....Ili kuendelea ku-balance darasa hili informative, pengine ningependa kuuliza hoja ya nyongeza kwa mkuu
Deception :
1. ARVs. Mara nyingi tu inashuhudiwa kwamba ARVs zinaokoa maisha ya wagonjwa wenye maradhi ya Ukimwi. Mimi mwenyewe nimeshuhudia kwa wagonjwa watatu. Kwamba, mtu anaugua mpka kufikia critical condition ya kutisha kiasi kwamba mnaona kabsa kuwa huyu anakufa muda wowote. LAKINI akishaanza dozi ya ARVs ananyanyuka anapona na kuwa healthy kabsa!!
NOTE: Huo ndo UHALISIA & UZOEFU huku 'site'.
SWALI: JE, kama kweli ARVs pia zinasababisha Ukimwi (kama unavyodai), ni kivipi tena dawa hizi zinawasaidia wagonjwa kiasi hicho??
DARASA HURU.
Very very very good question.
Swali hili nilishawahi kuulizwa na wenye fikra pevu huko nyuma,na jambo hili ni mojawapo ya matukio yanayotokea kwenye 'site' ambayo ndio huwafanya watu wasiamini moja kwa moja kwamba HIV hasababishi AIDS,watu wanabaki kutokuwa na msimamo wowote kwa sababu ya mambo kama haya.
Jibu:
"Watu wengi wanaweza kuona tukio hilohilo lakini kila mmoja akatoka na jinsi alivyolielewa,hii inatokana na viwango tofauti vya elimu/uelewa walionao hawa watu kuhusu tukio hilo"
"All people can observe the same event but they will come out with different judgement/understanding,this is due to their level of pre existing knowledge about that particular event"
Sasa baada ya hapo twende kwenye suala lenyewe.
Siku zote huwaambia watu kwamba wanashindwa kuelewa matukio haya kutokana na kutofanya uchunguzi wa kina wa wagogonjwa hao.Watu wanatumia hisia zaidi kuliko uhalisia.Watu wengi huwa wanaona au wanasikia kwa mbali tu matukio haya,na hata kama yeye mwenyewe anauguza pia inategemea uelewa wake kuhusu sayansi hii.
POINT 1:
1.ARVs hazina uwezo wa kutibu TB.Kama huamini muulize daktari yeyote atakwambia.
2.ARVs hazina uwezo wa kutibu Cancer.
3.ARVs hazina uwezo wa kutibu malaria.
4.ARVs hazina uwezo wa kutibu Pneumonia.
5.ARs hazina uwezo wa kutibu kisukari.
6.ARVs hazina uwezo wa kutibu hepatitis.
.....
.....
ARVs hazina uwezo wa kutibu maonjwa yote tunayoyajua sasa.Msije kudanganywa kwamba ARVs zinaweza kutibu aina fulani za cancer.NO!!!
POINT 2:
Wagonjwa hawaugui ukimwi bali wagonjwa wanadhoofika na kuugua maradhi yanayoingia mwilini kutokana na kinga kupungua(yaani ukimwi).Magonjwa haya yanafahamika sana,mfano;Malaria,TB,PCP,Hepatitis,cancer nk.TB umekuwa ugonjwa kinara unaodhoofisha watu walio na upungufu wa kinga.
Sasa inabidi tuelewane kwamba,ukiona mtu anaugua au amedhoofika,ujue kuna ugonjwa fulani kati ya hayo niliyotaja hapo juu au mengine,lakini SIO UKIMWI.
POINT 3:
Hivyo basi,mgonjwa yeyote ambaye amepimwa na amegundulika(amesingiziwa) kuwa na HIV huwa hapewi ARVs peke yake.
Mfano:Kama mtu ameambiwa ana TB kwa mfano,halafu akapimwa HIV+.Mgonjwa huyu atadhoofika kutokana na TB lakini SIO HIV/UKIMWI.Wewe utamwona amekonda,anakohoa sana,ana homa za mara kwa mara,amepungua uzito,amekosa nguvu nk.Dalili zote hizi hazisababishwi na HIV,bali husababishwa na TB,ok???Tuko pamoja???OOOOK!!!Twende kazi...
Sasa sijawahi kuona au kusikia daktari yeyote amekuwa mpumbavu kiasi cha kumpa mgonjwa kama huyu ARVs peke yake bila ya kumpa vidonge vya TB.Au wewe umewahi kusikia/kuona mtu kapona TB kwa kupewa ARVs peke yake??Nijuze kama umewahi.
Sasa hakuna mtu yeyote asiyejua kwamba TB inapona kabisa kama mgonjwa atapata dozi inayostahili ya TB kwa wakati unaostahili.Sasa mgonjwa kama huyu atapona TB aliyonayo huku akitumia ma ARVs yake,ofcourse,kama amepona TB na anakula vizuri(ofcourse ndivyo wanavyoshauriwa) utamwona ananenepa,anapata nguvu,ananawiri,hakohoi tena,hana tena homa,LAKINI ANAENDELEA KUTUMIA ARVs.
Sasa kama mtu hajui undani wa mgonjwa mwenyewe na hana uelewa sahihi wa mambo haya,lazima atajua kwamba ARVs ndizo zimemponya/ziemnyanyua mgonjwa huyu.Umeona eenh???
Sasa huu ni mfano tu unaoonesha jinsi watu wanavyojichanganya kutoa judgement mbovu.Kuna mifano mingi.
Ndio maana wale wanaoniuliza mimi swali kama hili huwa nawaambia waniletee mfano mmoja tu ambao umeshiba data za kutosha halafu mimi nitawapa jibu sahihi,lakini hamna hata mtu mmoja aliyewahi kunipa mfano hai wenye data za kutosha zaidi ya kutumia hisia na kusikia kutoka kwa watu wengine.Haya mambo yana janja janja nyingi sana,kama watu hawako sawasawa kichwani wataendelea kuwa desciples/followers/wafuata nyanyo tu.
NOTE:
ARVs hazisababishi ukimwi kwa muda huohuo unapoanza kuzitumia.ARVs husababisha ukimwi baada ya muda mrefu wa kuzitumia.Na hii hutegema mambo mengi sana yakiwemo,asili ya mtu,ulaji wa mtu,style ya maisha ya mtu nk.Kama dozi ya ARVs itaanza pamoja na dozi ya TB,basi dozi ya TB itaisha baada ya takribani miezi 6(kwa dozi nyingi za TB).Sasa muda wa miezi 6 bado si rahisi kuona madhara ya ARVs kwenye kinga,muda huu bado mgonjwa atakuwa strong ukiachilia mbali viji madhara vidogovidogo tu.Hivyo kwa case hii,huwezi kuona mgonjwa amedhoofika kwa ARVs,bali utaona mgonjwa ame recover/amepona TB na labda ameanza kunenepa.Lakini baada ya long term use ya ARVs utaanza kuona dalili nzito nzito zinajitokeza ambazo nilishazitaja huko nyuma.
Je,Kuna swali lingine kwenye hilo jibu?