeo hayajatoka,, na maambukizi yangezidi. Ni strategy tu, maana yo can project the effect. Pia it was doomed to fail maana research findings hazisupport. Mbona watu wanaugua hepatitis (viral hepatitis) mpaka kufa ila hakuna community in denial juu ya hili? So WHO kama haikupitisha pertition hii ni sababu ya madhara projected (mind you, kutoa ukweli tofauti juu ya what we currently know and practice in the context of HIV AIDS has never been part of hayo madhara projected)
 
He he hee,ndio maana nilisema kwamba,HIV/AIDS ni imani kama zilivyo imani nyingine,hata kama mtu ataona haya ninasema yana ukweli bado atarudi kulekule kwenye imani yake kwamba HIV causes AIDS,HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono na HIV hana dawa ya kumtoa mwilini.

Wewe unazungumzia kufanya ngono mara moja moja tu,Je,unajua kwamba kuna ndoa nyingi sana(hata hapo jirani yenu inaweza kuwepo) mmoja amepimwa HIV+ lakini mwingine ni HIV- na wameishi miaka mingi na wamezaa watoto katika hali hiyohiyo na watoto nao ni HIV-?Sasa kama hawa wako hivi,itakuwa wewe unayefanya mara moja moja tu?Fanya uchunguzi wako utaliona hili.

Siku utakapoanza kudadisi tu,ndipo utakapoanza kujitoa kwenye kifungo hiki taratibu.Asikwambie mtu,kuujua ukweli huu ni raha sana,unakuwa huru na hutakuwa na woga tena pindi wewe au ndugu yako yeyote atakapokuwa anaumwa umwa,utajua nini cha kufanya.Lakini kama hujui,utakuwa mtumwa na wazo lako la kwanza ni kufikiria kwenda kupima HIV,hapo ndipo utakapojipa tiketi ya kula ARVs ambazo ndio kitanzi chako.

Yes mkuu Deception kuna wakati couples moja ya mjeshi ilitoa ushuhuda ambapo mjeshi alimuoa mkewe akiwa bikira wakiwa wameishi miaka kama miwili mke akaanza kuugua na kupimwa kuwa ni HIV + kwa kutumia convention wisdom akahitimisha kuwa mume ndiye kamwambukiza. Akatamani kufamya mpango kumwua mumewe lakini akasita,akaamua kwenda kwao, baadae mume alimwomba samahani na kuahidi kumtumza na kumheshimu, wakarudi kuishi pamoja, baadae mume akugua kikohozi kwa Muda kidogo kwa kuwa aliaminishwa na HIV+ ya mkewe kuwa naye anao basi akawa anasononeka pekee yake, baadae akaenda hospital ya masistwr na kuomba kuchinguzwa ikiwa ni pamoja na kupimwa ukimwi, ajabu aliambiwa yuko -ve anasema , baada ya kuambiwa hivyo aliamua kwenda Pasada kupimwa nako wakamwambia yuko -ve, aliamua kumshirikisha mkewe na yeye pamoja na mkewe wakarudia kupimwa upya lakini mke alikuwa +ve na mume -ve sasa kilichobaki ni kitendawili ambacho mke alikiteguwa kuwa amaewahi kuuguza Dada yake ambaye aliaminika kuwa na ukimwi.
Hoja inabaki pale pale bado hatujui hicho kinachosababisha watu wadhoofu na kufa nje ya magonjwa ambayo ni wazi ndiyo hupelekea kifo. TB Malaria, BP,Sukari na Madawa ya ukimwi nk nk nk
 
Last edited by a moderator:
Nitaandika kwa lugha ya kawaida ili ujumbe uwafikie watu wengi zaidi...

1. Inawezekana kabisa kupima na kuisolate kirusi i.e virus (kwa hapa namaanisha HIV maana ndio thread inachohitaji) ukajua na aina yake na ukapatakujua kama anaresistance ya dawa ipi ya matibabu. Lakini jambo hili linahitaji uwepo wa maabara zilizobobea, katika kuhakikisha unamfikia end user ni rahisi kupeleka kipimo kwa mlaji kuliko kumleta mlaji kwa kipimo hivyo basi kuna vipimo ambavyo sensitivity yake na specificity inaridhisha na kuvifanya kuwa rahisi zaidi kumfikia mtu (as point of access test) na kurahisisha utoaji wa huduma. Ndio maana kwa baadae akishajulikana ana maambukizi ya HIV zinafanyika VIRAL Load tests kujua wingi wa hao virusi na kujua kama wana resistance na dawa.

Bottom line hizo antigen-antibody test zinawekwa kwa sababu ya urahisi wake kwa maana ya gharama na urahisi wa kuzisambaza kwenye eneo kubwa zaidi la watu. Hii ni dhana nzuri zaidi kama unataka kupambana na ugonjwa ulioenea zaidi kwenye jamii husika.

2. Antibodies ni kinga za awali zinazotengenezwa na mwili wa binadamu dhidi ya vimelea fulani mwilini. Kila kimelea kinasababisha mwili utengeneze antibodies ambazo zinakuwa mahususi kwa ajili ya kimelea husika, hivyo kuna antibodies nyingi sana kutegemea na vimelea ambavyo vimeweza kushambulia au kutambuliwa na mfumo wa kinga wa mwili.

3. Kuna virus wengi sana kutoka kwenye familia kubwa sana, ambao kimsingi wote wanaweza kupimwa kwa kipimo cha viral load. Ila hicho unachokizungumzia hapa ni specific kwa HIV kwa sababu lengo kuu ni kujua wingi wa copy za virusi walio katika mwili wa binadamu, kadri copies hizo zinavyokuwa kwa kiwango cha chini, ndivyo binadamu huyo atakavyo kuwa na kinga madhubuti mwilini mwake. Hiyo CD4 test ilikuwa inaangalia masalia ya seli hai za CD4 ambazo ndio kimsingi hushambuliwa zaidi na hao HIV, ila sio kipimo kizuri kwa kiasi hicho, na ndio maana baada ya serikali kupiga hatua kimaendeleo, kwa sasa wagonjwa wanafuatiliwa maendeleo yao kwa kuangalia kiwango cha virusi waliopo mwilini kwa maana ya Viral load.

Naona niishie hapa i hope nimesaidia kimawazo!

Weka picha ya kirusi hicho popote pale kilipoonwa usijari aina ya maabara.
 
Mkuu ukiwa maabara ushawahi muona huyo virus kwenye hizo darubini zenu kama mnavyofanya kwa maralia??
nimefanyahizo kazi na nimemuona huyo mdudu. huwezi kumwona yeye akiwa mmoja maana iliuelewe virus walivyo lazima uwe na base nzuri ya sayansi sana sana ya afya. sasa ukisikiliza anacdotal za uuongo za you tube ambaazo kila mtu youko huru kuweka anachoota hatuwezi kufika.ukifanya PCR utamwona lakini ipo njia ya kupanda wadudu na kuwaisolate ambayo hatuwezi kufanya nchini kwetu sababu ya technolojia. pia HAPA tanzania electronmicroscope zipo kwa mkemia na UD. hatuangalia virus kwa kutumia electrn microscope wala hatutumii light microscope. zipo special laboratory technique ambazo zinaelezea jinsi ya kuactivate cells is uweze fanya culture of virus
article niliyokutumia hapo juu inajibu maswali yote ingawa sifa ya much know huwa sio wasomaji na najua hujasoma ndio maana unaendelea kubisha. sifa kubwa ya much know ni kutokuwa msomaji na kama ni msomaja basi huwa anajiwekea confort zone nikimaanisha kusoma vile vinavyoendana na ideology zake. science is proving your hyothesis wrong or right. this can be done through several researches and reading different ideas on the same thing
 
zipi aina nyingi za ukimwi: ukimwi kama ukimwi na upungufu wa kinga mwilini !!
ukimwi: unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine.

upungufu wa kinga mwilini: unasababushwa na vvu huitwa acquired immono-deficiency syndromes na upungufu wa kinga wa kawaida nje ya ukimwi huitwa immuno defficiency. pia kwenye vitabu vingi immuno defficiency inajitegemea kama topic na haiunganishwi na AIDS

Mkuu, hapa sasa nimepata elimu mpya kabsa, kwamba kuna AINA NYINGI za UKIMWI, including:

(a) UKIMWI wa kawaida (Immuno defficiency). Ukimwi huu unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine;

(b) Upungufu wa kinga mwilini (AIDS). Ukimwi huu ndo unaosababishwa na huyo kirusi wa HIV.

Napata elimu mpya kabsa hapa. Na kwa maana hii sasa, kumbe hoja za mkuu Deception zinalalia hapo kwenye (a) tu, yaani Ukimwi wa kawaida ambao ni ''Immuno defficiency''. Hehehe this is very interesting to follow-up!

Sasa mkuu pakamwam , nielimishe zaidi ktk hoja ifuatayo:

So, mtu mwenye huo Ukimwi wa kawaida (yaani Immuno Defficiency) anaugua magonjwa tofauti na magonjwa ya Upungufu wa kinga mwilini (yaani AIDS)?? Thus, kuna utofauti wa magonjwa specifically kwa kila aina ya Ukimwi ?? Ama magonjwa ni yale yale (the same) kwa hizo aina mbili za Ukimwi ??

CC: mkuyati og .
 
Last edited by a moderator:
...Usicheze na maisha ya watu, you are no scientist. Unang'ang'ania kwamba elimu zetu tumekaririshwa kutoka "magharibi", kwani wewe reference zako unafanya kutoka wapi?

Unaposama kitu jitahidi kuelewa alichomaanisha mwenzako,usilazimishe kuelewa unavyofikiri wewe.Pia inabidi ujue tofauti kati ya science na pseudoscience.Kwenye suala la HIV/AIDS,ninyi ma MD mnajua pseudoscience.

Katika science ukiona hypothesis ya kitu haiendani na experimentation ujue lazima utapata wrong conclusion.Wewe unalijua vizuri hili.Sasa ukilazimisha hypothesis ili iendane na experimentation data, hiyo tunaita pseudoscience.Kwenye pseudoscience mikanganyiko haiishi hata ukifanyaje,njia pekee ya ku balance matokeo ya pseudoscience ni kutumia politics/siasa.

HIV/AIDS ni matokeo ya pseudoscience.Na ndio maana kinachotokea mtaani ni tofauti kabisa na nadharia ilivyo.

Nasikitika sana kwamba hujui kama ninyi ma MD na wahudumu wengine wa afya ndio wachawi halisi wa afya za watu katika suala hili la HIV/AIDS.Ninyi ni wachawi aidha hamjijui,au mnajijua lakini mnafanya kusudi.Bongo zimeganda na hamtaki kabisa kuona kile kinachotokea hata huko kwenye ofisi zenu,ninyi mnadhani kwamba HIV ndio anadhoofisha watu.

Nikwambie kitu,mtu wa kwanza kumwachisha ARVs alikuwa ni kaka yangu wa damu.Kama unataka kuamini njoo PM nikupe data alikuwa anahudhuria wapi clinic.Kaka yangu ameacha ARVs huu mwaka wa pili na yuko safi,haumwi umwi,toka aache hajawahi kuugua malaria,miaka 2 sasa.

Usirukeruke,njoo PM nikupe data na kama unahitaji tuonane,huu sio ugomvi,ni katika kueleweshana ukweli tu.Kama una nia ya kuju ukweli njoo PM upate shule,kuna data siwezi kuziweka hapa.
 
Kama huna ujuzi na udaktari basi acha kubeza kazi za watu. Nawashauri madaktari msipoteze muda huyu hoax anayejiita deception . Umaarufu au hela hazitafutwi kwa kucheza na uhai wa watu . Mtu anakwambia yuko labaratory wewe unakesha google na youtube ili ubishe . Kama kweli una ujuzi huo nenda muhimbili hospital , amana , au mwananyamala kaaidiane na madokta kuokoa wagonjwa wa ukimwi wanaokufa kila siku .una tofauti gani na babu wa loliondo aliyesema ana dawa ya ukimwi na kuwaita watu waende loliondo baadala ya kuwafuaa hospital . Unaponda tiba za magharibi halafu unakesha huko huko kunukuu tafiti zao . Hulazimishwi kuikubali elimu ya magharibi haya lete ya huko mashariki au yako ya africa itumike kuokoa watu. Au fungua clinic yako jitangaze kama unaisaidia kutibu ukimwi as ulivyosema huhitaji hela ......... Unalazimisha upate deal hadi kudanganya watu umejichoma sindano ya ukimwi ili watu wakuamini . Duh wewe mtu hatari sana . Nashauri huyu mtu akamatwe atengwe na jamii. . Atauwa sana watu walio desperate na kujipatia hela isivyo halal. Tcra wafanye kazi yao
 
umeongea mambo mengi sana ambayo mimi kama mwalimu wa chuocha afya fulani nashindwa nianzie wapi. cha msingi kama kweli unahitaji kujua nitafute kwa simu ambayo nitakupm. nitakuelewesha kwa kirefu.

pia katika vipimo tuna vitu vitu vingi, tuna antigen/antibody based tests, tuna polymerase chain reaction tests na test nyingine nyingi. the gold standard katika test zote zote ni PCR tests ambazo zinaweza kumwona mdudu kama mdudu kwa kutumia vinasaba.
yapo mamb mengi ya kukuelimisha kuhusu vipimo. nitafute kwenye namba hiyo au karibu in vitro maabara mbezi ya kimara. tutakuelimisha bure na kukupa ushauri bure kuhusu afya kwa ujumla wake

Wewe unaleta utani kwenye vitu sensitive, kwanza imeonyesha udhaifu sana kuogopa kumwaga nondo zako hapa ili usijechekwa na wanafunzi wako.
Weka ujuacho hapa ili ujifunze kile uaichokijua kwa kutumia ujuacho.
Hakuna mwenye hati miliki ya elimu kuhusu Afya zetu
 
Mie si mwanasayansi....yaan ni pure kilaza kwenye hiyo area...! Lakin kwa hakika ninaamini kuwa kuna big game behind ukimwi....! Sina ushahid wa moja kwa moja ila naamini kutokana na uzoef katika mambo mengine....eg 2003 ulimwengu uliaminishwa kuwa sadam ana silaha za maangamiz. Ulimwengu ukaamini sadam akauwawa...baadae bush anakuja kusema sorry tulikosea. 911 the same....vita ya vietnam the same. Kwenye Gmo foods the same....isis the same....libya the same....sasa kwann nisiamini hata kwenye ukimwi ni richman trick?! Tujifikirishe...kamaa ukweli upo bora usemwe kama ulivo!!
 
..Qn Je kama mtu mwenye Ukimwi akipewa tiba ya magonjwa hayo nyemelezi(Yanavyoitwa japo naanza pata shaka) pekee pasipo kupewa ARV then focus ikabaki kwenye kumpa mgonjwa virutubisho asili kwa ajili ya kupandisha kinga, hili haliwez kuwa suruhisho mbadala kuliko kuwatesa watu na hizi ARV?

Jibu:
Hili ndilo suluhisho sahihi,sio mbadala.Kama kuna mtu huyo unamfahamu, nipe nafasi ili uone tofauti kati yake na wale wanaotumia ARVs.

"Experience is the best teacher"-By Kaveli.
 
zipi aina nyingi za ukimwi. ukimwi kama ukimwi na upungufu wa kinga mwilini.
ukimwi unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine

hapa maada kubwa kubwa sio upungufu wa kinga maada kubwa ni HIV ambayo inasababisha upungufu wa kinga kwa asilimia 98 ya wangonjwa wote wenye upungufu wa kinga.
kiingereza kimetofautisha vizuri sana haya. upungufu wa kinga mwilini unasababushwa na vvu huitwa acquired immono-deficiency syndromes na upungufu wa kinga wa kawaida nje ya ukimwi huitwa immuno defficiency. pia kwenye vitabu vingi immuno defficiency inajitegemea kama topic na haiunganishwi na AIDS

Mkuu pakamwam naomba unisaidie mfano wa Magonjwa yatokanayo na Immuno deficiency na Yale yatokanayo na Acquired Immuno deficiency syndrome .... ... halafu kuna bandiko langu moja nimekuomba ushauri Mkuu naomba ulione.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hapa sasa nimepata elimu mpya kabsa, kwamba kuna AINA NYINGI za UKIMWI, including:

(a) UKIMWI wa kawaida (Immuno defficiency). Ukimwi huu unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine;

(b) Upungufu wa kinga mwilini (AIDS). Ukimwi huu ndo unaosababishwa na huyo kirusi wa HIV.

Napata elimu mpya kabsa hapa. Na kwa maana hii sasa, kumbe hoja za mkuu Deception zinalalia hapo kwenye (a) tu, yaani Ukimwi wa kawaida ambao ni ''Immuno defficiency''. Hehehe this is very interesting to follow-up!

Sasa mkuu pakamwam , nielimishe zaidi ktk hoja ifuatayo:

So, mtu mwenye huo Ukimwi wa kawaida (yaani Immuno Defficiency) anaugua magonjwa tofauti na magonjwa ya Upungufu wa kinga mwilini (yaani AIDS)?? Thus, kuna utofauti wa magonjwa specifically kwa kila aina ya Ukimwi ?? Ama magonjwa ni yale yale (the same) kwa hizo aina mbili za Ukimwi ??

CC: mkuyati og .
topic immunodefficiency diseseases
examples
1.deficiency of B-cell system(agammaglobulinemia)
2.deficiency of cellular immunity
3.combined deficiency of cllular and humaral immunity
4.defects of neutrophil functions
complement deficiences
with exception to IgA defieciecy, primary immuno deficiency syndromes are rare, eith combined incidences of about 2in 10,000 ive births reference, primary immunodeficiency diseases. report of WHO scientific group. immonodefic Rev3:195-235,1992
 
Mie si mwanasayansi....yaan ni pure kilaza kwenye hiyo area...! Lakin kwa hakika ninaamini kuwa kuna big game behind ukimwi....! Sina ushahid wa moja kwa moja ila naamini kutokana na uzoef katika mambo mengine....eg 2003 ulimwengu uliaminishwa kuwa sadam ana silaha za maangamiz. Ulimwengu ukaamini sadam akauwawa...baadae bush anakuja kusema sorry tulikosea. 911 the same....vita ya vietnam the same. Kwenye Gmo foods the same....isis the same....libya the same....sasa kwann nisiamini hata kwenye ukimwi ni richman trick?! Tujifikirishe...kamaa ukweli upo bora usemwe kama ulivo!!

Malaria nayo ni Richman's scheme? Watu wengi wanakufa kwa malaria in sub saharan Africa kuliko ukimwi, na dawa zinauzwa kweli kweli!! Malaria nayo ni hoax? Antigen ama antibody tests za malaria nazo ni hoax? Ama hyo ndio thinking outside the box?
 
Hayo ni matokeo ya utafiti mwaka 84, with a very small sample size, pia ni wakati ambapo concept ya HIV aids ndio ilikuwa ktk it's infancy!! Same applies to all other diseases, ila conspirators mnakomaa na HIV tu. utalinganisha na leo ambapo medicine is so advanced in terms of research na vipimo? Lete matokeo ya tafiti za wakati huu wa modern hiv era tutaelewana. Endelea kuota

He he heee,tatizo Dr. akili yako yooote imejikita katika tafiti zinazosimamiwa na CDC,NIH,AMA na WHO,viongozi wa haya mashirika ndio walewale wanaonufaika na faida kutoka kwenye viwanda vya madawa.Kwa akili yako unadhani wataweka tafiti za kujipinga wenyewe.

Wewe utakuwa hujui kama hata kwenye science kuna ufisadi,rejea historia utajua hili.Kuna mwana JF mmoja ana msemo wake kwamba "Experience is the best teacher".Watu wanaongea maneno meeeengiiii,lakini Je,kinachotokea mtaani na kwenye vituo vya afya kinaakisi maneno yao?Hili ndilo suala la msingi kujiuliza.Ndio maana nasema kwamba mtu yeyote yule akipata akili ya kchunguza mwenyewe kwenye mitaa na vituo vya afya,lazima atauona ukweli unakuja wenyewe bila kutumia nguvu.

Haya mambo ya makabrasha ya darasani,tafiti feki na vitisho hayana tija.Je,kinachotokea mtaani na kwenye vituo vya afya kinaendana na nadharia ya HIV/AIDS????Jibu ni BIG NO.
 
Malaria nayo ni Rickman's scheme? Watu wengi wanakufa kwa malaria in sub saharan Africa kuliko ukimwi, na dawa zinauzwa kweli kweli!! Malaria nayo ni hoax? Antigen ama antibody tests za malaria nazo ni hoax? Ama hyo ndio thinking outside the box?

Sina hakika kama malaria...kipindupindu ....tb...etc unamkanganyiko wa kitaalamu kama ulivo ukimwi...
 
in this thread people trying analysing well and i like it.
 
Back
Top Bottom